[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:10.34,0:00:12.88,Default,,0000,0000,0000,,[Viwango vya Uandishi wa habari] Dialogue: 0,0:00:13.52,0:00:15.68,Default,,0000,0000,0000,,Uandishi wa habari ni desturi ya kutafiti, Dialogue: 0,0:00:15.68,0:00:18.32,Default,,0000,0000,0000,,kuthibitisha, na kuonyesha \Nmaelezo kwa umma. Dialogue: 0,0:00:19.28,0:00:22.07,Default,,0000,0000,0000,,Lakini si uandishi wote wa habari \Nhubuniwa kwa njia sawa. Dialogue: 0,0:00:22.38,0:00:25.47,Default,,0000,0000,0000,,Ripoti zinaweza kuwa taarifa fupi rasmi \Nzilizoandikwa haraka, Dialogue: 0,0:00:25.84,0:00:29.84,Default,,0000,0000,0000,,hadi uchunguzi thabiti ambao unaweza\Nkuchukua muda na juhudi kutayarisha. Dialogue: 0,0:00:30.06,0:00:32.78,Default,,0000,0000,0000,,Huenda utoaji wa ripoti unaofanana na \Nuandishi wa habari Dialogue: 0,0:00:32.78,0:00:35.26,Default,,0000,0000,0000,,usiwe na viwango sawa vya \Nutafiti na msimamo Dialogue: 0,0:00:35.29,0:00:37.91,Default,,0000,0000,0000,,kama ripoti zilizotayarishwa na\Nmashirika ya kitaalamu. Dialogue: 0,0:00:38.13,0:00:39.55,Default,,0000,0000,0000,,Ili kuchanganya mambo zaidi, Dialogue: 0,0:00:39.57,0:00:43.38,Default,,0000,0000,0000,,maelezo bandia na ya kupotosha mtandaoni \Nyanaweza pia kuonekana kama uanahabari. Dialogue: 0,0:00:43.76,0:00:46.26,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kuwa kuna nyenzo nyingi tofauti, Dialogue: 0,0:00:46.26,0:00:47.60,Default,,0000,0000,0000,,ni muhimu kubaini Dialogue: 0,0:00:47.60,0:00:50.25,Default,,0000,0000,0000,,maelezo yanayoaminika na yasiyoaminika. Dialogue: 0,0:00:50.87,0:00:54.51,Default,,0000,0000,0000,,Njia moja kuu ya kufanya hili ni kutafuta \Nmaelezo kutoka kwa mashirika Dialogue: 0,0:00:54.51,0:00:57.16,Default,,0000,0000,0000,,yanayofanya shughuli kulingana na \Nviwango vilivyowekwa. Dialogue: 0,0:00:58.00,0:01:00.99,Default,,0000,0000,0000,,Mashirika ya kitaalamu ya habari \Nhuwa si sahihi nyakati zote, Dialogue: 0,0:01:00.99,0:01:02.96,Default,,0000,0000,0000,,lakini hadithi inaweza kuaminika zaidi Dialogue: 0,0:01:02.96,0:01:06.40,Default,,0000,0000,0000,,iwapo lmetayarishwa katika mchakato \Nunaojumuisha kutilia mkazo usahihi. Dialogue: 0,0:01:06.65,0:01:09.91,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kutathmini ubora wa ripoti \Ninayotokana na uandishi wa habari Dialogue: 0,0:01:09.97,0:01:13.13,Default,,0000,0000,0000,,kwa kuangalia baadhi ya viwango \Nvinavyobainisha uandishi wa habari Dialogue: 0,0:01:15.20,0:01:16.30,Default,,0000,0000,0000,,Usahihi. Dialogue: 0,0:01:16.48,0:01:19.60,Default,,0000,0000,0000,,Je, shirika hilo la habari \Nlina sifa ya utaalamu? Dialogue: 0,0:01:19.97,0:01:22.24,Default,,0000,0000,0000,,Je, lina sera ya kurekebisha makosa? Dialogue: 0,0:01:22.96,0:01:23.96,Default,,0000,0000,0000,,Utafiti. Dialogue: 0,0:01:24.46,0:01:27.16,Default,,0000,0000,0000,,Watu wangapi wamehojiwa \Nau kunukuliwa katika hadithi? Dialogue: 0,0:01:27.42,0:01:30.32,Default,,0000,0000,0000,,Utafiti au takwimu zipi zinazounga \Nzimejumuishwa? Dialogue: 0,0:01:31.28,0:01:32.33,Default,,0000,0000,0000,,Chanzo. Dialogue: 0,0:01:32.40,0:01:36.16,Default,,0000,0000,0000,,Je, watu walionukuliwa ni wataalamu au\Nwanastahiki kuzungumzia suala hilo? Dialogue: 0,0:01:38.64,0:01:39.65,Default,,0000,0000,0000,,Muktadha. Dialogue: 0,0:01:39.65,0:01:41.80,Default,,0000,0000,0000,,Je, hadithi inajumuisha \Nmaelezo ya historia Dialogue: 0,0:01:41.80,0:01:43.97,Default,,0000,0000,0000,,ili kukusaidia kuelewa vyema mawazo makuu? Dialogue: 0,0:01:45.04,0:01:46.11,Default,,0000,0000,0000,,Haki. Dialogue: 0,0:01:46.24,0:01:49.33,Default,,0000,0000,0000,,Je, watu na masuala yamefafanuliwa \Nkwa kutumia lugha ya kawaida? Dialogue: 0,0:01:50.40,0:01:52.74,Default,,0000,0000,0000,,Si uandishi wote wa utatimiza \Nviwango sawa. Dialogue: 0,0:01:53.00,0:01:55.84,Default,,0000,0000,0000,,Kufahamu mashirika ya kitaalamu ya habari Dialogue: 0,0:01:56.02,0:01:58.20,Default,,0000,0000,0000,,na viwango vinavyobainisha \Nuandishi wa habari Dialogue: 0,0:01:58.20,0:02:00.44,Default,,0000,0000,0000,,kunaweza kutusaidia kubaini \Nhabari za kuamini. Dialogue: 0,0:02:02.70,0:02:05.48,Default,,0000,0000,0000,,[Imeletwa kwako na CIVIX] Dialogue: 0,0:02:06.40,0:02:08.74,Default,,0000,0000,0000,,[Kwa usaidizi wa Kanada]