WEBVTT 00:00:00.080 --> 00:00:03.100 Maisha katika mida hii ya janga imekuwa ya ajabu sana 00:00:03.100 --> 00:00:05.848 Niko mwaka wa mwisho shuleni lakini hivi sivyo nilivyotarajia 00:00:05.848 --> 00:00:08.066 miezi zangu chache za mwisho shuleni kuwa. 00:00:08.066 --> 00:00:11.848 muda wangu wa umwali kutokana na virusi vya korona imekuwa kucosha na ya vurugu 00:00:11.848 --> 00:00:14.359 kwa sababu niko na wadogo wangu watatu. 00:00:14.359 --> 00:00:16.743 Maisha yangu wakati huu wa Korona umekuwa bila raha. 00:00:16.743 --> 00:00:18.007 Sijakuwa na shughuli nyingi. 00:00:18.007 --> 00:00:20.589 Nimekuwa nikijaribu kukaa nyumbani na kuzingatia umbali. 00:00:20.589 --> 00:00:22.646 Nimekuwa nyumbani zaidi ya mwezi sasa, 00:00:22.646 --> 00:00:25.978 na hakika naweza sema niko tayari kwa vitu kuwa kawaida tena. 00:00:26.539 --> 00:00:30.271 Kuishi katika nyakati hizi za janga la korona imekuwa ngumu kwa kila mtu, 00:00:30.271 --> 00:00:33.972 lakini nazingatia umbali, kama wewe ni kijana barubaru, 00:00:33.972 --> 00:00:35.540 inaweza kuwa ngumu. 00:00:35.540 --> 00:00:39.536 Umekwama ndani ya nyumba siku kutwa, unahudhuria shule mtandaoni, 00:00:39.536 --> 00:00:43.497 na matukio mengine kama vile sherehe za kumaliza shule ya upili na kuhitimu 00:00:43.497 --> 00:00:46.048 nitofauti sana na ulivyodhani, NOTE Paragraph 00:00:46.048 --> 00:00:49.700 Lakini vijana wengine wamekuwa wakitumia wakati huu wa ziada 00:00:49.700 --> 00:00:53.929 kusaidia wengine wetu kwa kuhakiki taarifa wanaopatana nazo 00:00:53.929 --> 00:00:55.759 katika mitandao ya kijamii 00:00:55.759 --> 00:01:00.630 Mediawise ni kitengo cha mafunzo ya habari iliundwa na taasisi ya Polynter. 00:01:00.630 --> 00:01:02.450 Lengo lake ni kufunza wanafunzi wa shule ya upili 00:01:02.450 --> 00:01:05.050 jinsi ya kuhakiki taarifa wanaoona mtandaoni. 00:01:05.050 --> 00:01:07.580 Kwa taarifa yenu- Mimi ni mmoja wa hao wanahabari 00:01:07.580 --> 00:01:10.220 wanaohudumu kama mabalozi wa mradi huu. 00:01:10.220 --> 00:01:13.287 Tuko na wanafunzi ishirini wanahudumu nasi kwa wakati huu, 00:01:13.287 --> 00:01:15.820 na wametapakaa kote Marekani 00:01:15.820 --> 00:01:18.939 Wanatusaidia kusahihisha taarifa za uongo zilizoenea 00:01:18.939 --> 00:01:22.594 wanazoziona mtandaoni kupitia hadithi za mitandao za kijamii. 00:01:22.594 --> 00:01:26.804 Hawa vijana wanakuonyesha jinsi wanavyoweza kuhakiki madai. 00:01:26.804 --> 00:01:30.040 Hawakuambii tu kama ni ya kuaminika au la. 00:01:30.040 --> 00:01:31.385 Wanafunza mikakati 00:01:31.385 --> 00:01:34.407 ambazo wanahabari na wahakiki waliobobea hutumia 00:01:34.407 --> 00:01:37.390 na kuiwasilisha kwa njia inayosisimua na kutumbuiza. 00:01:37.390 --> 00:01:42.080 Tuliongea na Angie Li, mwanafunzi wa mwaka wa pili chuoni Florida, na akatueleza 00:01:42.080 --> 00:01:45.705 jinsi alivyohakiki kitu alichokipata kwa mtandao wa Tiktok. 00:01:45.837 --> 00:01:49.234 Sikuwa na habari kuwa kuna taarifa potofu nyini sana. 00:01:49.234 --> 00:01:51.046 Nimekuwa nikidhani 00:01:51.046 --> 00:01:53.294 kuwa watu watapeana taarifa za ukweli. 00:01:53.294 --> 00:01:55.384 Kwa nini kusambaza taarida potofu? 00:01:55.384 --> 00:01:58.582 Lakini niling'amua kuwa wakati mwingine watu hawajui 00:01:58.582 --> 00:02:00.272 kuwa wamesambaza taarifa potofu. 00:02:00.272 --> 00:02:01.300 Kwa hivyo ulifanya nini? 00:02:01.300 --> 00:02:03.461 Tuelekeze jinsi ulivyo hakikisha haya. 00:02:03.461 --> 00:02:08.170 Hii ni Tiktok halisi niliyoona iliyokuwa na anwani hapa 00:02:08.170 --> 00:02:11.749 kuwa kujifukiza inapunguza uwezekano wa kupata virusi vya korona. 00:02:12.292 --> 00:02:15.889 kitu cha rahisi kufanya ni kufungua tovuti mtandaoni 00:02:15.889 --> 00:02:18.514 na kufanya utafiti wa haraka wa maneno. 00:02:18.514 --> 00:02:20.647 Kama maneno yanayopewa kipaumbele. 00:02:20.647 --> 00:02:23.297 Hapa tuko na kujifukiza inapunguza virusi vya korona. 00:02:23.703 --> 00:02:26.542 hakika, mara tu unapoitizama skrini hii, 00:02:26.542 --> 00:02:28.950 anwani hizi zinaonekana kusema 00:02:28.950 --> 00:02:31.324 kinachokinzana na madai halisi. 00:02:31.324 --> 00:02:35.457 tovuti ya kwanza inasema kuwa ripoti za dalili za kupumua 00:02:35.457 --> 00:02:39.913 na watumiaji wa sigara mtandaoni unaasshiria kuzidi au kuchelea kupona 00:02:39.913 --> 00:02:41.486 kutokana na maradhi ya mapafu. 00:02:41.486 --> 00:02:44.333 Yamkini, haileti nafuu yoyote 00:02:44.333 --> 00:02:46.742 kwa sababu kujifukiza ni kama tu kuvuta sigara, 00:02:46.742 --> 00:02:49.840 na virusi vya korona ni homa ya mapafu. 00:02:49.970 --> 00:02:52.390 Kwa hivyo niliangalia tovuti ya pili. 00:02:52.390 --> 00:02:55.710 jarida hili ni kutoka kwa Taasisi ya kitaifa dhidi ya madawa ya kulevya. 00:02:55.710 --> 00:02:59.893 Lazima tuhakikishe kuwa tunapata taarifa hii kutoka kwa vyanzo aminika. 00:03:00.000 --> 00:03:05.037 Chanzo hiki kilisema kuwa ushahidi unaochipuka unapendekeza kuwa kutagusana na vumbi 00:03:05.037 --> 00:03:07.579 za sigara zinaathiri seli za mapafu. 00:03:07.579 --> 00:03:10.477 na kupunguza uwezo wa kujikinga na maambukizi. 00:03:10.940 --> 00:03:13.561 Kwa hivyo inaonekana kuwa kujifukiza inaweza 00:03:13.561 --> 00:03:15.489 kuzidisha hatari ya virusi vya korona. 00:03:15.489 --> 00:03:19.320 inaonekana hii Tiktok ni potovu. 00:03:19.510 --> 00:03:24.157 Tiktok hiyo yamkini ilionwa na watu wengi. 00:03:24.157 --> 00:03:26.609 pengine hata kusadikiwa na wengi. 00:03:26.609 --> 00:03:28.986 hiyo ni gharama ya taarifa potovu. 00:03:28.986 --> 00:03:31.516 Mara nyingine watu huanza kuamini vitu vya uongo 00:03:31.516 --> 00:03:32.863 na wanaweza kuchukua hatua 00:03:32.863 --> 00:03:35.860 kwa sababu wanaamini kuwa kujifukiza inaweza punguza uwezekano 00:03:35.860 --> 00:03:37.500 na pengine wanaweza anza kuifanya 00:03:37.500 --> 00:03:40.360 hakika habari potovu inaweza kuwa na gharama za mauti. 00:03:40.360 --> 00:03:42.560 Kitu kisipoeleweka vizuri 00:03:42.560 --> 00:03:44.794 basi pengine ni vizuri kutosambaza. 00:03:44.794 --> 00:03:46.684 Usisambaze habari potovu. 00:03:47.260 --> 00:03:50.173 Katika miaka kadhaa iliyopita, mtandao huu wa wahakiki barobaro 00:03:50.173 --> 00:03:54.943 umedhibitisha zaidi ya vifungu 200 vya taarifa kuwa kweli au potovu. 00:03:55.263 --> 00:03:59.135 Kama haujui pakuanzia, wapo na wasia mzuri 00:03:59.135 --> 00:04:02.449 Wasia kwa mtu ambaye hajafanya uhakiki, naweza sema... 00:04:02.899 --> 00:04:06.119 Kitu cha kwanza huwa naona ni kama chanzo chake ni aminika, 00:04:06.119 --> 00:04:10.734 na kama mtu anatumia lugha kwa kupita mipaka ili kuchochea jibu fulani. 00:04:10.734 --> 00:04:13.695 Usiamini tu chanzo moja. Kuamini chanzo moja ni wazo baya. 00:04:13.695 --> 00:04:15.981 Unafaa kuhakikisha kuwa unaamin vyanzo vingi. 00:04:15.981 --> 00:04:19.005 Nimeanza kusitasita na kutoamini kila kitu ninachokisoma. 00:04:19.100 --> 00:04:22.950 Tunachokisoma huchangia mtazamo wetu wa dunia na jinsi tunavyoathiriana. 00:04:23.190 --> 00:04:26.475 Kuhakikisha taarifa kunayoipokea na kusambaza ni hakika, 00:04:26.475 --> 00:04:30.011 haitufaidi tu, bali inafaidia ulimwengu wote. 00:04:30.011 --> 00:04:33.894 Vijana hawa hulengwa kila mara na taarifa potovu 00:04:33.894 --> 00:04:37.380 na taarifa hizi hujichipusha kiholela, sehemu mbaya ya intaneti, 00:04:37.380 --> 00:04:40.425 na wengi wao bado huifanya na tabasamu na picha binafsi. 00:04:40.425 --> 00:04:42.388 Na imekuwa raha sana kutizama. 00:04:42.742 --> 00:04:46.558 Vijana wanakuwa na teknolojia zaidi na mitandao ya kijamii. 00:04:46.558 --> 00:04:49.620 Wazee kama mimi wanaweza kuelewa, 00:04:49.620 --> 00:04:52.312 lakini hii haimaanishi kuwa hawatumii hii 00:04:52.312 --> 00:04:54.631 kwa ufahamu na akili. 00:04:54.830 --> 00:04:57.420 Tupo na matamanio, 00:04:57.420 --> 00:05:00.185 lakini mara nyingi tuna puuzwa na kudharauliwa. 00:05:00.185 --> 00:05:01.680 Hatupo kwa simu zetu kila mara. 00:05:01.680 --> 00:05:04.125 Namaanisha kuwa tupo kwa simu zetu lakini inasaidia 00:05:04.125 --> 00:05:06.759 Kwa sababu tunahakiki na kusaidia watu. 00:05:06.759 --> 00:05:10.070 Kutumia muda mwingi mtandaoni haimaanishi kuwa inatuangamiza. 00:05:10.070 --> 00:05:13.095 Natamani watu wangejua jinsi tunajali ulimwengu wetu. 00:05:13.095 --> 00:05:15.719 Natamani watu wangejua jinsi tunavyojijali 00:05:15.719 --> 00:05:18.429 Tunaweza kuinyoshe kwa njia tofauti kwa sababu ya teknolojia hii 00:05:18.429 --> 00:05:19.709 tuliolelewa nayo, 00:05:19.709 --> 00:05:24.366 lakini hakika tunajali ulimwengu na kuifanya iwe bora kwa sisi sote. 00:05:24.366 --> 00:05:28.552 Kwa hivyo wacha tujifunze vitu kadhaa kutokana na kizazi hiki kipya. 00:05:28.552 --> 00:05:30.189 Usisambaze taarifa potovu. 00:05:30.189 --> 00:05:31.189 dumisha ukweli. 00:05:31.189 --> 00:05:32.210 hadi wakati mwingine. 00:05:32.210 --> 00:05:34.680 Mimi ni Hari Sreenivasan na hii ni Take on Fake.