0:00:10.345,0:00:12.885 [Viwango vya Uandishi wa habari] 0:00:13.520,0:00:15.680 Uandishi wa habari ni desturi ya kutafiti, 0:00:15.680,0:00:18.320 kuthibitisha, na kuonyesha [br]maelezo kwa umma. 0:00:19.280,0:00:22.066 Lakini si uandishi wote wa habari [br]hubuniwa kwa njia sawa. 0:00:22.383,0:00:25.470 Ripoti zinaweza kuwa taarifa fupi rasmi [br]zilizoandikwa haraka, 0:00:25.840,0:00:29.840 hadi uchunguzi thabiti ambao unaweza[br]kuchukua muda na juhudi kutayarisha. 0:00:30.060,0:00:32.779 Huenda utoaji wa ripoti unaofanana na [br]uandishi wa habari 0:00:32.779,0:00:35.260 usiwe na viwango sawa vya [br]utafiti na msimamo 0:00:35.290,0:00:37.912 kama ripoti zilizotayarishwa na[br]mashirika ya kitaalamu. 0:00:38.130,0:00:39.546 Ili kuchanganya mambo zaidi, 0:00:39.566,0:00:43.384 maelezo bandia na ya kupotosha mtandaoni [br]yanaweza pia kuonekana kama uanahabari. 0:00:43.760,0:00:46.265 Kwa kuwa kuna nyenzo nyingi tofauti, 0:00:46.265,0:00:47.600 ni muhimu kubaini 0:00:47.600,0:00:50.250 maelezo yanayoaminika na yasiyoaminika. 0:00:50.870,0:00:54.510 Njia moja kuu ya kufanya hili ni kutafuta [br]maelezo kutoka kwa mashirika 0:00:54.510,0:00:57.160 yanayofanya shughuli kulingana na [br]viwango vilivyowekwa. 0:00:58.000,0:01:00.990 Mashirika ya kitaalamu ya habari [br]huwa si sahihi nyakati zote, 0:01:00.990,0:01:02.960 lakini hadithi inaweza kuaminika zaidi 0:01:02.960,0:01:06.400 iwapo lmetayarishwa katika mchakato [br]unaojumuisha kutilia mkazo usahihi. 0:01:06.650,0:01:09.913 Unaweza kutathmini ubora wa ripoti [br]inayotokana na uandishi wa habari 0:01:09.973,0:01:13.131 kwa kuangalia baadhi ya viwango [br]vinavyobainisha uandishi wa habari 0:01:15.200,0:01:16.300 Usahihi. 0:01:16.480,0:01:19.597 Je, shirika hilo la habari [br]lina sifa ya utaalamu? 0:01:19.967,0:01:22.240 Je, lina sera ya kurekebisha makosa? 0:01:22.960,0:01:23.960 Utafiti. 0:01:24.465,0:01:27.155 Watu wangapi wamehojiwa [br]au kunukuliwa katika hadithi? 0:01:27.415,0:01:30.320 Utafiti au takwimu zipi zinazounga [br]zimejumuishwa? 0:01:31.280,0:01:32.330 Chanzo. 0:01:32.400,0:01:36.160 Je, watu walionukuliwa ni wataalamu au[br]wanastahiki kuzungumzia suala hilo? 0:01:38.640,0:01:39.650 Muktadha. 0:01:39.650,0:01:41.800 Je, hadithi inajumuisha [br]maelezo ya historia 0:01:41.800,0:01:43.970 ili kukusaidia kuelewa vyema mawazo makuu? 0:01:45.040,0:01:46.106 Haki. 0:01:46.240,0:01:49.330 Je, watu na masuala yamefafanuliwa [br]kwa kutumia lugha ya kawaida? 0:01:50.400,0:01:52.740 Si uandishi wote wa utatimiza [br]viwango sawa. 0:01:53.000,0:01:55.845 Kufahamu mashirika ya kitaalamu ya habari 0:01:56.015,0:01:58.196 na viwango vinavyobainisha [br]uandishi wa habari 0:01:58.196,0:02:00.445 kunaweza kutusaidia kubaini [br]habari za kuamini. 0:02:02.698,0:02:05.481 [Imeletwa kwako na CIVIX] 0:02:06.403,0:02:08.738 [Kwa usaidizi wa Kanada]