[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.14,0:00:03.55,Default,,0000,0000,0000,,Nipo hapa na Jesse ambae ni Mwalimu wa hesabu Dialogue: 0,0:00:03.55,0:00:05.16,Default,,0000,0000,0000,,kwenye chuo cha Khan Dialogue: 0,0:00:05.16,0:00:08.40,Default,,0000,0000,0000,,na una maswali mazuri au mawazo. Dialogue: 0,0:00:08.40,0:00:11.60,Default,,0000,0000,0000,,Swali ambalo wanafunzi wamekuwa wanauliza wanapojifunza algebra Dialogue: 0,0:00:11.60,0:00:16.11,Default,,0000,0000,0000,,ni kwa nini tunatumia herufi, kwa nini tuisitumie namba kwenye kila kitu? Dialogue: 0,0:00:16.11,0:00:18.08,Default,,0000,0000,0000,,Kwa nini tunatumia herufi?kwa nini tuna hizi Dialogue: 0,0:00:18.08,0:00:21.81,Default,,0000,0000,0000,,X, Y na Z na ABC tunapoanza kufanya algebra? Dialogue: 0,0:00:21.81,0:00:22.68,Default,,0000,0000,0000,,sawa. Dialogue: 0,0:00:22.68,0:00:28.29,Default,,0000,0000,0000,,Inafurahisha, tunawaacha mtafakari kwa mda kidogo. Dialogue: 0,0:00:28.29,0:00:30.23,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo Sal, utajibuje hili swali? Dialogue: 0,0:00:30.23,0:00:32.19,Default,,0000,0000,0000,,Kwa nini tunahitaji herufi kwenye Algebra? Dialogue: 0,0:00:32.19,0:00:35.82,Default,,0000,0000,0000,,Kuna sababu naweza kuzieleza. Dialogue: 0,0:00:35.82,0:00:38.03,Default,,0000,0000,0000,,Moja ni ukiwa huna kitu. Dialogue: 0,0:00:38.03,0:00:44.24,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo kama nikiandika X jumlisha tatu in sawa na kumi. Dialogue: 0,0:00:44.24,0:00:46.58,Default,,0000,0000,0000,,tunafanya hivi kwa sababu hatujui X ni nini Dialogue: 0,0:00:46.58,0:00:48.30,Default,,0000,0000,0000,,ni kitu kisichojulikana. Dialogue: 0,0:00:48.30,0:00:50.20,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tunaanza kuitafuta kwa njia tofauti. Dialogue: 0,0:00:50.20,0:00:51.71,Default,,0000,0000,0000,,Ila haitakiwi kuwa X. Dialogue: 0,0:00:51.71,0:00:55.70,Default,,0000,0000,0000,,Tunaweza kuweka nafasi wazi jumlisha tatu ni sawa na kumi. Dialogue: 0,0:00:55.70,0:00:59.72,Default,,0000,0000,0000,,Au tunaweza kuweka alama ya ulizo jumlisha tatu ni sawa na kumi. Dialogue: 0,0:00:59.72,0:01:03.15,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo sio lazima iwe herufi, ila kinachohitajika ni alama tu. Dialogue: 0,0:01:03.15,0:01:07.43,Default,,0000,0000,0000,,Inaweza kuwekwa hata uso jumlisha tatu ni sawa na kumi. Dialogue: 0,0:01:07.43,0:01:12.18,Default,,0000,0000,0000,,Ila mpaka ufahamu, unahitaji alama kuwakilisha hiyo namba tusiyoijua. Dialogue: 0,0:01:12.18,0:01:15.70,Default,,0000,0000,0000,,Sasa tunafanya hili swali na kisha tujue hiyo alama inawakilisha nini. Dialogue: 0,0:01:15.70,0:01:17.92,Default,,0000,0000,0000,,Kama tulijua kabla ya muda, isingekuwa ni kitu tusichokifahamu. Dialogue: 0,0:01:17.92,0:01:20.39,Default,,0000,0000,0000,,Isingekuwa ni kitu tusichokifahamu. Dialogue: 0,0:01:20.39,0:01:23.58,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo hiyo ni moja ya sababu ya kutumia herufi Dialogue: 0,0:01:23.58,0:01:26.49,Default,,0000,0000,0000,,na sehemu ambayo namba zenyewe haziwezi kusaidia. Dialogue: 0,0:01:26.49,0:01:28.94,Default,,0000,0000,0000,,Nyingine ni wakati unatazama mahusiano ya namba. Dialogue: 0,0:01:28.94,0:01:32.29,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo nitafanya kitu kama- ninaweza kusema Dialogue: 0,0:01:32.29,0:01:38.02,Default,,0000,0000,0000,,ukinipa tatu, nitakupa nne. Dialogue: 0,0:01:38.02,0:01:43.76,Default,,0000,0000,0000,,Na naweza kusema, kama ukinipa tano, nitakupa sita. Dialogue: 0,0:01:43.76,0:01:46.05,Default,,0000,0000,0000,,Ninaweza kuendelea mpaka mwisho. Dialogue: 0,0:01:46.05,0:01:51.63,Default,,0000,0000,0000,,Ukinipa 7.1, nitakupa 8.1. Dialogue: 0,0:01:51.63,0:01:54.43,Default,,0000,0000,0000,,Ninaweza kuendelea kuainisha mpaka mwisho. Dialogue: 0,0:01:54.43,0:01:57.48,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kunipa namba yeyote na nitakuambia nitakupa ngapi. Dialogue: 0,0:01:57.48,0:02:00.88,Default,,0000,0000,0000,,Ila nitaishiwa na sehemu na muda kama nikiziorodhesha zote. Dialogue: 0,0:02:00.88,0:02:06.26,Default,,0000,0000,0000,,Tutafanya vizuri kama tutatumia herufi kutambua namba. Dialogue: 0,0:02:06.26,0:02:11.30,Default,,0000,0000,0000,,Pengine ulichonipa tunakiita X na ninachokupa tunakiita Y. Dialogue: 0,0:02:11.30,0:02:14.68,Default,,0000,0000,0000,,Ninaweza kuisema chochote unachonipa nitajumlisha na moja. Dialogue: 0,0:02:14.68,0:02:16.87,Default,,0000,0000,0000,,Na ndicho nitakacho kurudishia. Dialogue: 0,0:02:16.87,0:02:20.67,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, huu ni mlinganyo mrahisi hapa Dialogue: 0,0:02:20.67,0:02:24.72,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kugundua namba inayowakilisha mahusiano baina ya X Dialogue: 0,0:02:24.72,0:02:28.22,Default,,0000,0000,0000,,na Y. Dialogue: 0,0:02:28.22,0:02:31.50,Default,,0000,0000,0000,,Sasa inajulikana X yeyote utakayonipa Dialogue: 0,0:02:31.50,0:02:34.61,Default,,0000,0000,0000,,umenipa tatu, nina jumlisha moja na nitakupa nne. Dialogue: 0,0:02:34.63,0:02:38.20,Default,,0000,0000,0000,,Ukinipa 7.1, nitajumlisha moja na nitakupa 8.1. Dialogue: 0,0:02:38.20,0:02:41.17,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna njia ya kuwakilisha zaidi ya kutumia alama. Dialogue: 0,0:02:41.17,0:02:43.96,Default,,0000,0000,0000,,Kwahiyo, sihitaji kutumia X na Y. Dialogue: 0,0:02:43.96,0:02:46.65,Default,,0000,0000,0000,,Hizi zimezoeleka kutumika tangu zamani Dialogue: 0,0:02:46.65,0:02:49.72,Default,,0000,0000,0000,,Ninaweza kusema ulichonipa ni nyota Dialogue: 0,0:02:49.72,0:02:54.83,Default,,0000,0000,0000,,na nilichokupa ni sura Dialogue: 0,0:02:54.83,0:02:57.73,Default,,0000,0000,0000,,na hii pia inaweza kuwa njia sahihi ya kuwakilisha. Dialogue: 0,0:02:57.73,0:03:01.73,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo herufi ni alama tu, \NHakuna cha ziada.