0:00:00.344,0:00:03.564 Baadhi ya nguo zetu nyingi hazita tumika tena. 0:00:04.208,0:00:09.448 Taslimia tisini na tisa zitaishia hapa, kutupwa na kuchomwa kwenye jaa. 0:00:09.958,0:00:14.368 Dunia yetu sasa hivi haiwezi kufyonza kiasi kikubwa cha nguo 0:00:14.368,0:00:15.920 zinazo tengenezwa kila mwaka 0:00:16.054,0:00:18.274 je, ingekuaje kama hizo nguo zilizoharibika 0:00:18.274,0:00:21.974 zingetengezwa na kubadilishwa kuwa vitu vingine 0:00:23.004,0:00:25.981 Nimekuja katika mji wa Italy unao itwa Prato 0:00:26.216,0:00:31.866 Mji huu umetaalimu mtindo wa kugeuza mabaki ya zamani kuwa nguo mpya 0:00:32.059,0:00:34.239 Hutupa ufahari 0:00:34.443,0:00:36.133 Kinacho tendeka hapa ni cha kipekee 0:00:36.530,0:00:39.160 Kuna kampuni zaidi ya mia katika mji huu mdogo 0:00:39.160,0:00:43.285 Na kila moja ina utaalamu wake katika sehemu moja ya utengenezaje 0:00:43.632,0:00:46.992 Iwe ni uzungushaji, ushoneshaji au kubuni. 0:00:47.566,0:00:49.299 Na leo, ajabu 0:00:49.299,0:00:55.253 Mji huu wasemekana kutengeza 15% ya vifaa vinavyo tumika tena duniani 0:00:56.792,0:00:58.125 hii ni shati yako 0:00:58.125,0:01:01.715 kama imezeeka sana kutumika katika duka la msaada, hutumwa kurekebishwa 0:01:02.345,0:01:06.175 Hapa, hutenganishwa na rangi alafu kuraruliwa , kuoshwa 0:01:06.516,0:01:11.421 alafu kifaa hicho kipya cha kutumika tena huchukuliwa na kubadilishwa 0:01:11.421,0:01:14.421 kutengeza nguo mpya na mabaki kidogo 0:01:16.178,0:01:17.348 Tumeharakisha sana 0:01:18.009,0:01:19.999 Turudie mchakato huo tena 0:01:20.546,0:01:21.816 unatoa nguo msaada 0:01:22.621,0:01:25.891 zinafika hapa kutoka nchi nyingi tofauti 0:01:26.199,0:01:29.394 Nguo zote zinazo weza kuuzwa mtumba 0:01:29.394,0:01:31.854 zinapelekwa katika kampuni hii iliokuwa karibu 0:01:32.892,0:01:35.903 Hapa, hazitenganishwi na rangi tu 0:01:36.251,0:01:38.051 pia nyenzo 0:01:38.767,0:01:40.717 Wadhani hizi zilikua suruali 0:01:40.989,0:01:44.348 Nguo ngapi hapa mwazitengeza upya? 0:01:44.691,0:01:46.890 Takriban tani 25 kila siku. 0:01:47.892,0:01:49.762 Hizo nguo zaekwa hapa 0:01:49.828,0:01:52.278 Inaitwa Carbonizing Machine 0:01:52.363,0:01:55.014 Hutoa uchafu wote kutoka kwa pamba 0:01:55.832,0:01:57.151 alafu hupitia hapa 0:01:57.764,0:02:00.314 Ni kama mashini kubwa ya kuosha 0:02:00.543,0:02:03.723 Hukatwa katwa, kusafishwa na kukaushwa 0:02:04.633,0:02:06.243 Hii ndio bidhaa ya mwisho. 0:02:06.709,0:02:12.519 Nguo zako nzee zimebadilishwa kuwa pamba nyembamba nzuri. 0:02:13.393,0:02:14.976 Katika mchakato wa mwisho 0:02:14.976,0:02:18.916 Hivi ndivyo bidhaa vya mwisho hua 0:02:19.376,0:02:23.226 Hubadilishwa hapa mpaka chapa ya mitindo kuvinunua 0:02:23.461,0:02:25.454 na kuvitumia kutengeza nguo 0:02:25.678,0:02:30.088 Watu wengine husema kuwa mnatumia taka taka kutengeza nguo 0:02:30.390,0:02:33.154 Hivi ndivo kulikua miaka ya zamani kidogo. 0:02:33.154,0:02:36.799 Neno "taka taka" lilikua tusi. 0:02:37.101,0:02:40.331 ila siku hizi, chapa ya mitindo mingi... hununua vifaa vyangu kwa sababu yake 0:02:40.331,0:02:45.349 Kwa sababu wanajua kurejelea matumizi ya rasilimali itaokoa sayari. 0:02:47.233,0:02:50.213 Matumizi ya pamba tena ni jambo zuri katika mazingira 0:02:50.373,0:02:53.075 uzalishaji wa c02 ni zaidi ya nusu 0:02:53.075,0:02:56.401 ukilinganishwa na utoleshaji wa nguo kutumia nyenzo mpya 0:02:56.672,0:02:59.916 Tuna athari ya haraka kwa ustawi ya wanyama 0:02:59.916,0:03:02.976 kwa sababu unapunguza mkazo[br]kwamba unapaswa kuekea wanyama 0:03:03.115,0:03:04.215 ili kupata pamba 0:03:04.530,0:03:06.540 0:03:06.540,0:03:10.115 0:03:11.352,0:03:15.172 0:03:16.076,0:03:17.712 0:03:17.712,0:03:21.006 0:03:21.006,0:03:24.172 0:03:24.286,0:03:26.938 0:03:26.938,0:03:29.728 0:03:30.351,0:03:32.034 0:03:32.916,0:03:36.236 0:03:36.659,0:03:38.819 0:03:39.111,0:03:43.751 0:03:43.950,0:03:47.850 0:03:48.160,0:03:51.060