WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:05.080 Kila hatua ya safari yako - Mungu anajua 00:00:05.080 --> 00:00:08.200 ukimtumikia kwa kweli na kwa imani 00:00:08.200 --> 00:00:09.640 chochote kinachokukujia 00:00:09.640 --> 00:00:11.680 iwe baraka au majaribu 00:00:11.680 --> 00:00:14.440 majaribu au nyakati nzuri 00:00:14.440 --> 00:00:17.640 iko jinsi ilivyo kwa mapenzi ya kiungu 00:00:17.640 --> 00:00:20.320 anajua 00:00:20.320 --> 00:00:23.280 hakuna kiwango cha huruma ya binadamu au anachochangia 00:00:23.280 --> 00:00:25.720 inaweza kubadili mipango ya mungu. 00:00:25.720 --> 00:00:29.800 kama 'imeandikwa' kuwa lazima upitie jaribu hili 00:00:29.800 --> 00:00:33.560 au upitie mateso - lazima uyapitie 00:00:33.560 --> 00:00:37.080 waweza fikiri kuwa, ' nawezachukua njia ya mkato kukwepa, 00:00:37.080 --> 00:00:38.960 nitayashinda haraka...' 00:00:38.960 --> 00:00:41.760 unachofanya tu ni kukwepa siku ya jaribio lako. 00:00:41.760 --> 00:00:43.280 bado utarudi pale kuyapitia 00:00:43.280 --> 00:00:45.360 ulichojaribu kuhepa 00:00:45.360 --> 00:00:47.800 kama 'imeandikwa' ya kwamba lazima upitie, 00:00:47.800 --> 00:00:50.320 usiingize mawazo yako ndani yake 00:00:50.320 --> 00:00:53.920 kilichopangwa mbeleni huko mbinguni.