[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:05.08,Default,,0000,0000,0000,,Kila hatua ya safari yako - Mungu anajua Dialogue: 0,0:00:05.08,0:00:08.20,Default,,0000,0000,0000,,ukimtumikia kwa kweli na kwa imani Dialogue: 0,0:00:08.20,0:00:09.64,Default,,0000,0000,0000,,chochote kinachokukujia Dialogue: 0,0:00:09.64,0:00:11.68,Default,,0000,0000,0000,,iwe baraka au majaribu Dialogue: 0,0:00:11.68,0:00:14.44,Default,,0000,0000,0000,,majaribu au nyakati nzuri Dialogue: 0,0:00:14.44,0:00:17.64,Default,,0000,0000,0000,,iko jinsi ilivyo kwa mapenzi ya kiungu Dialogue: 0,0:00:17.64,0:00:20.32,Default,,0000,0000,0000,,anajua Dialogue: 0,0:00:20.32,0:00:23.28,Default,,0000,0000,0000,,hakuna kiwango cha huruma ya binadamu au anachochangia Dialogue: 0,0:00:23.28,0:00:25.72,Default,,0000,0000,0000,,inaweza kubadili mipango ya mungu. Dialogue: 0,0:00:25.72,0:00:29.80,Default,,0000,0000,0000,,kama 'imeandikwa' kuwa lazima upitie jaribu hili Dialogue: 0,0:00:29.80,0:00:33.56,Default,,0000,0000,0000,,au upitie mateso - lazima uyapitie Dialogue: 0,0:00:33.56,0:00:37.08,Default,,0000,0000,0000,,waweza fikiri kuwa, ' nawezachukua njia ya mkato kukwepa, Dialogue: 0,0:00:37.08,0:00:38.96,Default,,0000,0000,0000,,nitayashinda haraka...' Dialogue: 0,0:00:38.96,0:00:41.76,Default,,0000,0000,0000,,unachofanya tu ni kukwepa siku ya jaribio lako. Dialogue: 0,0:00:41.76,0:00:43.28,Default,,0000,0000,0000,,bado utarudi pale kuyapitia Dialogue: 0,0:00:43.28,0:00:45.36,Default,,0000,0000,0000,,ulichojaribu kuhepa Dialogue: 0,0:00:45.36,0:00:47.80,Default,,0000,0000,0000,,kama 'imeandikwa' ya kwamba lazima upitie, Dialogue: 0,0:00:47.80,0:00:50.32,Default,,0000,0000,0000,,usiingize mawazo yako ndani yake Dialogue: 0,0:00:50.32,0:00:53.92,Default,,0000,0000,0000,,kilichopangwa mbeleni huko mbinguni.