Kila hatua ya safari yako - Mungu anajua
ukimtumikia kwa kweli na kwa imani
chochote kinachokukujia
iwe baraka au majaribu
majaribu au nyakati nzuri
iko jinsi ilivyo kwa mapenzi ya kiungu
anajua
hakuna kiwango cha huruma ya binadamu au anachochangia
inaweza kubadili mipango ya mungu.
kama 'imeandikwa' kuwa lazima upitie jaribu hili
au upitie mateso - lazima uyapitie
waweza fikiri kuwa, ' nawezachukua njia ya mkato kukwepa,
nitayashinda haraka...'
unachofanya tu ni kukwepa siku ya jaribio lako.
bado utarudi pale kuyapitia
ulichojaribu kuhepa
kama 'imeandikwa' ya kwamba lazima upitie,
usiingize mawazo yako ndani yake
kilichopangwa mbeleni huko mbinguni.