WEBVTT 00:00:00.344 --> 00:00:03.564 Baadhi ya nguo zetu nyingi hazita tumika tena. 00:00:04.208 --> 00:00:09.448 Taslimia tisini na tisa zitaishia hapa, kutupwa na kuchomwa kwenye jaa. 00:00:09.958 --> 00:00:14.368 Dunia yetu sasa hivi haiwezi kufyonza kiasi kikubwa cha nguo 00:00:14.368 --> 00:00:15.920 zinazo tengenezwa kila mwaka 00:00:16.054 --> 00:00:18.274 je, ingekuaje kama hizo nguo zilizoharibika 00:00:18.274 --> 00:00:21.974 zingetengezwa na kubadilishwa kuwa vitu vingine 00:00:23.004 --> 00:00:25.981 Nimekuja katika mji wa Italy unao itwa Prato 00:00:26.216 --> 00:00:31.866 Mji huu umetaalimu mtindo wa kugeuza mabaki ya zamani kuwa nguo mpya 00:00:32.059 --> 00:00:34.239 Hutupa ufahari 00:00:34.443 --> 00:00:36.133 Kinacho tendeka hapa ni cha kipekee 00:00:36.530 --> 00:00:39.160 Kuna kampuni zaidi ya mia katika mji huu mdogo 00:00:39.160 --> 00:00:43.285 Na kila moja ina utaalamu wake katika sehemu moja ya utengenezaje 00:00:43.632 --> 00:00:46.992 Iwe ni uzungushaji, ushoneshaji au kubuni. 00:00:47.566 --> 00:00:49.299 Na leo, ajabu 00:00:49.299 --> 00:00:55.253 Mji huu wasemekana kutengeza 15% ya vifaa vinavyo tumika tena duniani 00:00:56.792 --> 00:00:58.125 hii ni shati yako 00:00:58.125 --> 00:01:01.715 kama imezeeka sana kutumika katika duka la msaada, hutumwa kurekebishwa 00:01:02.345 --> 00:01:06.175 Hapa, hutenganishwa na rangi alafu kuraruliwa , kuoshwa 00:01:06.516 --> 00:01:11.421 alafu kifaa hicho kipya cha kutumika tena huchukuliwa na kubadilishwa 00:01:11.421 --> 00:01:14.421 kutengeza nguo mpya na mabaki kidogo 00:01:16.178 --> 00:01:17.348 Tumeharakisha sana 00:01:18.009 --> 00:01:19.999 Turudie mchakato huo tena 00:01:20.546 --> 00:01:21.816 unatoa nguo msaada 00:01:22.621 --> 00:01:25.891 zinafika hapa kutoka nchi nyingi tofauti 00:01:26.199 --> 00:01:29.394 Nguo zote zinazo weza kuuzwa mtumba 00:01:29.394 --> 00:01:31.854 zinapelekwa katika kampuni hii iliokuwa karibu 00:01:32.892 --> 00:01:35.903 Hapa, hazitenganishwi na rangi tu 00:01:36.251 --> 00:01:38.051 pia nyenzo 00:01:38.767 --> 00:01:40.717 Wadhani hizi zilikua suruali 00:01:40.989 --> 00:01:44.348 Nguo ngapi hapa mwazitengeza upya? 00:01:44.691 --> 00:01:46.890 Takriban tani 25 kila siku. 00:01:47.892 --> 00:01:49.762 Hizo nguo zaekwa hapa 00:01:49.828 --> 00:01:52.278 Inaitwa Carbonizing Machine 00:01:52.363 --> 00:01:55.014 Hutoa uchafu wote kutoka kwa pamba 00:01:55.832 --> 00:01:57.151 alafu hupitia hapa 00:01:57.764 --> 00:02:00.314 Ni kama mashini kubwa ya kuosha 00:02:00.543 --> 00:02:03.723 Hukatwa katwa, kusafishwa na kukaushwa 00:02:04.633 --> 00:02:06.243 Hii ndio bidhaa ya mwisho. 00:02:06.709 --> 00:02:12.519 Nguo zako nzee zimebadilishwa kuwa pamba nyembamba nzuri. 00:02:13.393 --> 00:02:14.976 Katika mchakato wa mwisho 00:02:14.976 --> 00:02:18.916 Hivi ndivyo bidhaa vya mwisho hua 00:02:19.376 --> 00:02:23.226 Hubadilishwa hapa mpaka chapa ya mitindo kuvinunua 00:02:23.461 --> 00:02:25.454 na kuvitumia kutengeza nguo 00:02:25.678 --> 00:02:30.088 Watu wengine husema kuwa mnatumia taka taka kutengeza nguo 00:02:30.390 --> 00:02:33.154 Hivi ndivo kulikua miaka ya zamani kidogo. 00:02:33.154 --> 00:02:36.799 Neno "taka taka" lilikua tusi. 00:02:37.101 --> 00:02:40.331 ila siku hizi, chapa ya mitindo mingi... hununua vifaa vyangu kwa sababu yake 00:02:40.331 --> 00:02:45.349 Kwa sababu wanajua kurejelea matumizi ya rasilimali itaokoa sayari. 00:02:47.233 --> 00:02:50.213 Matumizi ya pamba tena ni jambo zuri katika mazingira 00:02:50.373 --> 00:02:53.075 uzalishaji wa c02 ni zaidi ya nusu 00:02:53.075 --> 00:02:56.401 ukilinganishwa na utoleshaji wa nguo kutumia nyenzo mpya 00:02:56.672 --> 00:02:59.916 Tuna athari ya haraka kwa ustawi ya wanyama 00:02:59.916 --> 00:03:02.976 kwa sababu unapunguza mkazo kwamba unapaswa kuekea wanyama 00:03:03.115 --> 00:03:04.215 ili kupata pamba 00:03:04.530 --> 00:03:06.540 00:03:06.540 --> 00:03:10.115 00:03:11.352 --> 00:03:15.172 00:03:16.076 --> 00:03:17.712 00:03:17.712 --> 00:03:21.006 00:03:21.006 --> 00:03:24.172 00:03:24.286 --> 00:03:26.938 00:03:26.938 --> 00:03:29.728 00:03:30.351 --> 00:03:32.034 00:03:32.916 --> 00:03:36.236 00:03:36.659 --> 00:03:38.819 00:03:39.111 --> 00:03:43.751 00:03:43.950 --> 00:03:47.850 00:03:48.160 --> 00:03:51.060