0:00:00.483,0:00:03.587 (Haya mazungumzo yana mambo pevu) 0:00:04.905,0:00:06.960 Kila wakati naulizwa unafanya kazi gani. 0:00:08.048,0:00:09.300 Na ninajibu, 0:00:09.324,0:00:12.187 "Ninafanya kazi kutokomeza ukatili [br]dhidi ya watoto. 0:00:12.211,0:00:15.878 Ukatili wote dhidi ya watoto wote[br]katika nchi zote." 0:00:16.632,0:00:18.267 Kawaida kunakuwa na ukimya. 0:00:18.291,0:00:20.529 Maranyingine, kulingana na mazingira, 0:00:20.553,0:00:22.785 "Oh, hiyo inaua mazungumzo." 0:00:23.716,0:00:25.438 Halafu maswali: 0:00:25.462,0:00:27.684 "Ukatili wa aina gani[br]unaozungumzia?" 0:00:27.708,0:00:29.184 "Kuna ukatili kiasi gani?" 0:00:29.208,0:00:32.065 "Inatokea maeneo gani,[br]inatokea hapa?" 0:00:32.089,0:00:36.188 Na ninapojibu hayo maswali,[br]watu huwa wanashangazwa. 0:00:36.212,0:00:38.213 Wanashangazwa na ukubwa wa ukatili, 0:00:38.237,0:00:40.244 wanashangazwa na asili ya ukatili. 0:00:40.268,0:00:41.855 Lakini mara zote ninakuwa [br]mwepesi kuhakikisha 0:00:41.879,0:00:44.720 Kuwa watu hawaachwi katika hali ya[br]majonzi na huzuni. 0:00:45.085,0:00:48.796 Ninaamini tunayo fursa adimu[br]ya kihistoria 0:00:48.820,0:00:50.066 katika kizazi hiki 0:00:50.090,0:00:52.245 kutokomeza ukatili dhidi ya watoto 0:00:52.590,0:00:55.520 Kuna harakati zinazokua kuhusiana na hili. 0:00:56.065,0:00:58.823 Serikali, serikali za kitaifa, [br]serikali za majiji, 0:00:58.847,0:01:01.466 majimbo na wengine[br]wanajiunga katika harakati hizo. 0:01:01.490,0:01:04.403 Na tutakapofanikiwa--[br]na itatuhitaji sote-- 0:01:04.427,0:01:06.663 tutabadilisha mwelekeo [br]wa historia ya binadamu. 0:01:07.894,0:01:10.124 Ninamaanisha nini kwa[br]ukatili dhidi ya watoto? 0:01:10.498,0:01:12.475 Ninamaanisha ukatili wote wa kimwili, 0:01:12.499,0:01:15.450 kingono, kihisia na[br]ukatili wa kisaikolojia 0:01:15.474,0:01:17.577 unaotokea kwa watoto nyumbani, 0:01:17.601,0:01:21.243 shuleni, kwenye mitandao[br]na katika jamii zao. 0:01:22.141,0:01:24.203 tunafanya kazi na washirika[br]ulimwenguni kote 0:01:24.227,0:01:26.608 na kutoka kwa hao washirika,[br]tunasikia hadithi mbaya 0:01:26.632,0:01:28.165 za mtoto mmoja mmoja. 0:01:28.736,0:01:31.899 Kwa mfano, Sarah, ana miaka 10. 0:01:32.418,0:01:34.799 Amebakwa mara kadhaa na baba yake wa kambo 0:01:34.823,0:01:37.545 na kutishiwa ukatili[br]kama akimwambia mtu. 0:01:38.259,0:01:41.544 Faisal, alipigwa katika viganja vya mikono[br]shuleni kwa waya, 0:01:41.568,0:01:42.919 kadhalilishwa na kuitwa punda 0:01:42.943,0:01:46.585 akasimamishwa nje kwenye baridi[br]kwa kukosea kujibu swali. 0:01:47.998,0:01:51.776 Na kwa washirika tunaofanya nao kazi[br]kufanya mitandao uwe salama kwa watoto 0:01:51.800,0:01:54.522 tunasikia hadithi kama za Angelika. 0:01:54.546,0:01:56.522 Miaka kumi na mbili, 0:01:56.546,0:02:00.498 akilazimishwa kufanya ngono [br]na mjomba wake, 0:02:00.522,0:02:03.823 huku akirekodiwa na kuangaliwa na watu [br]wazima wanaolipia 0:02:05.887,0:02:09.680 Mmoja kati ya wasichana 10 amepitia[br]ukatili wa kingono kabla ya miaka 20. 0:02:10.077,0:02:11.704 Nusu ya watoto wanaishi kwenye nchi 0:02:11.728,0:02:14.798 ambazo hadhabu za viboko[br]hazijapigwa marufuku. 0:02:15.538,0:02:17.450 na mwaka jana tu, Marekani, 0:02:17.474,0:02:20.093 taarifa milioni 45 zilitengenezwa 0:02:20.117,0:02:24.117 za picha na video za ukatili[br]na unyanyaswaji wa watoto mitandaoni 0:02:24.141,0:02:26.341 Idadi hiyo ni mara mbili ya mwaka uliopita 0:02:27.204,0:02:29.831 sasa ukatili wa namna hii[br]na ukatili wa namna nyingine 0:02:29.855,0:02:33.045 unajikusanya kuwa idadi kubwa[br]ya kushangaza sana. 0:02:33.069,0:02:35.323 Watoto bilioni moja ulimwenguni kila mwaka 0:02:35.347,0:02:37.291 wanaopitia aina fulani ya ukatili. 0:02:37.315,0:02:39.315 Hiyo ni mtoto mmoja kwa kila wawili. 0:02:39.339,0:02:41.072 Hili ni tatizo la ulimwengu wote. 0:02:42.609,0:02:44.342 Hivyo ni nini kinachonipa matumaini? 0:02:44.657,0:02:46.395 Ngoja nizungumzie kuhusu Sweden na Uganda. 0:02:46.419,0:02:49.466 Labda ni nchi mbili zilizo tofauti sana[br]kama unavyofikiri. 0:02:49.855,0:02:51.276 Ukizungumza na mchumi, 0:02:51.300,0:02:54.264 wanaweza kusema kuwa Sweden[br]ina kipato cha wastani 0:02:54.288,0:02:56.026 wa takriban dola 50,000 kwa mwaka. 0:02:56.050,0:02:58.050 Na Uganda, ni dola 2,000. 0:02:59.312,0:03:00.582 Mwana historia atasema 0:03:00.606,0:03:03.778 Sweden haijawahi kuwa katika mgogoro wa [br]wa kitaifa kwa miaka takriban 200. 0:03:03.802,0:03:06.082 Uganda bado inahangaika [br]na migomo 0:03:06.106,0:03:07.973 kaskazini mwa nchi. 0:03:09.331,0:03:11.045 Mwanamuziki anaweza kusema 0:03:11.069,0:03:15.363 kuwa Uganda, wimbo wa taifa,[br]"Oh Uganda, Ardhi ya Uzuri" 0:03:15.387,0:03:17.133 ni moja kati ya fupi sana ulimwenguni. 0:03:17.157,0:03:19.696 Fupi mno,[br]Mara nyingi inachezwa zaidi ya mara moja. 0:03:20.022,0:03:23.582 Ninaamini Sweden hucheza yao[br]na kuimba yao muda mrefu zaidi. 0:03:24.765,0:03:26.654 Lakini kwa kumaanisha zaidi, 0:03:26.678,0:03:28.916 Sweden na Uganda walifanya makubaliano, 0:03:28.940,0:03:30.998 wana muunganiko mmoja [br]na kusudi moja, 0:03:31.022,0:03:33.173 makubaliano ya kutokomeza ukatili[br]dhili ya watoto, 0:03:33.197,0:03:35.911 na wanachukua hatua kujaribu[br]kufanya nchi zao kuingia 0:03:35.935,0:03:40.026 kwenye njia ya kutokomeza kabisa[br]ukatili dhidi ya watoto ifikapo 2030. 0:03:40.612,0:03:44.596 Na nchi nyingine nyingi,[br]majiji na majimbo yanaungana nao, 0:03:44.620,0:03:45.887 duniani kote. 0:03:46.739,0:03:49.570 Lakini inamaanisha nini haswa,[br]inamaanisha nini kwa vitendo? 0:03:49.594,0:03:51.839 Wanapofanya makubaliano hayo,[br]wanafanya nini? 0:03:51.863,0:03:54.537 Inamaanisha makubaliano ya hali ya juu[br]kisiasa na kiuongozi. 0:03:54.561,0:03:57.095 Kuweka na kutekeleza sheria. 0:03:57.921,0:04:00.358 Na kuzindua mikakati,[br]kubadilisha sera, 0:04:00.382,0:04:02.270 Kuanzisha mazungumzo ya kitaifa 0:04:02.294,0:04:05.548 ambayo yataanza kuamsha uelewa[br]juu ya safari ya kubadili mitazamo 0:04:05.572,0:04:07.387 na kufanya iwe haikubaliki kijamii 0:04:07.411,0:04:10.211 kuwa na ukatili na unyanyasaji wa watoto[br]katika nchi. 0:04:11.434,0:04:13.832 Inamaanisha kutambua kuwa[br]ukatili dhidi ya watoto 0:04:13.856,0:04:15.418 upo katika nyanja zote, 0:04:15.442,0:04:18.918 na hivyo mwitikio, na jibu,[br]inabidi liwe na namna ya mfumo. 0:04:18.942,0:04:21.204 Huwezi tu kufanya kipengele kimoja. 0:04:21.228,0:04:23.998 Inahitaji wadau mbalimbali ndani[br]na nje ya serikali. 0:04:24.022,0:04:26.491 Inahitaji vikundi vya kidini,[br]sekta binafsi na vyombo vya habari, 0:04:26.515,0:04:29.503 wanazuoni, asasi za kiraia[br]na wengine. 0:04:30.245,0:04:32.825 Na inahitaji kuyachukua[br]yale ambayo ni mambo mazuri 0:04:32.849,0:04:35.110 na ushahidi mzuri wa kidunia unaotuelezea, 0:04:35.134,0:04:36.967 lakini kwa kutumia taarifa za [br]nchi 0:04:36.991,0:04:41.712 kuweka mwanga juu ya simulizi zinazofichwa[br]juu ya ukatili katika nchi fulani 0:04:41.736,0:04:45.228 Na kutumia taarifa hiyo[br]kuelekeza mwitikio wa kitaifa, 0:04:45.252,0:04:48.411 lakini pia kutumia kupima[br]na kufuatilia maendeleo. 0:04:48.435,0:04:49.752 Na kushirikisha kile[br]kinacholeta matokeo, 0:04:49.776,0:04:52.204 kuwa wakweli[br]pale ambapo mambo hayatokei. 0:04:52.637,0:04:54.390 Na kushirikisha hamasa 0:04:54.414,0:04:57.454 pale tunapoona mafanikio[br]na ukatili ukipungua. 0:04:58.613,0:05:01.771 Lakini je, tunaweza kufanya hili katika[br]ngazi ya kiulimwengu? 0:05:02.081,0:05:05.095 Watoto billioni moja kila mwaka[br]wanapitia ukatili. 0:05:05.119,0:05:06.404 Ninadhani kunaweza. 0:05:06.428,0:05:10.770 Mwaka 2015, viongozi wa nchi 193[br]walikubali nchi zao 0:05:10.794,0:05:13.602 kutokomeza ukatili, unyanyasaji na[br]kutelekeza watoto ifikapo 2030. 0:05:14.204,0:05:15.570 Ukatili dhidi ya watoto 0:05:15.594,0:05:17.705 unaharibu yale yote tunayowekeza[br]kwao: 0:05:17.729,0:05:19.815 kwenye afya zao, elimu zao 0:05:19.839,0:05:21.014 Mara nyingi kwa miaka 0:05:21.038,0:05:26.004 wakati mwingine madhara na maambukizo ya[br]maisha na vizazi. 0:05:26.831,0:05:29.895 Lakini sio tu kuhusu makubaliano ya [br]kimataifa na serikali 0:05:29.919,0:05:31.093 Inajalisha sana. 0:05:31.117,0:05:33.617 Lakini baadhi ya vitu pia[br]vinabadilika kimsingi 0:05:33.641,0:05:35.760 na sisi kama jamii ulimwenguni kote 0:05:35.784,0:05:38.926 tunakataa tabia[br]zisizokubalika 0:05:38.950,0:05:41.299 ambazo kwa miaka mingi zimekuwa [br]zikivumiliwa. 0:05:41.323,0:05:43.014 Fikiri kuhusu harakati ya[br]MIMI PIA 0:05:43.038,0:05:45.815 namna ambavyo kitengo kwa kitengo[br]tasnia kwa tasnia 0:05:45.839,0:05:47.339 inawakamata wahalifu 0:05:47.363,0:05:49.228 kuwaleta na kuwatia hatiani. 0:05:49.252,0:05:51.680 Ni safari,[br]lakini tumeianza. 0:05:51.704,0:05:53.808 Angalia kilichotokea[br]katika tasnia ya misaada. 0:05:53.832,0:05:55.371 Baada ya matumizi mabaya ya[br]madaraka, 0:05:55.395,0:05:57.578 tasnia ya misaada[br]sasa hivi inaangalia kwa makini sana 0:05:57.602,0:06:00.505 Usalama wa watoto[br]ulimwenguni kote. 0:06:02.542,0:06:04.796 Lakini labda zaidi ya hivyo. 0:06:05.264,0:06:08.280 Watoto na vijana wenyewe, 0:06:08.304,0:06:09.681 kwa sehemu kwa msaada wa teknolojia, 0:06:09.705,0:06:10.954 lakini kwa sasa wana sauti 0:06:10.978,0:06:13.385 ambayo sidhani kama[br]walikuwa nayo hapo awali. 0:06:13.409,0:06:14.893 Na wanatumia sauti hiyo, 0:06:14.917,0:06:17.807 Sio tu kuzungumzia hali[br]inayowazunguka 0:06:17.831,0:06:20.029 au kile wanachojua kinahitaji kuboreshwa, 0:06:20.053,0:06:22.378 lakini kuwa sehemu ya suluhu ya mambo 0:06:22.402,0:06:25.156 ambayo yanaelezea[br]na kuathiri maisha yao. 0:06:26.179,0:06:27.633 Fikiri kuhusu wanaharakati hawa wadogo 0:06:27.657,0:06:29.917 ambao wanazungumza kupinga[br]ukeketaji wa wanawake, 0:06:29.941,0:06:34.728 ndoa za utotoni, uonevu wa kimtandao,[br]shule salama, migogoro inayoumiza-- 0:06:34.752,0:06:36.352 na listi inaendelea na kuendelea. 0:06:36.903,0:06:38.836 Watoto hao ni wa muhimu sana. 0:06:40.101,0:06:42.085 Hivyo tuna uongozi wa kisiasa, 0:06:42.109,0:06:43.863 tuna wanaharakati wadogo, 0:06:43.887,0:06:45.764 tuna suluhu zilizothibitishwa 0:06:47.551,0:06:49.277 tuna uelewa wa jamii unaoongezeka-- 0:06:49.301,0:06:50.361 tuko katika njia hiyo, 0:06:50.385,0:06:52.884 tumeanza safari hiyo[br]kutokomeza kabisa ifikapo 2030. 0:06:53.411,0:06:55.344 Lakini suluhu hiso ni zipi? 0:06:56.061,0:06:57.776 Miaka mitatu iliyopita, 2016, 0:06:57.800,0:07:02.212 taasisi 10 za kiulimwengu zilikutana[br]na kujipanga katika mpango 0:07:02.236,0:07:05.053 ambao ni jumuishi,[br]na mkakati wa hatua kwa hatua 0:07:05.077,0:07:07.493 kutokomeza ukatili dhidi ya watoto. 0:07:07.517,0:07:08.993 Unaoitwa INSPIRE. 0:07:09.017,0:07:11.715 Uliangalia katika uhitaji wa [br]sheria zinazoenda na wakati 0:07:11.739,0:07:13.683 zinazogusia taratibu za kijamii, 0:07:13.707,0:07:15.755 msaada wa wazazi na walezi, 0:07:15.779,0:07:18.976 kutoa mwitikio kwa watoto[br]waliopitia ukatili na unyanyaswaji. 0:07:19.383,0:07:20.581 Na shule salama, 0:07:20.605,0:07:23.986 ili watoto wawe katika mazingira ya [br]kujifunza ambapo watanawiri. 0:07:25.351,0:07:26.938 Kule Uganda, miaka minne iliyopita, 0:07:26.962,0:07:30.138 msichana wa miaka nane angeweza kuolewa[br]na mwanaume wa miaka 30. 0:07:30.686,0:07:32.091 Hilo haliwezi kutokea tena. 0:07:32.115,0:07:34.472 Mwaka 2016, Sheria ya mtoto[br]ilifanya hilo kuwa kosa 0:07:34.496,0:07:37.115 na kufanya umri wa chini kuolewa kuwa miaka 18. 0:07:37.139,0:07:39.369 Hiyo ndiyo I ya INSPIRE: 0:07:39.393,0:07:41.784 kupitisha na kutekeleza sheria. 0:07:43.058,0:07:45.874 Cambodia inatoa msaada wa malezi, 0:07:45.898,0:07:48.280 msaada kwa wazazi na walezi[br]nchi nzima, 0:07:48.304,0:07:51.145 hivyo wazazi wanapewa uwezo[br]kulea watoto wao 0:07:51.169,0:07:55.180 na kuweka nidhamu kwa namna[br]isiyo ya kikatili nyumbani. 0:07:55.204,0:07:56.752 hiyo ndiyo P ya INSPIRE, 0:07:56.776,0:07:58.529 msaada kwa wazazi na walezi. 0:07:58.553,0:07:59.712 Kule Uphilipino, 0:07:59.736,0:08:03.545 Kuna vituo 100 vilivyowekwa[br]kuwalinda wanawake na watoto nchi nzima. 0:08:03.569,0:08:06.887 Wanawake na watoto ambao wako katika[br]hatari kubwa ya ukatili na unyanyaswaji 0:08:06.911,0:08:08.844 au waliopitia unyanyaswaji. 0:08:09.258,0:08:12.472 Hiyo ndiyo R ya INSPIRE,[br]huduma ya mwitikio na msaada. 0:08:12.496,0:08:16.916 Na kule Uganda, zana ya[br]shule salama imeshaanza kutumika 0:08:16.940,0:08:18.704 kwa nusu ya walimu wa Uganda, 0:08:18.728,0:08:22.910 ikiwawezesha kusimamia darasa[br]kwa njia za kinidhamu zisizo za kikatili. 0:08:23.800,0:08:27.068 Hiyo ndiyo E ya INSPIRE,[br]elimu na stadi za maisha. 0:08:27.092,0:08:30.394 Hiyo ni sehemu ndogo tu[br]katika mpango wa INSPIRE. 0:08:30.418,0:08:33.735 Lakini nchi nyingi zaidi zimekubali[br]kuutekeleza, 0:08:33.759,0:08:35.013 kuufanya uwe wa ndani, 0:08:35.037,0:08:37.672 kuujaziliza kwa taarifa za wakati,[br]na kuweka mpango pamoja, 0:08:37.696,0:08:39.133 kufanya kazi kati ya vitengo, 0:08:39.157,0:08:41.133 na kuanza ile safari ya kutokomeza. 0:08:41.157,0:08:44.982 Canada, Mexico, [br]Jamuhuri ya Kiarabu, Tanzania -- 0:08:45.006,0:08:46.923 Nilishazitaja Sweden na Uganda -- 0:08:46.947,0:08:48.879 Japan, Uphilipino, Indonesia, 0:08:48.903,0:08:51.514 nchi nyingi zaidi,[br]na sana miji, pia. 0:08:51.538,0:08:53.903 Na hapa tulipo Scotland, 0:08:53.927,0:08:56.942 Chuo cha Edinburgh[br]kinatengeneza maabara ya kujifunzia 0:08:56.966,0:09:00.268 ambayo itaenda kufuatilia safari[br]kuwa miji ya Scotland 0:09:00.292,0:09:05.119 na Uphilipino[br]na Colombia inakwenda pamoja. 0:09:05.537,0:09:06.760 Kuona kinachofanikiwa, 0:09:06.784,0:09:10.411 kuchukua kile kilichotayarisha[br]kutekelezwa katika nchi nzima 0:09:10.435,0:09:12.172 na kuiweka chini kwa ngazi ya jiji, 0:09:12.196,0:09:13.354 ambapo tunaamini 0:09:13.378,0:09:16.791 kwamba tunaweza kufanya maendeleo[br]ya haraka na ya kuonekana 0:09:16.815,0:09:18.776 katika muda mfupi. 0:09:18.800,0:09:19.982 Na tunapofanya hivyo, 0:09:20.006,0:09:23.029 mafanikio hayo yatashirikishwa[br]kupitia maabara ya mafunzo na zaidi 0:09:23.053,0:09:24.653 katika Chuo kikuu cha Edinburgh. 0:09:26.728,0:09:28.696 Kutokomeza ukatili ni jambo sahihi, 0:09:28.720,0:09:30.744 ni uwekezaji makini, 0:09:30.768,0:09:33.537 tunazo suluhu zilizothibitishwa, 0:09:33.561,0:09:35.514 na tunao mwanzo wa safari. 0:09:35.538,0:09:36.689 Lakini nini kitatokea 0:09:36.713,0:09:38.847 Pale tutakapotokomeza[br]ukatili dhidi ya watoto? 0:09:38.871,0:09:40.468 Hebu tutafakari kwa muda. 0:09:41.805,0:09:44.607 Kwanza, tafakari kuhusu[br]watoto niliowataja. 0:09:44.631,0:09:47.298 Sarah hatalala tena kitandani[br]kwake usiku, 0:09:47.322,0:09:49.695 akihofu juu ya sauti ya[br]hatua za baba yake wa kambo 0:09:49.719,0:09:51.119 akija juu kwenye ngazi. 0:09:51.942,0:09:54.458 Faisal atakwenda shule [br]na atanawiri. 0:09:54.482,0:09:56.887 Hataogopa tena kuwa shuleni 0:09:56.911,0:10:00.021 na kuonewa na kupigwa[br]na kudhalilishwa na walimu. 0:10:01.757,0:10:04.383 Na Angelika na wengine kama yeye 0:10:04.407,0:10:07.994 hawatakuwa tena kama bidhaa[br]inayoletwa mtandaoni 0:10:08.018,0:10:10.910 kuwafurahisha watu wazima[br]walioko maili nyingi mbali. 0:10:11.887,0:10:13.619 Lakini kuzidisha manufaa ya kijamii, 0:10:13.643,0:10:16.172 ya kiuchumi na kitamaduni[br]ya hiyo. 0:10:16.196,0:10:19.133 Kuzidisha hiyo kwa kila familia,[br]kila jamii, 0:10:19.157,0:10:21.156 kijiji, mji, jiji, nchi 0:10:21.180,0:10:24.180 na ghafla, umepata[br]utaratibu mpya umezaliwa. 0:10:24.204,0:10:28.050 Kizazi kitachipua[br]bila kupitia ukatili. 0:10:29.383,0:10:30.717 Itatuhitaji sisi sote. 0:10:31.114,0:10:33.760 Lakini tunayo fursa adimu[br]ya kujaribu, 0:10:33.784,0:10:38.255 na kuamini sisi pia, kama wazazi,[br]tunajukumu la kufanya hivi. 0:10:39.644,0:10:41.636 Halafu pale wote tunapoulizwa, 0:10:41.660,0:10:43.279 "Unafanya kazi gani?" 0:10:43.303,0:10:46.223 kila mmoja wetu anaweza kusema, 0:10:46.247,0:10:48.374 " Ninabadilisha mwelekeo wa historia[br]ya binadamu. 0:10:48.795,0:10:52.195 Ninafanya kwa sehemu kutokomeza[br]ukatili dhidi ya watoto." 0:10:52.633,0:10:54.847 Hebu tufanye hili na tufanye sasa. 0:10:55.260,0:10:56.411 Asanteni. 0:10:56.435,0:11:02.230 (Makofi)