Na hapa juu, ni watu matajiri na wenye afya
kutumia darubini la macho, ni kiini muhimu cha kazi yangu
Nafunza somo la afya idhidiyo kila kitu(kiulimwengu)
Na na jua, kuwa na fununu ya mambo haitoshi
Nataka kuionyesha kinamna ambayo itaburudisha watu na pia wataielewa.
Kwa sasa, naenda kujaribu kitu amabacho sijakifanya abadani.
kuieleza hiyo habari katika pahali halisi.
kututumia usaidizi wa mahodari.
Basi twende, kwanza laini ya afya
Urefu wa misha toka miaka ishirini na mitano hadi miaka sabini na tano.
Na kwa chini, laini ya utajiri.
Uingizi wa mali: Mia nne, elfu nne na elfu arubaini Hela ya Kiamerika
Hapa chini, ni watu maskini na wagonjwa
Na sasa naenda kukuonyesha namna dunia ilivyokuwa miaka mia mbili iliyopota.
Mwaka 1810
Namna nchi zote zilivyokuwa.
Bara la Yuropa burauni, Asia nyekundu, Mashariki ya Kati kijani kibichi na Afrika Kusina ya Sahara bilu
Na Amerika ni yelo
Na kiwango cha doti cha onyesha kiwango cha watu katika kila nchi.
Mwaka 1810, idadi ya watu huko chini ilikuwa imefinyana.
Nchi zote zilikuwa gonjwa na maskini.
Urefu wa maisha ulikuwa chini ya miaka arubaini katika nchi zote
Na Uingereza na Uholanzi zilikuwa zenye ubora kidogo.
Lakini si wa wingi.
Na sasa, naanza na dunia nzima
Mabadiliko ya kimawanda yanafanya nchi za bara la ulaya na kwingine.
ziendelee mbele kiliko nchi zingine.
Lakini nchi zilizo chini ya utawa wa wazungu barani Asia na Afrika
zimebaki huko chini.
Ambapo nchi za Kazkazini zazidi kuwa na afya ya hali ya juu
na sasa twatuliza ili tuonyesha mahadhara
ya Vita vya kwanza vya Dunia
na homa ya Kispanishi. Mkasa gani huu!
Na sasa, naendelea kwa uharaka kuelezea miaka ya 1920 hadi 1930
na ijapokuwa na ududumishi wa kiuchumi mkubwa duniani
nchi za Kikazkazini zilizindi kuendelea
katika takahadi za kiutajiri na afya.
Nchi ya Japani na zinginezo zilifuata
lakini, nchi nyingi zilizidi kubaki chini
Na sasa, baada ya madhara ya Vita vya pili vya Dunia
ni vizuri tupumzike kidogo na kupiga darubini dunia ya mwaka wa 1948
Mwaka wa 1948, ulikuwa mwaka mzuri kwani vita vilikuwa vimekwisha
Na Swdeni ilishinda kwa makombe mengi katika michezo ya Kiolimpiki ya wakati wa ubaridi
Na hapo ndipo nilipozaliwa
Lakini tofauti kati ya nchi za dunia
ilizidi kupanuka na kupanuka
Muunganao wa Kiamerika ulikuwa usoni na Japani ikiwafuatiya
Brazili ilikuwa i nyuma bado
Irani ilikuwa yawa tajiri kutokana na hela ya mafuta lakini urefu wa maisha nchini ulikuwa chini bado
Na Majitu ya Kieshia
Uchina, India, Upakistani, Ubangladeshini na Indonesia
walikuwa bado maskini na wagonjwa
Lakini anagalia kwa umakanini kile kitakachotokea
Hapa twaenda tena
Katika maisha yangu, nchi zilizokuwa chini ya utawala wa wabeberu zilijinyakulia uhuru
hatimaye zilianza kuwa na afya
na hata afya zaidi
na afya zaidi
Na miaka ya 1970, nchi za Asia na Amerika ya Kiulatini
Zilianza kuwa kama nchi za Kikazkazini kimaendeleo
zilikuwa zazidi kukuwa kiuchumi
na zingine za Afrika zilifuata
za zingine za Afrika zilididimia katika vita vya kiwenyewe
na zingine zilizogwa na janga la Ukimwi
Na sasa twaweza kuona ulimwengu wa leo
kutokana na habari na vipimo vya kisasa
watu wengi hivi leo wanaishi katikati
lakini kuna tofauti kubwa sana
kati ya nchi zilizoendelea na nchi zilizobaki nyuma
na pia, ndani ya kila nchi, hakuna usawa
Na madoti haya yanaonyesha ulinganisha kwa nchi
lakini pia naweza kuyatenganisha
Angalia kama Uchina, naweza kuitenganisha kiwilaya
Waiona Shanghai
Iko na utajiri na afya mithili ya Uitalia ya leo
Na pia kuna wilaya maskini ya Gansu
Ni mithili ya Upakistani
N nikiigawanya zaidi
pande za mashabani ni mithili ys Ghana barani Afrika
Na dhidi ya hizi tofauti za leo
tumeona miaka mia mbili ya maendeleo yenye muhimu
Na nafasi kubwa ya kihistoria
kati ya nchi za kikazkazini na zinginezo zafungika
ulimwengu wa sasa unarudiana
na naona namna mambo yakavyokuwa miaka ijayo
na kupitia kwa usaidizi, amani na teknolojia safi
sinashaka kuwa kila mtu ataendelea
na kuwa na utajiri na afya
Basi, uliyoyaona kwa dakika chahe za mwisho
ni hadithi ya nchi mia mbili
ilioonyeshwa kupitia mia mia mbili na zaidi
na inawezeshwa kutumia nambari 120 000
Ni vizurii eeh,ama waonaje shoga wangu?