Kama vile nguvu za mungu zilivyopenya mwilini mwangu, nilihisi kuwa mwepesi,
Tangu siku hiyo, nimeweza kulala bila kumeza dawa yoyote
Mapigo ya moyo yameisha!
Natangaza uponyaji sasa hivi!
Ukarejeshwe katika jina la Yesu! Ukafufuliwe katika jina Yesu kristo!
Chochote ambacho giza imeingiza mwilini mwako
inayoleta machungu, mateso, upungufu wa nguvu - nasema ukatolewe nje sasa hivi!
Anza kukemea hayo magonjwa mwilini mwako.
Kemea hayo mateso ndani ya viungo vywa mwili wako.
Kemea Ugonjwa huo mwilini mwako
Kemea ugonjwa huo katika jina la Yesu Kristo!
tafadhali, jitambulishe,
Majina yako na Nchi unayotokea
na pia wale wanaoketi pamoja nawe.
majina yangu ni Emily; natoka Uingereza
anayeketi kando yangu ni mume na mtoto wangu.
nilikuwa na shida ya kupumua - hivi kwamba, kuwa na shida ya kulala.
nilikuwa na shida ya mapigo ya moyo, machungu, roho ya uoga na wasiwasi.
ilianza Mei 2023, baada tu ya kujifungua mtoto.
kilichofanyika kwanza ni kuwa nilikuwa na wasiwasi na uoga,
halafu ikafuatia mapigo uchungu ya moyo.
Niliambiwa niende Hospitalini
na Hospitalini hawakuweza kupata shida yoyote kwangu
nilirudi nyumbani halafu tena niliredi tena
niliporujdi, walipata kwamba moyo wangu ulipiga kwa haraka sana kuliko kawaida.
nikawaeleza kuwa kwa mda wa siku tano sijaweza kupata lepe la usingizi
Kila siku sikuweza kulala vizuri, ningeenda kitandani na kukosa kulala kabisa.
walinipa madawa ya kuniwezesha kulala
hayo ndio madawa niliyopewa
nilianza kumeza madawa hayo ndipo niweze kulala lakini hayakufanya kazi
niliendelea kumeza lakini shida ikaongezeka kuwa mbaya hata zaidi.
halafu nikaambiwa kwamba dalili hizo zilikuwa zafanana na zile za kupata mshtuko wa moyo.
na pia roho ya uoga , kwa sababu ya uchungu niliyohisi moyoni
mapigo ya moyo kwamba ningeanguka nife wakati wowote
ilikuwa mahali na wakati mbaya sana kuwa
kupitia huo roho ya uoga, adui akaanza kuniongelesha
kwamba hata nikifa, singeenda mbinguni
shida hii ilinitatiza sana, hivi kwamba singeweza kuhudumia watoto wangu
ningekaa karibu nao na wanapolia singeweza kuwasaidia vyema.
Hivyo nilitafuta