[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:01.11,0:00:02.44,Default,,0000,0000,0000,,Habari Dialogue: 0,0:00:02.46,0:00:04.81,Default,,0000,0000,0000,,Ngoja niiulize hadhira swali: Dialogue: 0,0:00:04.83,0:00:07.03,Default,,0000,0000,0000,,Ulishawahi kudanganya ukiwa mtoto? Dialogue: 0,0:00:07.05,0:00:09.72,Default,,0000,0000,0000,,Kama uliwahi, unaweza\Nkunyanyua mkono tafadhali? Dialogue: 0,0:00:11.14,0:00:14.60,Default,,0000,0000,0000,,Wow! hili ni kundi la watu wakweli\Nkuliko wote niliowahi kukutana nao. Dialogue: 0,0:00:14.62,0:00:16.58,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:00:16.60,0:00:18.31,Default,,0000,0000,0000,,Hadi sasa kwa miaka 20 iliyopita, Dialogue: 0,0:00:18.34,0:00:21.75,Default,,0000,0000,0000,,Nimekuwa nikisoma\Njinsi watoto wanavyojifunza kudanganya. Dialogue: 0,0:00:21.78,0:00:24.08,Default,,0000,0000,0000,,Na leo, nitawashirikisha Dialogue: 0,0:00:24.10,0:00:26.27,Default,,0000,0000,0000,,baadhi ya ugunduzi tulioupata. Dialogue: 0,0:00:26.62,0:00:31.55,Default,,0000,0000,0000,,Ila kwa kuanza, nitawaambia\Nhadithi kutoka kwa Bwana Richard Messina, Dialogue: 0,0:00:31.57,0:00:34.70,Default,,0000,0000,0000,,ambaye ni rafiki yangu na mkuu wa\Nshule ya msingi. Dialogue: 0,0:00:35.27,0:00:36.83,Default,,0000,0000,0000,,Alipokea simu siku moja. Dialogue: 0,0:00:39.28,0:00:40.43,Default,,0000,0000,0000,,Aliyepiga akasema, Dialogue: 0,0:00:40.45,0:00:44.34,Default,,0000,0000,0000,,"Bwana Messina, mtoto wangu Johnny\Nhatakuja shuleni leo Dialogue: 0,0:00:44.36,0:00:45.82,Default,,0000,0000,0000,,kwasababu anaumwa." Dialogue: 0,0:00:46.50,0:00:48.23,Default,,0000,0000,0000,,Bwana Messina akauliza, Dialogue: 0,0:00:48.26,0:00:50.27,Default,,0000,0000,0000,,"Naongea na nani, tafadhali?" Dialogue: 0,0:00:50.79,0:00:52.28,Default,,0000,0000,0000,,Na aliyepiga akasema, Dialogue: 0,0:00:52.30,0:00:53.97,Default,,0000,0000,0000,,"Mimi ni baba yangu." Dialogue: 0,0:00:53.99,0:00:56.78,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:00:58.23,0:00:59.91,Default,,0000,0000,0000,,Sasa hadithi hii -- Dialogue: 0,0:00:59.93,0:01:01.46,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:01:01.49,0:01:05.80,Default,,0000,0000,0000,,inajumlisha vizuri sana\Nimani tatu zilizo zoeleka tulizonazo Dialogue: 0,0:01:05.82,0:01:07.68,Default,,0000,0000,0000,,kuhusu watoto na kudanganya. Dialogue: 0,0:01:08.14,0:01:12.77,Default,,0000,0000,0000,,Moja, watoto huja tu kusema uongo Dialogue: 0,0:01:12.80,0:01:15.06,Default,,0000,0000,0000,,baada ya kuingia shule ya msingi. Dialogue: 0,0:01:15.55,0:01:17.86,Default,,0000,0000,0000,,Mbili, watoto hawadanganyi vizuri. Dialogue: 0,0:01:17.89,0:01:20.74,Default,,0000,0000,0000,,Watu wazima twaweza kugundua uwongo wao. Dialogue: 0,0:01:20.77,0:01:24.81,Default,,0000,0000,0000,,Na tatu, kama watoto watadanganya\Nkatika umri mdogo sana, Dialogue: 0,0:01:24.83,0:01:27.68,Default,,0000,0000,0000,,lazima watakuwa na makosa\Nkitabia, Dialogue: 0,0:01:27.70,0:01:31.75,Default,,0000,0000,0000,,na watakuja kuwa\Nwagonjwa wa kudanganya maishani. Dialogue: 0,0:01:32.72,0:01:34.91,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo inaonekana kwamba Dialogue: 0,0:01:34.94,0:01:37.24,Default,,0000,0000,0000,,imani zote tatu hazikuwa sahihi. Dialogue: 0,0:01:38.62,0:01:41.33,Default,,0000,0000,0000,,Tumekuwa tukifanya mchezo wa kukisia Dialogue: 0,0:01:41.35,0:01:43.43,Default,,0000,0000,0000,,na watoto dunia nzima. Dialogue: 0,0:01:43.46,0:01:44.94,Default,,0000,0000,0000,,Huu ni mfano Dialogue: 0,0:01:44.97,0:01:49.33,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo katika mchezo huu, tunauliza watoto\Nkukisia namba kwenye kadi. Dialogue: 0,0:01:49.96,0:01:52.84,Default,,0000,0000,0000,,Na tunawaambia wakishinda mchezo, Dialogue: 0,0:01:52.86,0:01:55.02,Default,,0000,0000,0000,,watapata zawadi kubwa. Dialogue: 0,0:01:55.52,0:01:57.00,Default,,0000,0000,0000,,Lakini katikati ya mchezo, Dialogue: 0,0:01:57.03,0:01:59.79,Default,,0000,0000,0000,,tunatoa udhuru na kutoka kwenye chumba. Dialogue: 0,0:02:01.76,0:02:03.70,Default,,0000,0000,0000,,Na kabla ya kutoka kwenye chumba, Dialogue: 0,0:02:03.72,0:02:06.66,Default,,0000,0000,0000,,tunawaambia wasichungulie kwenye kadi. Dialogue: 0,0:02:07.52,0:02:08.93,Default,,0000,0000,0000,,Bila shaka, Dialogue: 0,0:02:08.96,0:02:11.12,Default,,0000,0000,0000,,tuna kamera zilizofichwa katika chumba Dialogue: 0,0:02:11.14,0:02:12.94,Default,,0000,0000,0000,,kuangalia kila hatua yao. Dialogue: 0,0:02:14.22,0:02:17.63,Default,,0000,0000,0000,,Kwasababu haja ya kushinda\Nmchezo ni kubwa sana, Dialogue: 0,0:02:17.66,0:02:21.14,Default,,0000,0000,0000,,zaidi ya asilimia 90 ya watoto \Nwatachungulia Dialogue: 0,0:02:21.17,0:02:22.60,Default,,0000,0000,0000,,mara tutakapotoka chumbani. Dialogue: 0,0:02:22.63,0:02:24.63,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:02:25.04,0:02:27.03,Default,,0000,0000,0000,,Swali la msingi ni: Dialogue: 0,0:02:27.05,0:02:29.80,Default,,0000,0000,0000,,Tutakaporudi na kuuliza watoto Dialogue: 0,0:02:29.83,0:02:32.14,Default,,0000,0000,0000,,Kama wamechungulia au la, Dialogue: 0,0:02:32.16,0:02:35.21,Default,,0000,0000,0000,,watoto waliochungulia watakiri Dialogue: 0,0:02:35.24,0:02:37.81,Default,,0000,0000,0000,,au watadanganya kuhusu makosa yao? Dialogue: 0,0:02:39.52,0:02:44.30,Default,,0000,0000,0000,,Tuligundua kwamba bila kujali\Njinsia, nchi, au dini, Dialogue: 0,0:02:44.93,0:02:46.51,Default,,0000,0000,0000,,katika umri wa miaka miwili, Dialogue: 0,0:02:47.19,0:02:49.12,Default,,0000,0000,0000,,asilimia 30 hudanganya, Dialogue: 0,0:02:49.14,0:02:52.95,Default,,0000,0000,0000,,asilimia 70 husema ukweli\Nkuhusu makosa yao. Dialogue: 0,0:02:52.97,0:02:55.11,Default,,0000,0000,0000,,Katika umri wa miaka mitatu, Dialogue: 0,0:02:55.13,0:02:58.61,Default,,0000,0000,0000,,asilimia 50 hudanganya na asilimia 50\Nhusema kweli. Dialogue: 0,0:02:59.30,0:03:01.20,Default,,0000,0000,0000,,Katika umri wa miaka minne, Dialogue: 0,0:03:01.22,0:03:03.17,Default,,0000,0000,0000,,zaidi ya asilimia 80 hudanganya. Dialogue: 0,0:03:04.33,0:03:06.78,Default,,0000,0000,0000,,Na baada ya miaka minne, Dialogue: 0,0:03:06.81,0:03:08.20,Default,,0000,0000,0000,,watoto wengi hudanganya. Dialogue: 0,0:03:09.18,0:03:10.54,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo unaweza kuona, Dialogue: 0,0:03:10.57,0:03:14.03,Default,,0000,0000,0000,,kudanganya ni sehemu halisi\Nya kuendelea. Dialogue: 0,0:03:14.05,0:03:16.84,Default,,0000,0000,0000,,Na baadhi ya watoto huanza kusema uwongo Dialogue: 0,0:03:16.87,0:03:19.31,Default,,0000,0000,0000,,wakiwa na umri mdogo wa miaka miwili. Dialogue: 0,0:03:20.44,0:03:23.100,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo sasa, tuangalie kwa ukaribu\Nwatoto wadogo. Dialogue: 0,0:03:25.34,0:03:29.15,Default,,0000,0000,0000,,Kwanini baadhi na sio wote\Nwatoto wadogo hudanganya? Dialogue: 0,0:03:30.18,0:03:33.51,Default,,0000,0000,0000,,Katika mapishi unahitaji viungo vizuri Dialogue: 0,0:03:33.54,0:03:35.15,Default,,0000,0000,0000,,kupika chakula kizuri. Dialogue: 0,0:03:35.79,0:03:40.36,Default,,0000,0000,0000,,Na uongo mzuri unahitaji \Nviungo viwili vikuu. Dialogue: 0,0:03:41.11,0:03:45.22,Default,,0000,0000,0000,,Kiungo kikuu cha kwanza\Nni nadharia ya akili, Dialogue: 0,0:03:45.24,0:03:47.08,Default,,0000,0000,0000,,au uwezo wa kusoma- akili. Dialogue: 0,0:03:47.77,0:03:49.85,Default,,0000,0000,0000,,Kusoma akili ni uwezo wa kujua Dialogue: 0,0:03:49.87,0:03:54.48,Default,,0000,0000,0000,,kwamba watu tofauti wana\Nufahamu tofauti kuhusu hali fulani Dialogue: 0,0:03:54.50,0:03:58.30,Default,,0000,0000,0000,,na uwezo wa kutofautisha\Nkati ya ninachojua Dialogue: 0,0:03:58.33,0:03:59.55,Default,,0000,0000,0000,,na kile unachojua Dialogue: 0,0:03:59.91,0:04:02.16,Default,,0000,0000,0000,,Kusoma akili ni muhimu kwa kudanganya Dialogue: 0,0:04:02.18,0:04:06.03,Default,,0000,0000,0000,,kwasababu ya msingi wa kudanganya ni najua Dialogue: 0,0:04:06.06,0:04:07.21,Default,,0000,0000,0000,,hujui Dialogue: 0,0:04:07.23,0:04:08.38,Default,,0000,0000,0000,,ninachojua. Dialogue: 0,0:04:08.41,0:04:09.78,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo, naweza kukudanganya. Dialogue: 0,0:04:11.07,0:04:15.68,Default,,0000,0000,0000,,Kiungo cha pili muhimu Dialogue: 0,0:04:15.70,0:04:20.33,Default,,0000,0000,0000,,Ni uwezo wa kudhibiti maneno yako,\Nkuonyesha hisia usoni Dialogue: 0,0:04:20.35,0:04:21.89,Default,,0000,0000,0000,,na lugha ya mwili, Dialogue: 0,0:04:21.92,0:04:23.99,Default,,0000,0000,0000,,ili kwamba unaweza kusema uongo thabiti. Dialogue: 0,0:04:24.94,0:04:28.66,Default,,0000,0000,0000,,Na tulikuta kwamba wale watoto wadogo Dialogue: 0,0:04:28.69,0:04:33.54,Default,,0000,0000,0000,,walio na uwezo mkubwa wa kusoma akili\Nna uwezo wa kujidhibiti Dialogue: 0,0:04:33.57,0:04:35.61,Default,,0000,0000,0000,,husema uwongo mapema Dialogue: 0,0:04:35.63,0:04:38.45,Default,,0000,0000,0000,,na ni waongo wa kisasa. Dialogue: 0,0:04:39.89,0:04:45.51,Default,,0000,0000,0000,,Kama inavyokuwa, uwezo huu wa aina mbili\Nni muhimu pia kwetu sote Dialogue: 0,0:04:45.53,0:04:48.05,Default,,0000,0000,0000,,kuweza kufanya kazi katika jamii yetu. Dialogue: 0,0:04:48.85,0:04:53.18,Default,,0000,0000,0000,,Ki ukweli, kushindwa kusoma akili\Nna uwezo wa kujidhibiti Dialogue: 0,0:04:53.21,0:04:56.77,Default,,0000,0000,0000,,vinahusianishwa na matatizo makubwa\Nya ukuaji, Dialogue: 0,0:04:56.79,0:04:59.55,Default,,0000,0000,0000,,kama ADHD na usonji. Dialogue: 0,0:05:01.89,0:05:07.07,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ukigundua mtoto wako wa miaka miwili\Nanakudanganya kwa mara ya kwanza, Dialogue: 0,0:05:07.09,0:05:09.08,Default,,0000,0000,0000,,badala ya kushtushwa, Dialogue: 0,0:05:09.10,0:05:10.59,Default,,0000,0000,0000,,unatakiwa usherehekee-- Dialogue: 0,0:05:10.62,0:05:12.14,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:05:12.16,0:05:17.89,Default,,0000,0000,0000,,kwasababu inaashiria kwamba mtoto wako\Namefikia hatua mpya Dialogue: 0,0:05:17.92,0:05:19.55,Default,,0000,0000,0000,,ya ukuaji wa kawaida. Dialogue: 0,0:05:21.08,0:05:24.22,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, watoto hawadanganyi vizuri? Dialogue: 0,0:05:24.88,0:05:27.87,Default,,0000,0000,0000,,Unafikiri unaweza kugundua\Nudanganyifu wao kirahisi? Dialogue: 0,0:05:28.74,0:05:30.42,Default,,0000,0000,0000,,Ungependa kujaribu? Dialogue: 0,0:05:30.92,0:05:32.40,Default,,0000,0000,0000,,Ndio? Sawa. Dialogue: 0,0:05:32.42,0:05:34.56,Default,,0000,0000,0000,,Sasa nitakuonyesha video mbili Dialogue: 0,0:05:35.02,0:05:36.18,Default,,0000,0000,0000,,Kwenye video, Dialogue: 0,0:05:36.20,0:05:39.26,Default,,0000,0000,0000,,watoto watajibu maswali ya\Nutafiti, Dialogue: 0,0:05:39.28,0:05:40.76,Default,,0000,0000,0000,,"Ulichungulia?" Dialogue: 0,0:05:40.79,0:05:42.34,Default,,0000,0000,0000,,Sasa jaribu kuniambia Dialogue: 0,0:05:42.36,0:05:43.76,Default,,0000,0000,0000,,mtoto yupi anadanganya Dialogue: 0,0:05:43.79,0:05:45.90,Default,,0000,0000,0000,,na mtoto yupi anasema ukweli. Dialogue: 0,0:05:46.27,0:05:47.99,Default,,0000,0000,0000,,Huyu ni mtoto namba moja. Dialogue: 0,0:05:48.99,0:05:50.23,Default,,0000,0000,0000,,Uko tayari? Dialogue: 0,0:05:51.01,0:05:52.93,Default,,0000,0000,0000,,(Video) Mtu: Ulichungulia? Mtoto: Hapana Dialogue: 0,0:05:53.62,0:05:55.86,Default,,0000,0000,0000,,Kang Lee: Na huyu ni mtoto namba mbili. Dialogue: 0,0:05:57.50,0:05:59.69,Default,,0000,0000,0000,,(Video) Mtu: Ulichungulia? Mtoto: Hapana. Dialogue: 0,0:06:01.30,0:06:04.88,Default,,0000,0000,0000,,KL: OK, kama unafikiri\Nmtoto namba moja anadanganya, Dialogue: 0,0:06:04.91,0:06:06.59,Default,,0000,0000,0000,,tafadhali inua mkono wako. Dialogue: 0,0:06:08.40,0:06:11.95,Default,,0000,0000,0000,,Na kama unafikiri mtoto namba mbili\Nanadanganya, tafadhali inua mkono wako. Dialogue: 0,0:06:13.59,0:06:16.07,Default,,0000,0000,0000,,OK, kusema ukweli, Dialogue: 0,0:06:16.09,0:06:19.03,Default,,0000,0000,0000,,mtoto namba moja anasema ukweli, Dialogue: 0,0:06:19.05,0:06:21.08,Default,,0000,0000,0000,,mtoto namba mbili anadanganya. Dialogue: 0,0:06:22.12,0:06:25.35,Default,,0000,0000,0000,,Inaonekana wengi wenu sio wagunduzi\Nwazuri wa uwongo wa watoto. Dialogue: 0,0:06:25.38,0:06:27.86,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:06:27.88,0:06:31.26,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, tumeshiriki kwenye michezo sawasawa Dialogue: 0,0:06:31.29,0:06:35.91,Default,,0000,0000,0000,,na watu wazima wengi sana\Nkutoka sehemu zote za maisha. Dialogue: 0,0:06:36.71,0:06:38.87,Default,,0000,0000,0000,,Na tunawaonyesha video nyingi. Dialogue: 0,0:06:39.35,0:06:41.90,Default,,0000,0000,0000,,Katika nusu ya video, watoto walidanganya. Dialogue: 0,0:06:41.92,0:06:45.19,Default,,0000,0000,0000,,Katika nusu ya video nyingine,\Nwatoto walisema ukweli. Dialogue: 0,0:06:46.53,0:06:49.39,Default,,0000,0000,0000,,Ngoja tuone \Nwatu wazima hawa walifanyaje. Dialogue: 0,0:06:50.32,0:06:54.17,Default,,0000,0000,0000,,Kwasababu kuna waongo wengi\Nkama wasema kweli, Dialogue: 0,0:06:54.20,0:06:56.60,Default,,0000,0000,0000,,ukikisia kwa kubahatisha, Dialogue: 0,0:06:56.62,0:07:00.69,Default,,0000,0000,0000,,kunauwezekano wa asilimia 50\Nukapatia. Dialogue: 0,0:07:00.72,0:07:04.31,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ikiwa usahihi wako ni takriban \Nasilimia 50, Dialogue: 0,0:07:04.33,0:07:07.77,Default,,0000,0000,0000,,inamaanisha wewe ni mgunduzi mbaya\Nwa uwongo wa watoto. Dialogue: 0,0:07:08.29,0:07:12.82,Default,,0000,0000,0000,,Sasa tuanze na wanafunzi wa shahada\Nya kwanza na wanafunzi wa sheria, Dialogue: 0,0:07:12.84,0:07:16.52,Default,,0000,0000,0000,,ambao kwa ujumla\Nhawana uzoefu na watoto. Dialogue: 0,0:07:18.04,0:07:20.00,Default,,0000,0000,0000,,Hapana hawawezi kugundua uwongo wa watoto Dialogue: 0,0:07:20.02,0:07:22.24,Default,,0000,0000,0000,,Utendaji wao ni wa kubahatisha Dialogue: 0,0:07:22.26,0:07:27.49,Default,,0000,0000,0000,,Sasa vipi kuhusu wafanyakazi za jamii\Nna walinda haki za watoto, Dialogue: 0,0:07:27.52,0:07:30.19,Default,,0000,0000,0000,,wanaofanyakazi na watoto kila siku? Dialogue: 0,0:07:30.21,0:07:32.30,Default,,0000,0000,0000,,Wanaweza kugundua uwongo wa watoto? Dialogue: 0,0:07:33.62,0:07:34.78,Default,,0000,0000,0000,,Hapana, hawawezi, Dialogue: 0,0:07:34.80,0:07:35.84,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:07:35.87,0:07:37.34,Default,,0000,0000,0000,,Vipi kuhusu majaji, Dialogue: 0,0:07:37.36,0:07:39.16,Default,,0000,0000,0000,,maafisa forodha Dialogue: 0,0:07:39.19,0:07:41.05,Default,,0000,0000,0000,,na maafisa polisi, Dialogue: 0,0:07:41.07,0:07:43.71,Default,,0000,0000,0000,,wanaokutana na wadanganyifu kila siku? Dialogue: 0,0:07:43.74,0:07:45.65,Default,,0000,0000,0000,,Wanaweza kugundua uwongo wa watoto? Dialogue: 0,0:07:46.80,0:07:48.01,Default,,0000,0000,0000,,Hapana hawawezi. Dialogue: 0,0:07:48.43,0:07:49.62,Default,,0000,0000,0000,,Vipi kuhusu wazazi? Dialogue: 0,0:07:49.64,0:07:52.65,Default,,0000,0000,0000,,Wazazi wanaweza kugundua uwongo wa watoto\Nwengine? Dialogue: 0,0:07:53.90,0:07:55.14,Default,,0000,0000,0000,,Hapana, hawawezi. Dialogue: 0,0:07:55.82,0:07:59.41,Default,,0000,0000,0000,,Inawezekana wazazi\Nkugundua uwongo wa watoto wao wenyewe? Dialogue: 0,0:08:01.21,0:08:02.41,Default,,0000,0000,0000,,Hapana, hawawezi. Dialogue: 0,0:08:02.43,0:08:05.91,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) (Makofi) Dialogue: 0,0:08:05.93,0:08:07.48,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo sasa unaweza kuuliza Dialogue: 0,0:08:08.50,0:08:12.14,Default,,0000,0000,0000,,kwanini uwongo wa watoto\Nni vigumu kuugundua. Dialogue: 0,0:08:12.96,0:08:15.97,Default,,0000,0000,0000,,Ngoja niwaonyeshe hili\Nna mtoto wangu mwenyewe, Nathan Dialogue: 0,0:08:15.99,0:08:18.16,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni hisia za uso wake\N Dialogue: 0,0:08:18.19,0:08:19.57,Default,,0000,0000,0000,,anapodanganya. Dialogue: 0,0:08:19.60,0:08:21.80,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:08:21.82,0:08:23.43,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo wakati watoto wanadanganya, Dialogue: 0,0:08:23.45,0:08:26.61,Default,,0000,0000,0000,,hisia za nyuso zao\Nni za kawaida. Dialogue: 0,0:08:27.12,0:08:30.58,Default,,0000,0000,0000,,Ingawa nyuma ya hii hisia ya kawaida, Dialogue: 0,0:08:30.61,0:08:33.93,Default,,0000,0000,0000,,mtoto kiukweli hupitia\Nhisia nyingi, Dialogue: 0,0:08:33.96,0:08:37.81,Default,,0000,0000,0000,,kama hofu, hatia, fedheha Dialogue: 0,0:08:37.84,0:08:40.93,Default,,0000,0000,0000,,na pengine raha ya kudanganya kidogo. Dialogue: 0,0:08:40.96,0:08:43.66,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:08:43.68,0:08:48.52,Default,,0000,0000,0000,,Bahati mbaya, hisia za aina hiyo\Nni aidha za muda mfupi au zimejificha Dialogue: 0,0:08:48.55,0:08:51.64,Default,,0000,0000,0000,,Kwahiyo, ni ambazo hazionekani kwetu. Dialogue: 0,0:08:51.67,0:08:53.03,Default,,0000,0000,0000,,Kwa miaka mitano iliyopita, Dialogue: 0,0:08:53.05,0:08:56.95,Default,,0000,0000,0000,,tumekuwa tukijaribu kutafuta njia\Nya kuonyesha hisia hizi zilizojificha. Dialogue: 0,0:08:56.97,0:08:58.49,Default,,0000,0000,0000,,Kisha tukapata ugunduzi. Dialogue: 0,0:08:59.27,0:09:02.46,Default,,0000,0000,0000,,Tunajua kwamba chini ya ngozi \Nza nyuso zetu, Dialogue: 0,0:09:02.48,0:09:05.88,Default,,0000,0000,0000,,kuna mtandao mkubwa wa mishipa ya damu. Dialogue: 0,0:09:05.90,0:09:08.32,Default,,0000,0000,0000,,Tunapopitia hisia tofauti, Dialogue: 0,0:09:08.34,0:09:10.98,Default,,0000,0000,0000,,msukumo wa damu usoni hubadilika \Nbila kujua. Dialogue: 0,0:09:11.61,0:09:15.56,Default,,0000,0000,0000,,Na mabadiliko haya huendeshwa\Nkwa mfumo wa autonomiki Dialogue: 0,0:09:15.58,0:09:17.75,Default,,0000,0000,0000,,ambayo ni nje ya uwezo wetu kudhibiti. Dialogue: 0,0:09:18.16,0:09:21.98,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kuangalia mabadiliko ya msukumo\Nwa damu usoni, Dialogue: 0,0:09:22.01,0:09:24.70,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kuonyesha hisia za watu \Nzilizojificha. Dialogue: 0,0:09:25.23,0:09:30.01,Default,,0000,0000,0000,,Bahati mbaya, hisia hizo zinazohusiana\Nna mabadiliko ya msukumo wa damu usoni Dialogue: 0,0:09:30.03,0:09:32.66,Default,,0000,0000,0000,,ni vigumu sana kugundua kwa macho yetu. Dialogue: 0,0:09:33.63,0:09:37.40,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo kusaidia kuonyesha\Nhisia za watu usoni, Dialogue: 0,0:09:37.42,0:09:40.46,Default,,0000,0000,0000,,tumeunda teknolojia mpya ya picha Dialogue: 0,0:09:40.48,0:09:43.63,Default,,0000,0000,0000,,tunaiita "tansderaml optical imaging" Dialogue: 0,0:09:44.68,0:09:48.63,Default,,0000,0000,0000,,Kufanya hivyo tunatumia kamera ya video\Nya kawaida kurekodi watu Dialogue: 0,0:09:48.66,0:09:51.74,Default,,0000,0000,0000,,wanapokuwa na hisia mbalimbali\Nzilizojificha Dialogue: 0,0:09:52.38,0:09:56.48,Default,,0000,0000,0000,,Na kisha, kwa kutumia teknolojia\Nya usindikaji picha, Dialogue: 0,0:09:56.50,0:10:02.04,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kupata picha kupitia ngozi\Nza mabadiliko ya msukumo wa damu usoni. Dialogue: 0,0:10:04.48,0:10:08.75,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kuangalia video za picha \Nkupitia ngozi, Dialogue: 0,0:10:08.77,0:10:10.56,Default,,0000,0000,0000,,sasa tunaweza kuona kwa urahisi Dialogue: 0,0:10:11.74,0:10:17.37,Default,,0000,0000,0000,,mabadiliko ya msukumo wa damu usoni\Nyanayohusiana na hisia zilizojificha. Dialogue: 0,0:10:17.94,0:10:19.73,Default,,0000,0000,0000,,Na kwa kutumia teknolojia hii, Dialogue: 0,0:10:19.76,0:10:24.42,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kuonyesha hisia zilizojificha\Nzinazohusiana na udanganyifu, Dialogue: 0,0:10:24.45,0:10:27.36,Default,,0000,0000,0000,,na kwahiyo kugundua uwongo wa watu. Dialogue: 0,0:10:27.38,0:10:29.82,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kufanya bila upasuaji, Dialogue: 0,0:10:29.84,0:10:32.38,Default,,0000,0000,0000,,kwa mbali, na gharama nafuu Dialogue: 0,0:10:32.41,0:10:36.07,Default,,0000,0000,0000,,kwa usahihi wa takriban asilimia 85 Dialogue: 0,0:10:36.09,0:10:38.15,Default,,0000,0000,0000,,ambayo ni bora kuliko kubahatisha. Dialogue: 0,0:10:39.10,0:10:42.89,Default,,0000,0000,0000,,Na kwa kuongezea, tumegundua\Nathari za Pinikio. Dialogue: 0,0:10:44.34,0:10:46.39,Default,,0000,0000,0000,,Hapana, sio athari za Pinokio huyu. Dialogue: 0,0:10:46.42,0:10:47.42,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:10:47.45,0:10:49.57,Default,,0000,0000,0000,,Hizi ni athari za kweli za Pinokio. Dialogue: 0,0:10:49.59,0:10:51.01,Default,,0000,0000,0000,,Wakati watu wanapodanganya, Dialogue: 0,0:10:51.03,0:10:54.81,Default,,0000,0000,0000,,msukumo wa damu usoni\Nkwenye mashavu hupungua, Dialogue: 0,0:10:54.84,0:10:58.10,Default,,0000,0000,0000,,na msukumo wa damu usoni\Nkwenye pua huongezeka. Dialogue: 0,0:10:59.38,0:11:02.89,Default,,0000,0000,0000,,Hata hivyo, kudanganya sio tukio pekee Dialogue: 0,0:11:02.91,0:11:05.76,Default,,0000,0000,0000,,ambalo litaamsha hisia zilizojificha. Dialogue: 0,0:11:05.78,0:11:07.66,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo basi tukajiuliza wenyewe, Dialogue: 0,0:11:07.68,0:11:10.03,Default,,0000,0000,0000,,pamoja na kugundua uwongo, Dialogue: 0,0:11:10.05,0:11:12.38,Default,,0000,0000,0000,,teknolojia yetu inaweza kutumikaje? Dialogue: 0,0:11:13.03,0:11:16.57,Default,,0000,0000,0000,,Utumikaji wake mmoja ni kwenye elimu. Dialogue: 0,0:11:16.60,0:11:21.26,Default,,0000,0000,0000,,Kwa mfano, kwa kutumia teknolojia hii,\Ntunaweza kumsaidia mwalimu huyu wa hesabu Dialogue: 0,0:11:21.28,0:11:24.19,Default,,0000,0000,0000,,kutambua wanafunzi darasani kwake Dialogue: 0,0:11:24.21,0:11:28.96,Default,,0000,0000,0000,,wanapata woga mkubwa\Nkuhusu mada anayofundisha Dialogue: 0,0:11:28.98,0:11:30.49,Default,,0000,0000,0000,,ili iweze kumsaidia. Dialogue: 0,0:11:31.34,0:11:34.08,Default,,0000,0000,0000,,Na pia tunaweza kuitumia katika huduma\Nza afya. Dialogue: 0,0:11:34.10,0:11:37.47,Default,,0000,0000,0000,,Mfano, kila siku natumia huduma ya\NSkype kuwasilina na wazazi wangu, Dialogue: 0,0:11:37.49,0:11:39.58,Default,,0000,0000,0000,,wanaoishi maelfu ya maili mbali. Dialogue: 0,0:11:40.18,0:11:41.100,Default,,0000,0000,0000,,Na kwa kutumia teknolojia hii, Dialogue: 0,0:11:42.02,0:11:45.50,Default,,0000,0000,0000,,Sio tu najua kinachoendelea\Nkatika maisha yao Dialogue: 0,0:11:45.53,0:11:51.83,Default,,0000,0000,0000,,lakini pia sambamba na kuangalia mapigo\Nyao ya moyo na kiwango cha msongo, Dialogue: 0,0:11:51.86,0:11:55.08,Default,,0000,0000,0000,,hali zao na kama wanapata\Nau hawapati maumivu. Dialogue: 0,0:11:55.84,0:11:57.65,Default,,0000,0000,0000,,Na pengine kwa siku za mbele, Dialogue: 0,0:11:57.67,0:12:00.96,Default,,0000,0000,0000,,hatari za mshtuko wa moyo au\Nshinikizo la damu Dialogue: 0,0:12:01.70,0:12:02.96,Default,,0000,0000,0000,,Na unaweza kuuliza: Dialogue: 0,0:12:03.47,0:12:08.95,Default,,0000,0000,0000,,Tunaweza kutumia hii pia\Nkuonyesha hisia za wanasiasa? Dialogue: 0,0:12:08.98,0:12:10.52,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:12:10.54,0:12:12.40,Default,,0000,0000,0000,,Kwa mfano, wakati wa mijadala Dialogue: 0,0:12:13.22,0:12:14.67,Default,,0000,0000,0000,,Kwakweli, jibu ni ndio. Dialogue: 0,0:12:15.17,0:12:17.11,Default,,0000,0000,0000,,Kutumia kipande kinachorushwa\Nkwenye TV, Dialogue: 0,0:12:17.14,0:12:21.18,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kugundua mapigo ya moyo\Nya mwanasiasa, Dialogue: 0,0:12:21.20,0:12:23.25,Default,,0000,0000,0000,,hali na msongo, Dialogue: 0,0:12:23.28,0:12:26.85,Default,,0000,0000,0000,,na pengine katika siku za mbele.\Niwe wanatudanganya au sivyo. Dialogue: 0,0:12:27.50,0:12:30.49,Default,,0000,0000,0000,,Tunaweza pia kutumia hii\Nkatika utafiti wa masoko, Dialogue: 0,0:12:30.52,0:12:32.37,Default,,0000,0000,0000,,kwa mfano, kujua Dialogue: 0,0:12:32.39,0:12:36.74,Default,,0000,0000,0000,,kama watu wanapenda au hawapendi\Nbidhaa fulani za matumizi. Dialogue: 0,0:12:37.23,0:12:39.47,Default,,0000,0000,0000,,Tunaweza hata kutumia kwenye miadi. Dialogue: 0,0:12:39.90,0:12:41.06,Default,,0000,0000,0000,,Sasa kwa mfano Dialogue: 0,0:12:41.09,0:12:43.68,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa mliyeahidiana anakuonyesha tabasamu, Dialogue: 0,0:12:43.71,0:12:46.50,Default,,0000,0000,0000,,teknolojia hii inaweza kukusaidia kujua Dialogue: 0,0:12:46.52,0:12:49.13,Default,,0000,0000,0000,,kama anakupenda kweli Dialogue: 0,0:12:49.16,0:12:51.33,Default,,0000,0000,0000,,au anajaribu tu kuonyesha wema kwako. Dialogue: 0,0:12:51.86,0:12:53.56,Default,,0000,0000,0000,,Na kwa suala hili, Dialogue: 0,0:12:53.58,0:12:55.46,Default,,0000,0000,0000,,anajaribu kuonyesha wema kwako. Dialogue: 0,0:12:55.48,0:12:57.88,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:12:59.24,0:13:02.95,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo teknolojia ya transdermal optical\Nimaging Dialogue: 0,0:13:02.98,0:13:05.56,Default,,0000,0000,0000,,iko katika hatua za mwanzo za kuendelezwa. Dialogue: 0,0:13:05.58,0:13:09.69,Default,,0000,0000,0000,,Matumizi mengi mapya yatakuja\Nambayo hatuyajui leo. Dialogue: 0,0:13:10.29,0:13:13.07,Default,,0000,0000,0000,,Ingawa, kitu kimoja ninachojua kwa uhakika Dialogue: 0,0:13:13.10,0:13:16.51,Default,,0000,0000,0000,,ni kwamba kudanganya\Nhakutakuwa kama zamani tena. Dialogue: 0,0:13:16.53,0:13:17.68,Default,,0000,0000,0000,,Asanteni sana. Dialogue: 0,0:13:17.72,0:13:18.95,Default,,0000,0000,0000,,Asanteni. Dialogue: 0,0:13:19.06,0:13:22.97,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi)