[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:01.98,Default,,0000,0000,0000,,{muziki wa kizalendo} Dialogue: 0,0:00:03.24,0:00:06.26,Default,,0000,0000,0000,,Ukitaka kuweza kupiga kura Novemba Dialogue: 0,0:00:06.26,0:00:08.07,Default,,0000,0000,0000,,Itabidi umejisajilisha kwanza Dialogue: 0,0:00:08.07,0:00:09.74,Default,,0000,0000,0000,,hakikisha kutumia fungo hili Dialogue: 0,0:00:09.74,0:00:12.02,Default,,0000,0000,0000,,kuona kama umesajiliwa tiyari. Kama bado Dialogue: 0,0:00:12.02,0:00:14.81,Default,,0000,0000,0000,,ama kama ulihama au kubadli jina tangia Dialogue: 0,0:00:14.81,0:00:18.34,Default,,0000,0000,0000,,ulipopiga kura tumia hilo fungo kusajili Dialogue: 0,0:00:18.34,0:00:21.10,Default,,0000,0000,0000,,Kwa wale ambao wana leseni halali ya udereva ya Georgia Dialogue: 0,0:00:21.10,0:00:23.71,Default,,0000,0000,0000,,ingiza nambari ya hiyo leseni kenye fomu mtandaoni Dialogue: 0,0:00:23.71,0:00:27.36,Default,,0000,0000,0000,,Kama hauna leseni ya udereva ya Georgia, utaulizwa uipige chapa na kutia sahihi. Dialogue: 0,0:00:27.36,0:00:29.01,Default,,0000,0000,0000,,na hatimaye kuituma kutumia posta. Dialogue: 0,0:00:29.01,0:00:31.60,Default,,0000,0000,0000,,Najua inaudhi lakini ni muhimu kwa hivyo fanya tu. Dialogue: 0,0:00:31.60,0:00:33.45,Default,,0000,0000,0000,,Makataa ya kusajili ni tarehe 5 Oktoba Dialogue: 0,0:00:33.45,0:00:36.25,Default,,0000,0000,0000,,ukitaka kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Novemba 3 Dialogue: 0,0:00:36.25,0:00:39.11,Default,,0000,0000,0000,,Ukishajisajili unaweza chagua jinsi kadhaa Dialogue: 0,0:00:39.11,0:00:41.72,Default,,0000,0000,0000,,ya kupiga kura. Yeyote aliye Georgia anaweza piga kura kwa njia ya posta Dialogue: 0,0:00:41.72,0:00:44.05,Default,,0000,0000,0000,,al maarufu kama kupiga kura kwa kutokuwa' Dialogue: 0,0:00:44.05,0:00:46.77,Default,,0000,0000,0000,,unachofaa kufanya ni kuyeyusha fomu kutoka kwenye fungo hili Dialogue: 0,0:00:46.77,0:00:49.80,Default,,0000,0000,0000,,lijaze kisha ulitume kwa ofisi ya mrajisi wa bodi ya gatuzi lako. Dialogue: 0,0:00:49.80,0:00:52.38,Default,,0000,0000,0000,,Hii hapa fungo la anwani zote maelezoni Dialogue: 0,0:00:52.38,0:00:54.07,Default,,0000,0000,0000,,Kimsingi, maombi ya kupiga kura kwa kutokuwa yanakubalika Georgia kabla ya OKtoba 30. Dialogue: 0,0:00:54.07,0:00:57.14,Default,,0000,0000,0000,,Pindi unapotuma ombi la kijisajili kama mpiga kura wa kutokuwa utapata Dialogue: 0,0:00:57.14,0:01:00.93,Default,,0000,0000,0000,,kura yako na kuchukua muda mrefu wa kufanya uamuzi mwafaka. Dialogue: 0,0:01:00.93,0:01:02.65,Default,,0000,0000,0000,,na kutuma kupitia posta kabla ya Novemba 3 Dialogue: 0,0:01:03.52,0:01:05.64,Default,,0000,0000,0000,,Pia unaweza piga kura mapema kuanzia Oktoba 12 hadi November 3 Dialogue: 0,0:01:08.17,0:01:09.43,Default,,0000,0000,0000,,Nyakati na maeneo yanatofautiana kutoka gatuzi moja hadi nyingine lakini zote zinakukubalia Dialogue: 0,0:01:09.43,0:01:13.13,Default,,0000,0000,0000,,kupiga kura mapema angalau Jumamosi moja ikiwa kupiga kura mwishoni mwa wiki inakufaa. Dialogue: 0,0:01:13.13,0:01:16.55,Default,,0000,0000,0000,,kuna fungo katika maelezo ambapo unaweza chagua gatuzi lako Dialogue: 0,0:01:16.55,0:01:19.26,Default,,0000,0000,0000,,na itakueleza lini na wapi unaweza piga kura mapema. Dialogue: 0,0:01:19.26,0:01:22.70,Default,,0000,0000,0000,,Ukitaka mbwembwe za kupiga kura binafsi Novemba 3 Dialogue: 0,0:01:22.70,0:01:26.68,Default,,0000,0000,0000,,ingawa unaweza pata pa kupigia kura kutumia fungo uliotumia kujisajili. Dialogue: 0,0:01:26.68,0:01:30.26,Default,,0000,0000,0000,,Vituo vya kupiga kura inafunguliwa saa moja asubuhi hadi saa moja jioni nchini kote. Dialogue: 0,0:01:30.26,0:01:34.01,Default,,0000,0000,0000,,Watakubali leseni ya udereva, kitambulisho cha jimbo, paspoti, kitambulisho cha jeshi au kitambulisho cha kabila Dialogue: 0,0:01:34.01,0:01:36.56,Default,,0000,0000,0000,,Usipokuwa na aina yoyote ya hizo vitambulisho Dialogue: 0,0:01:37.70,0:01:40.18,Default,,0000,0000,0000,,unaweza pata kitambulisho cha kupiga kura cha bure katika ofisi ya mrajisi wa gatuzi lako au DMV Dialogue: 0,0:01:40.18,0:01:44.35,Default,,0000,0000,0000,,Saa ambazo ofisi hizo zimefunguliwa zinaweza tofautiana na pia unahitaji cheti cha kuzaliwa. Dialogue: 0,0:01:44.35,0:01:46.60,Default,,0000,0000,0000,,na thibitisho ya anwani kupata kitambulisho cha kupiga kura cha bure. Dialogue: 0,0:01:46.60,0:01:47.50,Default,,0000,0000,0000,,anza kuishughulikia sasa Dialogue: 0,0:01:47.50,0:01:49.96,Default,,0000,0000,0000,,Ukitaka kuona kila kitu utakacho kipigia kura Dialogue: 0,0:01:49.96,0:01:52.39,Default,,0000,0000,0000,,kuna fungo hapa chini kukuelekeza unapoweza kupata sampuli ya kura Dialogue: 0,0:01:52.39,0:01:54.73,Default,,0000,0000,0000,,ni fungo hilohilo utakalolitumia kujisajili na kuangalia eneo lako la kupiga kura Dialogue: 0,0:01:54.73,0:01:56.91,Default,,0000,0000,0000,,Hii inakupatia nafasi ya kutafiti wagombea Dialogue: 0,0:01:56.91,0:01:58.60,Default,,0000,0000,0000,,katika uchaguzi wako wa mitaa mapema Dialogue: 0,0:01:58.60,0:02:01.71,Default,,0000,0000,0000,,Si lazima upigie kura kila kipengee katika karatasi ya kura kama hautaki. Dialogue: 0,0:02:01.71,0:02:04.77,Default,,0000,0000,0000,,lakini ukitaka kuwa na semi katika kura hizo za maana za mitaa Dialogue: 0,0:02:04.77,0:02:07.27,Default,,0000,0000,0000,,ni muhimu kujua ni nini inaendelea huko Dialogue: 0,0:02:07.27,0:02:09.01,Default,,0000,0000,0000,,kabla ya kuingia katika kibanda cha kupiga kura Dialogue: 0,0:02:09.01,0:02:12.03,Default,,0000,0000,0000,,ukitaka unaweza kupiga moja chapa na kuja nayo kwa eneo la kupiga kura Dialogue: 0,0:02:12.03,0:02:14.01,Default,,0000,0000,0000,,hivyo, unaweza kumbuka unayetaka kumpigia kura Dialogue: 0,0:02:14.01,0:02:15.83,Default,,0000,0000,0000,,Cha mwisho, kama unaenda kupiga kura Dialogue: 0,0:02:15.83,0:02:18.56,Default,,0000,0000,0000,,fungua programu yako ya nakala au karatasi na ufanye mpango Dialogue: 0,0:02:18.56,0:02:20.55,Default,,0000,0000,0000,,andika lini na vipi unaenda kujisajili Dialogue: 0,0:02:20.55,0:02:23.10,Default,,0000,0000,0000,,ni wakati upi utapiga kura na ni vipi utafika huko Dialogue: 0,0:02:23.10,0:02:24.53,Default,,0000,0000,0000,,ni kitambulisho kipi utakitumia Dialogue: 0,0:02:24.53,0:02:26.65,Default,,0000,0000,0000,,na hata kukileta katika kituo cha kupiga kura Dialogue: 0,0:02:26.65,0:02:28.59,Default,,0000,0000,0000,,Kuwa na mpango ni nji mwafaka ya kuhakikisha Dialogue: 0,0:02:28.59,0:02:31.24,Default,,0000,0000,0000,,kuwa hakuna kitu usichokitarajia kitakacho kuzuia kupiga kura Novemba 3 Dialogue: 0,0:02:31.24,0:02:33.36,Default,,0000,0000,0000,,Fungo zote unazohitaji kuangalia usajili wako Dialogue: 0,0:02:33.36,0:02:35.11,Default,,0000,0000,0000,,na vituo vya kupiga kura vitakuwa katika maelezo Dialogue: 0,0:02:35.11,0:02:36.58,Default,,0000,0000,0000,,Asante kwa kupiga kura Dialogue: 0,0:02:36.58,0:02:38.97,Default,,0000,0000,0000,,Jinsi ya kupiga kura katika kila jimbo inaandaliwa na Complexly Dialogue: 0,0:02:38.97,0:02:41.19,Default,,0000,0000,0000,,kwa usirikiano na mradi wa mpiga kura wa The MediaWise Dialogue: 0,0:02:41.19,0:02:44.26,Default,,0000,0000,0000,,inayoongozwa na taasisi ya Polynter na kuungwa mkono na facebook.