0:00:00.000,0:00:02.999 Fikiria kuhusu rununu yako au kipakatalishi. 0:00:03.611,0:00:05.511 Wanajua kila kitu kuihusu. 0:00:05.517,0:00:08.241 Kila chembe ndani yake, mahali kilipozalishwa. 0:00:08.985,0:00:09.965 Halafu... 0:00:09.965,0:00:11.555 haujui chochote tena. 0:00:11.555,0:00:15.468 Taka za kielektroniki huwa kwa sababu vitu si muhimu kwetu tena, 0:00:15.468,0:00:16.709 kwa hivyo tunazitupa. 0:00:16.709,0:00:18.719 Tunazidisha hiyo shida kwa uhalisia kuwa 0:00:18.728,0:00:21.078 jinsi tumeziunda na kuzibuni 0:00:21.087,0:00:23.337 inakuwa vigumu kuzitenganisha, 0:00:25.096,0:00:26.826 Kudondoa vifaa muhimu, 0:00:28.556,0:00:29.515 na kuvitumua tena 0:00:29.603,0:00:31.917 tiubu zimeunganishwa na chasisi. 0:00:31.917,0:00:34.007 Chasisi imeunganishwa kwa kilicho kikuu... 0:00:34.073,0:00:37.724 Nasikia kuwa kuna takriban watu 4000 na wanaofanya kazi hapa. 0:00:37.746,0:00:40.436 Nimekuwa hapa kwa takriban miaka 15 sasa. 0:00:43.239,0:00:44.499 Tuligundua kuwa wengi wao 0:00:44.499,0:00:47.448 walikuwa na viwango vya juu vya vyembe vya chuma nzito damuni mwao. 0:00:47.488,0:00:49.018 Nadhani kuwa siyo tu Afrika 0:00:49.348,0:00:52.860 inapambana na suala hili la taka za kieletroniki 0:00:52.872,0:00:57.802 kwa sababu elektroniki na vifaa vyake ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku. 0:00:57.811,0:01:00.072 Hatuwezi tu kuwapa hivi bidhaa 0:01:00.072,0:01:03.952 watu bilioni 7,8,9 watakao kuwa sayarini baadaye 0:01:04.122,0:01:06.048 tukiwa tunatupa idadi kubwa 0:01:06.048,0:01:08.252 baada ya kutumika kwa miaka miwili au mitatu. 0:01:51.438,0:01:54.312 Hakika, tunawaza kwa ujumla kuhusu taka za kieletroniki, 0:01:54.312,0:01:56.790 ni tofauti ukifikiria skrini za CRT, 0:01:56.790,0:01:59.970 au ukifikiria kuhusu rununu ya kizazi kipya. 0:01:59.970,0:02:03.394 Lakini hakika kuna thamani kubwa tunayoweza kurudisha kutoka kwa hizi taka. 0:02:03.394,0:02:05.545 Kunafaa kuwa na motisha ya kutengeneza upya 0:02:05.545,0:02:06.857 Mimi ni Professa katika MIT, 0:02:06.857,0:02:08.775 ninapoendesha mahali panapoitwa Senseable City Lab 0:02:08.775,0:02:11.195 na pia ofisi ya kubuni inayoitwa Carlo Rtii Associati. 0:02:11.195,0:02:13.865 Tulianza kushughuikia hii na mradi tuliyoiita Trash-Track. 0:02:13.868,0:02:16.857 Ilikuwa miaka michache iliyopita na tulishirikiana na jiji la Seattle 0:02:16.857,0:02:19.457 na kutupa elektoniki nyingi tulizozitambulisha 0:02:19.647,0:02:20.679 ili kufuata taka 0:02:20.720,0:02:22.400 tulifuata maganda ya ndizi, 0:02:22.408,0:02:26.758 skrini za CRT, tarakilishi, Katrigi na kadhalika 0:02:26.787,0:02:30.047 Taka nyingi zingeishia katika mipaka ya Marekani, 0:02:30.047,0:02:32.027 halafu, hatungeifuata tena. 0:03:08.016,0:03:09.901 Mara ya kwanza nilipofika hapa nilishtuka. 0:03:10.930,0:03:13.320 Unaona aina ya kazi watu wanaoifanya. 0:03:15.432,0:03:19.022 Wanajikata, wanajiweka wazi kwa vitu vingi. 0:03:21.482,0:03:24.262 Jina langu ni Bennett Nana Akuffo. 0:03:25.650,0:03:28.610 Mimi ni meneja wa Green Advocacy Ghana wa Miradi. 0:03:28.771,0:03:31.711 kwa hivyo, vijana hapa kawaida huzunguka na malori. 0:03:31.958,0:03:33.228 Wanaenda kwa kila nyumba. 0:03:33.228,0:03:34.808 Wakija kwangu, 0:03:34.810,0:03:37.100 hakika wanaweza kununua jokofu kutoka kwangu. 0:03:37.126,0:03:39.866 Halafu watalileta hadi hapa, 0:03:39.931,0:03:41.621 watalikata vipande. 0:03:41.623,0:03:43.743 Watapata aluminia kutokana na kasha. 0:03:43.834,0:03:47.774 watapata shaba kutokana na mota iliyoko jokofuni. 0:03:48.176,0:03:50.978 Kwa hivyo wanachokifanya ni kulikata kwa patasi na nyundo. 0:03:51.483,0:03:53.513 halafu nyaya zilizoko, 0:03:53.526,0:03:55.526 watazichoma kudondoa shaba. 0:03:55.556,0:03:57.746 Halafu kinachotendekea stairofomu, 0:03:57.765,0:04:00.165 ni kutumiwa kama mafuta. 0:04:00.179,0:04:02.719 Kwa hivyo wakitaka kusindika aina hizo zote za vyuma, 0:04:02.719,0:04:05.947 wataongezea Stairofomu halafu waliwashe. 0:04:07.339,0:04:09.708 Tunajua kuwa udongo umechafuka sana, 0:04:09.708,0:04:13.708 kwa viwango vya ledi, kadaminiamu na aseniki mchangani unaongezeka. 0:04:13.990,0:04:16.890 Tulifanya utafiti wa watu hapa. 0:04:16.978,0:04:18.648 Tulipata kuwa wengi wao 0:04:18.648,0:04:21.251 wameongeza viwango vya vyembe vya vyuma miilini mwao. 0:04:21.337,0:04:23.673 Vyembe vya vyuma vizito vinahusishwa na saratani 0:04:23.925,0:04:25.325 na magonjwa mengine. 0:04:25.567,0:04:28.417 Sehemu hii yote ni kama eneo la biashara. 0:04:28.538,0:04:31.188 Upo na watu wanaouza maji, vinywaji. 0:04:31.329,0:04:32.349 wengine wanafanya kazi, 0:04:32.360,0:04:34.930 wengine wanazurura wakiokota vitu mvunguni. 0:04:35.185,0:04:37.585 Kwa hivyo ni jumuiya yake yenyewe. 0:04:39.768,0:04:43.768 Nasikia kuwa kuna zaidi ya watu mia nne wanaofanya kazi hapa. 0:04:43.923,0:04:46.723 Na wengi wao hushinda hapa siku kutwa. 0:04:46.857,0:04:48.937 Wengi wao yamkini wapo hatarini. 0:04:51.715,0:04:55.328 Watu wengi hupaona Agbogbloshie kama biwi la taka. 0:04:55.671,0:04:59.671 Lakini ni huduma wanaopatia Waghana wa Kawaida. 0:04:59.871,0:05:01.060 Ndio, ni mbaya, 0:05:01.380,0:05:03.360 lakini ni huduma tunayohitaji. 0:05:03.360,0:05:04.940 Ikiwa Agbogbloshie haingekuwa, 0:05:05.759,0:05:07.765 ni nini ingefanyikia magari yetu kukuu, 0:05:07.765,0:05:11.001 majokofu yetu zee, maruninga na hayo yote? 0:05:19.917,0:05:22.087 Kila mara tumekuwa na azma hapa IDEO ya 0:05:22.087,0:05:24.807 kujaribu kuunganisha watu na teknolojia 0:05:24.818,0:05:25.888 kupitia ubunifu. 0:05:25.888,0:05:26.978 Mimi ni Tim Brown. 0:05:27.118,0:05:30.003 Na mimi ni mkurugenzi wa kampuni ya Ubunifu ya IDEO. 0:05:30.003,0:05:31.813 Siku za nyuma tulipoanza, 0:05:31.813,0:05:35.006 tulifanya vitu kama kiteuzi cha kwanza cha tarakilishi ya Macintosh ya asili, 0:05:35.006,0:05:37.936 na kipakatalishi cha kwanza, na kiboreshaji cha kwanza cha mashine iliyo otomatiki. 0:05:38.060,0:05:41.480 Utata wa mifumo 0:05:41.486,0:05:43.837 inayotegemeza bidhaa hizi na huduma 0:05:43.837,0:05:45.706 tunaelewa hayo bora sana sasa. 0:05:45.706,0:05:48.372 Ndiyo maana tulinuia vitu kama uchumi mzunguko. 0:05:48.372,0:05:50.572 Na umuhimu wa kufikiria kuhusu bidhaa 0:05:50.572,0:05:53.152 siyo tu kupitia zamu yao ya kutumiwa, 0:05:53.152,0:05:54.902 lakini pia kinachovitendekea baadaye. 0:05:54.902,0:05:56.600 Mimi ni Vincent Biruta, 0:05:56.650,0:05:59.663 mimi ni waziri wa mazingira wa jamhuri ya Rwanda. 0:05:59.860,0:06:04.890 Tunashughulika na tani 10,000 ya taka za kielektroniki kila mwaka. 0:06:05.293,0:06:07.953 Na tuliamua kuanzisha 0:06:07.953,0:06:11.033 kiwanda cha kuchanguka na kutengeneza upya taka za kielektroniki, 0:06:11.092,0:06:13.432 ambacho kina uwezo wa kushughulikia 0:06:13.477,0:06:16.317 haya matani 10,000 kila mwaka. 0:06:16.444,0:06:18.594 Leo kiwanda cha pili Rwanda 0:06:18.601,0:06:21.011 hufanya baadhi ya tarakilishi kuonekana mpya, 0:06:21.058,0:06:23.558 tarakilishi 400 zilizosafishwa 0:06:23.589,0:06:26.019 ambazo zinasambazwa kwa mashule. 0:06:26.314,0:06:32.126 Lakini tunapeleka sehemu za plastiki kwa kampuni za kutengeneza upya plastiki. 0:06:32.749,0:06:37.099 Tunapeleka vijenzi vya chuma kwa viwanda vya chuma. 0:06:37.419,0:06:40.069 Lakini tunapanga kuwa na awamu ya pili 0:06:40.247,0:06:42.527 kurudisha vyuma vya thamani 0:06:42.662,0:06:45.742 ambazo ni vijenzi vya hivi vifaa vya kielektroniki. 0:06:56.867,0:07:00.306 Kwa hisani ya Pure Health, Shirika lisilo la kiserikali kutoka Marekani, 0:07:00.456,0:07:03.056 tuliamua kutafuta njia ya kuondoa kuchoma 0:07:03.078,0:07:05.398 kama njia ya usindikaji wa shaba. 0:07:05.723,0:07:09.723 Tulianzisha eneo la jaribio hapa pamoja na vivua nyaya 0:07:10.632,0:07:14.652 Na waona hizi shimo unaposhinikizia nyaya 0:07:14.652,0:07:17.686 hizi ni vimo vya nyaya tunavyoweza kutengenezwa upya. 0:07:17.763,0:07:20.973 Na inafanya hivyo kwa sekunde, halafu imemaliza. 0:07:21.011,0:07:22.851 Plastiki inaenda upande mmoja, 0:07:22.863,0:07:24.813 na chuma inatokezea upande mwingine. 0:07:26.882,0:07:28.362 Unapoleta waya yako hapa, 0:07:28.370,0:07:31.660 Ni shaba au aluminia safi ambayo ina uzani zaidi. 0:07:31.682,0:07:34.632 Kwa hivyo vijana hupata pesa nyingi. 0:07:47.098,0:07:50.029 Imesababishwa kwa kubuni na kwa hivyo suluhisho ni shida ya kubuni. 0:07:50.163,0:07:52.448 Ikiwa tumechukulia uchumi mzunguko kwa uzito, 0:07:52.449,0:07:53.819 tungetaka kukamilisha 0:07:53.837,0:07:56.687 kuunda dhana mpya za usambazaji 0:07:57.006,0:08:00.376 Hatufai kutumia vifaa vingi sana. 0:08:00.551,0:08:02.941 Kuwa na vijenzi vilivyo na maisha mseto. 0:08:03.053,0:08:05.293 Halafu tunapofaa kuzitupa 0:08:05.310,0:08:11.439 tunahakikisha tu kuwa tumezitupa pale ambapo kuna mitambo 0:08:11.439,0:08:13.363 Bado tunapenda kidogo wazo 0:08:13.363,0:08:15.065 la bidhaa nzuri tunavyotaka kumiliki. 0:08:15.065,0:08:17.209 Lakini pengine huo sio mfano mzuri wa siku za usoni. 0:08:17.209,0:08:19.963 Inawezekana kuwa hatufai kununua bidhaa hizi kabisa, 0:08:19.963,0:08:22.493 lakini tunafaa kuzipeleka zihudumiwe 0:08:22.686,0:08:26.066 ili watengenezaji wawe na sababu ya kuzirudisha. 0:08:26.066,0:08:28.999 Itabidi tuwe wabunifu sana kwa miaka michache zijazo 0:08:29.022,0:08:30.912 ili kusuluhisha shida hizi. 0:08:31.332,0:08:35.036 Manukuu umefanywa na Adrian Castillo Uhakiki umefanywa na Jenny Lam Chowdhury.