[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.48,0:00:02.06,Default,,0000,0000,0000,,Hawa ni minyoo. Dialogue: 0,0:00:02.09,0:00:04.68,Default,,0000,0000,0000,,Si minyoo ambayo utaiona ikitambaa kwenye uchafu Dialogue: 0,0:00:04.70,0:00:06.85,Default,,0000,0000,0000,,Hivi ni vimelea vya minyookuru. Dialogue: 0,0:00:06.88,0:00:09.31,Default,,0000,0000,0000,,Wanaishi ndani utumbo wa mwanadamu. Dialogue: 0,0:00:09.34,0:00:12.09,Default,,0000,0000,0000,,Kila mmoja wa minyoo hii huweza kukua hadi urefu wa inchi 12, Dialogue: 0,0:00:12.12,0:00:14.50,Default,,0000,0000,0000,,na wapo 200 katika kopo hili kwa sababu fulani, Dialogue: 0,0:00:14.52,0:00:16.90,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu hiyo ni idadi ambayo kwa kawaida utawakuta Dialogue: 0,0:00:16.93,0:00:19.37,Default,,0000,0000,0000,,ndani ya tumbo la mtoto anayeugua. Dialogue: 0,0:00:19.40,0:00:22.06,Default,,0000,0000,0000,,Maambukizi ya minyoo yamekuwapo kwa takribani ya maelfu ya miaka. Dialogue: 0,0:00:22.08,0:00:24.08,Default,,0000,0000,0000,,Yamechangia katika matokeo ya baada ya vita, Dialogue: 0,0:00:24.10,0:00:26.02,Default,,0000,0000,0000,,na kukinzana na afya ya mwanadamu kwa muda sana. Dialogue: 0,0:00:26.04,0:00:27.63,Default,,0000,0000,0000,,minyookuru, safura, Dialogue: 0,0:00:27.65,0:00:29.67,Default,,0000,0000,0000,,minyoo-mjeledi, kichocho: Dialogue: 0,0:00:29.70,0:00:32.81,Default,,0000,0000,0000,,maambukizi kutoka katika vijidudu hivi husababisha maumivu na kukosa raha. Dialogue: 0,0:00:32.83,0:00:34.93,Default,,0000,0000,0000,,Huiba virutubisho na kunyong'onyeza mwili. Dialogue: 0,0:00:34.95,0:00:37.42,Default,,0000,0000,0000,,Hudumaza ukuaji wa kimwili na kiakili. Dialogue: 0,0:00:37.45,0:00:40.17,Default,,0000,0000,0000,,Katika matukio mbalimbali, minyoo hawa huwa si wenye madhara makubwa, Dialogue: 0,0:00:40.20,0:00:42.37,Default,,0000,0000,0000,,lakini cha kushangaza, hiyo ndiyo sababu mojawapo ya tatizo. Dialogue: 0,0:00:42.40,0:00:43.94,Default,,0000,0000,0000,,Inamaanisha kwamba nchi nyingi Dialogue: 0,0:00:43.96,0:00:46.69,Default,,0000,0000,0000,,hazihitajika kuweza kutoa kipaumbele cha matibabu yake. Dialogue: 0,0:00:46.72,0:00:48.34,Default,,0000,0000,0000,,Na kuna madhara kwa jamii kutokana na hilo: Dialogue: 0,0:00:48.36,0:00:50.55,Default,,0000,0000,0000,,watoto ambao hawapati huduma za dawa za kuua minyoo Dialogue: 0,0:00:50.58,0:00:52.62,Default,,0000,0000,0000,,wana mahudhurio ya chini shuleni. Dialogue: 0,0:00:52.64,0:00:54.75,Default,,0000,0000,0000,,Watu wazima ambao hukua bila kutumia dawa za kuua minyoo Dialogue: 0,0:00:54.78,0:00:57.58,Default,,0000,0000,0000,,hawawezi fanya kazi kwa juhudi na huwa na kipato duni. Dialogue: 0,0:00:57.60,0:00:59.71,Default,,0000,0000,0000,,Kitu ambacho minyoo hufanya, kihalisia, Dialogue: 0,0:00:59.74,0:01:01.16,Default,,0000,0000,0000,,ni kuweka kikwazo cha uwezo wa uchapakazi. Dialogue: 0,0:01:01.19,0:01:05.41,Default,,0000,0000,0000,,Hadi sasa, kuna watu bilioni 1.7 duniani walio katika hatari ya minyoo hii. Dialogue: 0,0:01:05.43,0:01:07.88,Default,,0000,0000,0000,,Milioni mia sita kati yao wanaishi Afrika. Dialogue: 0,0:01:07.90,0:01:11.03,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kila dola inayowekezwa katika kupambana na kuondokana na minyoo, Dialogue: 0,0:01:11.05,0:01:15.20,Default,,0000,0000,0000,,Afrika inapata hadi dola 42 katika faidiko la kiuchumi. Dialogue: 0,0:01:15.23,0:01:18.27,Default,,0000,0000,0000,,Habari njema ni kwamba matibabu ya kuua minyoo ni rahisi mno. Dialogue: 0,0:01:18.30,0:01:20.54,Default,,0000,0000,0000,,Kuanzia kidonge kimoja hadi vitatu vikitolewa mara moja au mbili kwa mwaka Dialogue: 0,0:01:20.56,0:01:23.60,Default,,0000,0000,0000,,hutosha kabisa kumfanya mtoto kutoka kuwa na minyoo 200 hadi kutokuwa na mnyoo hata mmoja Dialogue: 0,0:01:23.63,0:01:26.05,Default,,0000,0000,0000,,na kuwalinda na maambukizi yajayo. Dialogue: 0,0:01:26.08,0:01:28.70,Default,,0000,0000,0000,,Katika jamii ambazo kuna uwepo mkubwa wa minyoo, Dialogue: 0,0:01:28.72,0:01:30.54,Default,,0000,0000,0000,,matibabu yanaweza fanyika shuleni. Dialogue: 0,0:01:30.86,0:01:33.19,Default,,0000,0000,0000,,Mchakato huu ni rahisi na wa haraka. Dialogue: 0,0:01:33.21,0:01:36.34,Default,,0000,0000,0000,,Nchini Ethiopia, kwa mfano, hii inafanyika kwa watoto milioni 20 Dialogue: 0,0:01:36.36,0:01:38.15,Default,,0000,0000,0000,,ndani ya wiki chache tu. Dialogue: 0,0:01:38.17,0:01:39.80,Default,,0000,0000,0000,,Dunia imetoka mbali Dialogue: 0,0:01:39.82,0:01:42.65,Default,,0000,0000,0000,,katika kuwapatia dawa za minyoo watu wanaozihitaji, Dialogue: 0,0:01:42.67,0:01:45.21,Default,,0000,0000,0000,,na serikali za nchi za Afrika zinataka kupata msukumo. Dialogue: 0,0:01:45.24,0:01:47.35,Default,,0000,0000,0000,,Ni wakati sasa wa kuendana na malengo yao. Dialogue: 0,0:01:47.73,0:01:49.67,Default,,0000,0000,0000,,Mradi wa END utashirikiana na serikali Dialogue: 0,0:01:49.70,0:01:54.42,Default,,0000,0000,0000,,kuandaa mpango madhubuti wa kupunguza mzigo wa magonjwa yanayosababishwa na minyoo. Dialogue: 0,0:01:54.44,0:01:57.58,Default,,0000,0000,0000,,Watafanya kazi pamoja kuhakikisha programu za kinga na tiba Dialogue: 0,0:01:57.60,0:01:58.90,Default,,0000,0000,0000,,zinaweza kumpa huduma kila mtu. Dialogue: 0,0:01:58.92,0:02:01.10,Default,,0000,0000,0000,,Mradi wa END una wazo lenye uthubutu: Dialogue: 0,0:02:01.12,0:02:05.50,Default,,0000,0000,0000,,wanaamini kwamba sisi ni kizazi ambacho kitakomesha magonjwa yatokanayo na minyoo milele. Dialogue: 0,0:02:05.53,0:02:08.72,Default,,0000,0000,0000,,Mpango si tu kuunda programu mpya kuanzia mwanzo, Dialogue: 0,0:02:08.75,0:02:12.39,Default,,0000,0000,0000,,lakini kuzipa muamko zaidi juhudi za programu ambazo tayari zinaleta mabadiliko. Dialogue: 0,0:02:12.41,0:02:15.52,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kutathmini tatizo la namna gani minyoo husambaza magonjwa, Dialogue: 0,0:02:15.55,0:02:19.47,Default,,0000,0000,0000,,mradi wa END umegundua sehemu tano muhimu ambazo wanaweza fanyia maboresho. Dialogue: 0,0:02:20.02,0:02:22.46,Default,,0000,0000,0000,,Namba moja: matibabu yaliyo nafuu. Dialogue: 0,0:02:22.48,0:02:25.53,Default,,0000,0000,0000,,Makampuni mengi ya kutengeneza madawa hutoa dawa za minyoo bure, Dialogue: 0,0:02:25.56,0:02:27.70,Default,,0000,0000,0000,,hivyo mradi wa END unafanya kazi na washirika sahihi Dialogue: 0,0:02:27.72,0:02:29.29,Default,,0000,0000,0000,,kusimamia utoaji wa dawa. Dialogue: 0,0:02:29.32,0:02:31.74,Default,,0000,0000,0000,,Wataendelea kusimamia utoaji wa dawa Dialogue: 0,0:02:31.76,0:02:34.40,Default,,0000,0000,0000,,katika jamii ambazo zipo katika hatari. Dialogue: 0,0:02:34.98,0:02:38.76,Default,,0000,0000,0000,,Sasa wanaweza kufanya kwa chini ya zaidi ya senti 25 kwa mtoto katika mwaka mmoja. Dialogue: 0,0:02:39.12,0:02:41.55,Default,,0000,0000,0000,,Namba mbili: kutazamia katika kinga. Dialogue: 0,0:02:41.57,0:02:44.58,Default,,0000,0000,0000,,Mradi wa END unahamasisha washirika sahihi ili kuelimisha jamii Dialogue: 0,0:02:44.60,0:02:46.17,Default,,0000,0000,0000,,katika usafi wa mazingira na usafi binafsi Dialogue: 0,0:02:46.19,0:02:49.04,Default,,0000,0000,0000,,ili kuweza kubadili mienendo kama kuosha mikono Dialogue: 0,0:02:49.06,0:02:50.21,Default,,0000,0000,0000,,na matumizi ya msalani, Dialogue: 0,0:02:50.23,0:02:52.93,Default,,0000,0000,0000,,kuhakikisha kwamba watu hawapati tena maambukizi. Dialogue: 0,0:02:52.95,0:02:55.66,Default,,0000,0000,0000,,Namba tatu: kuwekeza katika ubunifu. Dialogue: 0,0:02:55.68,0:02:57.76,Default,,0000,0000,0000,,Mradi wa END umechangia katika kutokomeza minyoo Dialogue: 0,0:02:57.78,0:03:02.02,Default,,0000,0000,0000,,kwa kuleta namna za kibunifu ambazo zinawalenga watu na kuwatibu. Dialogue: 0,0:03:02.05,0:03:03.82,Default,,0000,0000,0000,,Watajaribu namna mpya za utoaji huduma, Dialogue: 0,0:03:03.84,0:03:06.03,Default,,0000,0000,0000,,kulenga mazingira ambayo vimelea huweza kuishi Dialogue: 0,0:03:06.06,0:03:07.77,Default,,0000,0000,0000,,na kushawishi mabadiliko ya mienendo. Dialogue: 0,0:03:07.79,0:03:10.50,Default,,0000,0000,0000,,Namba nne: kusimamia na kufanya tathmini. Dialogue: 0,0:03:10.53,0:03:14.32,Default,,0000,0000,0000,,Mradi wa END hukusanya taarifa za programu zote mara kwa mara Dialogue: 0,0:03:14.35,0:03:17.06,Default,,0000,0000,0000,,ili kuweza kuboresha programu zaidi na zaidi kadiri muda unavyokwenda. Dialogue: 0,0:03:17.08,0:03:19.92,Default,,0000,0000,0000,,Namba tano: kuongeza umilikishaji katika jamii. Dialogue: 0,0:03:19.95,0:03:21.57,Default,,0000,0000,0000,,Katika hatua zote za mchakato, Dialogue: 0,0:03:21.59,0:03:24.76,Default,,0000,0000,0000,,mradi wa END unafanya kazi na serikali na wadau katika jamii Dialogue: 0,0:03:24.78,0:03:28.56,Default,,0000,0000,0000,,ili kuweza kuchangia michango ya kifedha kwa pamoja ili kuunga mkono juhudi za kuondokana na minyoo. Dialogue: 0,0:03:28.58,0:03:30.76,Default,,0000,0000,0000,,Wamefanya kazi wa wahisani kutoka Afrika Dialogue: 0,0:03:30.78,0:03:33.63,Default,,0000,0000,0000,,na viongozi wa makampuni katika juhudi hizi. Dialogue: 0,0:03:33.66,0:03:37.38,Default,,0000,0000,0000,,Kuna fursa kubwa sana ya kufanya kazi pamoja kutengeneza namna mpya Dialogue: 0,0:03:37.40,0:03:40.62,Default,,0000,0000,0000,,ya kuondoa ugonjwa kwa muongo unaofata na zaidi. Dialogue: 0,0:03:40.65,0:03:42.40,Default,,0000,0000,0000,,Kiasi cha fedha ambacho mradi wa END unahitaji Dialogue: 0,0:03:42.43,0:03:45.03,Default,,0000,0000,0000,,kitakwenda moja kwa moja katika utoaji wa matibabu ya minyoo Dialogue: 0,0:03:45.05,0:03:46.45,Default,,0000,0000,0000,,kwa jamii ambazo zina uhitaji Dialogue: 0,0:03:46.47,0:03:49.89,Default,,0000,0000,0000,,na kiasi kingine kitaenda katika uwezeshaji wa miradi Dialogue: 0,0:03:49.92,0:03:51.22,Default,,0000,0000,0000,,kwa umilikishaji wa jamii. Dialogue: 0,0:03:51.24,0:03:54.70,Default,,0000,0000,0000,,Kwa pamoja, hizi juhudi zitatengeneza programu za kukinga na kutibu Dialogue: 0,0:03:54.73,0:03:57.31,Default,,0000,0000,0000,,ambazo zitakuwa madhubuti hadi miaka ijayo. Dialogue: 0,0:03:57.34,0:04:00.83,Default,,0000,0000,0000,,Kama mradi huu utawezeshwa kifedha kwa miaka sita ijayo, Dialogue: 0,0:04:00.85,0:04:04.51,Default,,0000,0000,0000,,makumi ya mamilioni ya watu wataweza pata matibabu ya minyoo. Dialogue: 0,0:04:04.88,0:04:08.60,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hilo, nchi zitaweza kuuondoa mzunguko wa maambukizi ya ugonjwa Dialogue: 0,0:04:08.63,0:04:09.80,Default,,0000,0000,0000,,katika ngazi zote, Dialogue: 0,0:04:09.82,0:04:13.68,Default,,0000,0000,0000,,na lililo muhimu zaidi, watu wataweza kuimarika zaidi Dialogue: 0,0:04:13.70,0:04:16.65,Default,,0000,0000,0000,,katika afya ya kiakili, kimwili na mahusiano ya kijamii. Dialogue: 0,0:04:16.68,0:04:19.19,Default,,0000,0000,0000,,Hebu fikiria uwezo utakao kuwepo Dialogue: 0,0:04:19.22,0:04:21.64,Default,,0000,0000,0000,,pale watu wanapokoma kupata wasiwasi wa jambo hili Dialogue: 0,0:04:21.66,0:04:24.51,Default,,0000,0000,0000,,na kuweka nguvu zao katika mambo kama haya. Dialogue: 0,0:04:25.33,0:04:27.05,Default,,0000,0000,0000,,(Wanafunzi wakipaza sauti) Dialogue: 0,0:04:27.07,0:04:30.26,Default,,0000,0000,0000,,(Wakipiga makofi na kuimba) Dialogue: 0,0:04:30.28,0:04:33.12,Default,,0000,0000,0000,,(Wakishangilia)