0:00:00.000,0:00:05.080 Kila hatua ya safari yako - Mungu anajua 0:00:05.080,0:00:08.200 ukimtumikia kwa kweli na kwa imani 0:00:08.200,0:00:09.640 chochote kinachokukujia 0:00:09.640,0:00:11.680 iwe baraka au majaribu 0:00:11.680,0:00:14.440 majaribu au nyakati nzuri 0:00:14.440,0:00:17.640 iko jinsi ilivyo kwa mapenzi ya kiungu 0:00:17.640,0:00:20.320 anajua 0:00:20.320,0:00:23.280 hakuna kiwango cha huruma ya binadamu au anachochangia 0:00:23.280,0:00:25.720 inaweza kubadili mipango ya mungu. 0:00:25.720,0:00:29.800 kama 'imeandikwa' kuwa lazima upitie jaribu hili 0:00:29.800,0:00:33.560 au upitie mateso - lazima uyapitie 0:00:33.560,0:00:37.080 waweza fikiri kuwa, ' nawezachukua njia ya mkato kukwepa, 0:00:37.080,0:00:38.960 nitayashinda haraka...' 0:00:38.960,0:00:41.760 unachofanya tu ni kukwepa siku ya jaribio lako. 0:00:41.760,0:00:43.280 bado utarudi pale kuyapitia 0:00:43.280,0:00:45.360 ulichojaribu kuhepa 0:00:45.360,0:00:47.800 kama 'imeandikwa' ya kwamba lazima upitie, 0:00:47.800,0:00:50.320 usiingize mawazo yako ndani yake 0:00:50.320,0:00:53.920 kilichopangwa mbeleni huko mbinguni.