[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:15.50,0:00:19.16,Default,,0000,0000,0000,,Watu wengi walikuja na kumwambia Yehoshafati Dialogue: 0,0:00:19.16,0:00:23.06,Default,,0000,0000,0000,,ya kwamba jeshi kubwa lilijongea\Nkufanya vita na yeye. Dialogue: 0,0:00:23.06,0:00:27.03,Default,,0000,0000,0000,,Baada ya kushtushwa na habari hizi,\NYehoshafati alitangaza Dialogue: 0,0:00:27.03,0:00:29.12,Default,,0000,0000,0000,,mafungo kwa Yuda nzima. Dialogue: 0,0:00:29.12,0:00:31.96,Default,,0000,0000,0000,,Watu walikuja\Nkutoka miji yote ya Yuda Dialogue: 0,0:00:31.96,0:00:34.35,Default,,0000,0000,0000,,kufunga na kuomba kwa pamoja. Dialogue: 0,0:00:34.35,0:00:37.58,Default,,0000,0000,0000,,Tulikuwa sehemu ya kundi kubwa,\Nna Yehoshafati Dialogue: 0,0:00:37.58,0:00:40.97,Default,,0000,0000,0000,,alimuomba msaada\Nkwa unyenyekevu Mungu Dialogue: 0,0:00:40.97,0:00:44.42,Default,,0000,0000,0000,,Kisha Mtu aitwaye Yahazieli\Nalisimama na kusema Dialogue: 0,0:00:44.42,0:00:47.16,Default,,0000,0000,0000,,kwamba Yehoshafati\Natakiwihi kujihusisha— Dialogue: 0,0:00:47.16,0:00:50.29,Default,,0000,0000,0000,,ya kwamba ilikuwa sii vita yake,\Nbali ya vita ya Mungu. Dialogue: 0,0:00:59.71,0:01:01.71,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa mapema\Nasubuhi tulipoanza safari Dialogue: 0,0:01:01.71,0:01:03.71,Default,,0000,0000,0000,,kwenye jangwa la Tekoa. Dialogue: 0,0:01:03.71,0:01:07.20,Default,,0000,0000,0000,,Tulikuwa na wasiwasi\Nkukutana na jeshi hili kubwa, Dialogue: 0,0:01:07.20,0:01:09.49,Default,,0000,0000,0000,,lakini tuliambiwa tuwe na imani. Dialogue: 0,0:01:09.49,0:01:11.76,Default,,0000,0000,0000,,Tulikuwa tumesali. Dialogue: 0,0:01:13.92,0:01:16.40,Default,,0000,0000,0000,,Pindi kundi la upepelezi\Nlilipokuja juu ya mlima, Dialogue: 0,0:01:16.40,0:01:19.03,Default,,0000,0000,0000,,tuliona tu maiti\Nkote kote. Dialogue: 0,0:01:21.03,0:01:23.03,Default,,0000,0000,0000,,Adui zetu waligeukana. Dialogue: 0,0:01:23.03,0:01:26.22,Default,,0000,0000,0000,,Sala za Yehoshafati\Nzilishinda vita Dialogue: 0,0:01:26.22,0:01:28.28,Default,,0000,0000,0000,,bila haja ya kupigana.