1 00:00:00,000 --> 00:00:05,080 Kila hatua ya safari yako - Mungu anajua 2 00:00:05,080 --> 00:00:08,200 ukimtumikia kwa kweli na kwa imani 3 00:00:08,200 --> 00:00:09,640 chochote kinachokukujia 4 00:00:09,640 --> 00:00:11,680 iwe baraka au majaribu 5 00:00:11,680 --> 00:00:14,440 majaribu au nyakati nzuri 6 00:00:14,440 --> 00:00:17,640 iko jinsi ilivyo kwa mapenzi ya kiungu 7 00:00:17,640 --> 00:00:20,320 anajua 8 00:00:20,320 --> 00:00:23,280 hakuna kiwango cha huruma ya binadamu au anachochangia 9 00:00:23,280 --> 00:00:25,720 inaweza kubadili mipango ya mungu. 10 00:00:25,720 --> 00:00:29,800 kama 'imeandikwa' kuwa lazima upitie jaribu hili 11 00:00:29,800 --> 00:00:33,560 au upitie mateso - lazima uyapitie 12 00:00:33,560 --> 00:00:37,080 waweza fikiri kuwa, ' nawezachukua njia ya mkato kukwepa, 13 00:00:37,080 --> 00:00:38,960 nitayashinda haraka...' 14 00:00:38,960 --> 00:00:41,760 unachofanya tu ni kukwepa siku ya jaribio lako. 15 00:00:41,760 --> 00:00:43,280 bado utarudi pale kuyapitia 16 00:00:43,280 --> 00:00:45,360 ulichojaribu kuhepa 17 00:00:45,360 --> 00:00:47,800 kama 'imeandikwa' ya kwamba lazima upitie, 18 00:00:47,800 --> 00:00:50,320 usiingize mawazo yako ndani yake 19 00:00:50,320 --> 00:00:53,920 kilichopangwa mbeleni huko mbinguni.