WEBVTT 00:00:00.928 --> 00:00:04.012 KIla kitu kinahusiana na kingine 00:00:04.012 --> 00:00:07.538 Kama muhindi, nilikuzwa kujua hili 00:00:07.538 --> 00:00:09.561 Sisi ni kabila dogo la wavuvi 00:00:09.561 --> 00:00:12.745 Katika ncha ya kusini mashariki mwa kisiwa cha Long 00:00:12.745 --> 00:00:15.910 karibu na mji wa Southampton katika jiji la New York. NOTE Paragraph 00:00:15.910 --> 00:00:18.380 Nilipokuwa msichana mdogo, 00:00:18.380 --> 00:00:23.728 Babu yangu alinichukua kukaa naye juani katika wakati wa majira ya joto. 00:00:23.728 --> 00:00:27.282 Hakukuwa na mawingu angani. 00:00:27.282 --> 00:00:30.453 na baada ya muda mfupi nikaanza kutoka jasho. 00:00:30.453 --> 00:00:33.979 na akanionyesha angani na kusema, 00:00:33.979 --> 00:00:36.827 "Angalia,unaona kile? 00:00:36.827 --> 00:00:38.946 Ile ni sehemu yako kule juu. 00:00:38.946 --> 00:00:41.861 Yale ni maji yako yanayosaidia kutengeneza mawingu 00:00:41.861 --> 00:00:46.134 yanayokuwa mvua inayonywesha mimea 00:00:46.134 --> 00:00:49.920 ambayo inalisha wanyama." NOTE Paragraph 00:00:49.920 --> 00:00:52.912 katika utafiti wangu wa mambo haya 00:00:52.912 --> 00:00:57.328 ambayo yanaonyesha uhusiano katika maisha, 00:00:57.328 --> 00:01:00.029 Nilianza kukimbiza vimbunga mwaka 2008 00:01:00.029 --> 00:01:03.897 baada ya binti yangu kusema, " Mama, ni lazima ufanye hivyo." NOTE Paragraph 00:01:03.897 --> 00:01:10.108 siku tatu baadaye,nikiendesha gari kwa kasi sana, 00:01:10.108 --> 00:01:17.368 nikajikuta nafuatilia aina moja ya wingu kubwa sana, 00:01:17.368 --> 00:01:21.819 lenye uwezo wa kutengeneza mvua ua mawe kubwa 00:01:21.819 --> 00:01:23.812 na vimbunga vya ajabu, 00:01:23.812 --> 00:01:30.118 ingawa ni asilimia mbili tu hufanya hivyo. 00:01:30.118 --> 00:01:35.262 mawingu haya yanaweza kuwa makubwa sana, mpaka maili 50 kwa upana 00:01:35.262 --> 00:01:39.328 na yanaweza yakaenda mpaka futi 65,000 juu angani. 00:01:39.328 --> 00:01:41.702 yanaweza yakawa makubwa sana kiasi cha kuzuia mwanga wa mchana, 00:01:41.702 --> 00:01:46.826 kufanya ukisimama chini yake kuwa peusi sana. NOTE Paragraph 00:01:46.826 --> 00:01:49.728 Kukimbiza vimbunga ni kitu chenye mguso wa kipekee. 00:01:49.728 --> 00:01:53.995 unakuta kuna upepo mnyevu wa joto unaopuliza mgongoni kwako 00:01:53.995 --> 00:02:00.697 haufu ya mchanga,ngano na majani. 00:02:00.697 --> 00:02:04.094 halafu pia kuna rangi mbalimbali katika mawingu 00:02:04.094 --> 00:02:09.284 ya mvua ya mawe, ya kijani na bluu. 00:02:09.284 --> 00:02:12.562 nimejifunza kuiheshimu radi. 00:02:12.562 --> 00:02:14.696 Nywele zangu zilikuwa hazijajikunja ziko moja kwa moja. NOTE Paragraph 00:02:14.696 --> 00:02:16.120 (vicheko) NOTE Paragraph 00:02:16.120 --> 00:02:17.744 ninatania. NOTE Paragraph 00:02:17.744 --> 00:02:19.886 (vicheko) NOTE Paragraph 00:02:19.886 --> 00:02:23.062 kinachonifurahisha mimi kuhusu vimbunga hivi 00:02:23.062 --> 00:02:27.279 ni jinsi vinavyotembea,vinavyozunguka, 00:02:27.279 --> 00:02:31.297 na mawingu yenye vitu kama miale ya moto. 00:02:31.297 --> 00:02:34.029 yanakuwa ni madude yanayotisha huku yakipendeza pia. NOTE Paragraph 00:02:34.029 --> 00:02:36.562 ninapoyapiga picha, 00:02:36.562 --> 00:02:40.295 nashindwa kujizuia kukumbuka mafundisho ya babu yangu. 00:02:40.295 --> 00:02:42.287 na ninasimama chini yake, 00:02:42.287 --> 00:02:44.494 naona sio tu wingu, 00:02:44.494 --> 00:02:47.377 lakini na kuelewa pia nina bahati ya kushuhudia 00:02:47.377 --> 00:02:51.827 nguvu zile zile ,mchakato ule ule, katika hali ndogo 00:02:51.827 --> 00:02:58.145 ambavyo vilitengeneza anga letu,mfumo wa jua,jua letu 00:02:58.145 --> 00:03:02.703 na hata sayari hii. NOTE Paragraph 00:03:02.703 --> 00:03:05.160 na mahusiano yote yangu. Asante sana. NOTE Paragraph 00:03:05.160 --> 00:03:07.537 (Shangwe)