0:00:00.000,0:00:04.120 Kuna nguvu katika Damu ya Yesu Kristo. 0:00:04.120,0:00:08.440 Kuna nguvu katika jina la Yesu Kristo! 0:00:08.440,0:00:14.960 Sasa hivi, kwa nguvu katika ufufuo wa Kristo, 0:00:14.960,0:00:20.200 Natangaza marejesho! 0:00:20.200,0:00:25.280 Urejesho wa roho yako, nafsi na mwili!