0:00:00.928,0:00:04.012 KIla kitu kinahusiana na kingine 0:00:04.012,0:00:07.538 Kama muhindi, nilikuzwa kujua hili 0:00:07.538,0:00:09.561 Sisi ni kabila dogo la wavuvi 0:00:09.561,0:00:12.745 Katika ncha ya kusini mashariki mwa kisiwa cha Long 0:00:12.745,0:00:15.910 karibu na mji wa Southampton katika jiji la New York. 0:00:15.910,0:00:18.380 Nilipokuwa msichana mdogo, 0:00:18.380,0:00:23.728 Babu yangu alinichukua kukaa naye juani katika wakati wa majira ya joto. 0:00:23.728,0:00:27.282 Hakukuwa na mawingu angani. 0:00:27.282,0:00:30.453 na baada ya muda mfupi nikaanza kutoka jasho. 0:00:30.453,0:00:33.979 na akanionyesha angani na kusema, 0:00:33.979,0:00:36.827 "Angalia,unaona kile? 0:00:36.827,0:00:38.946 Ile ni sehemu yako kule juu. 0:00:38.946,0:00:41.861 Yale ni maji yako yanayosaidia kutengeneza mawingu 0:00:41.861,0:00:46.134 yanayokuwa mvua inayonywesha mimea 0:00:46.134,0:00:49.920 ambayo inalisha wanyama." 0:00:49.920,0:00:52.912 katika utafiti wangu wa mambo haya 0:00:52.912,0:00:57.328 ambayo yanaonyesha uhusiano katika maisha, 0:00:57.328,0:01:00.029 Nilianza kukimbiza vimbunga mwaka 2008 0:01:00.029,0:01:03.897 baada ya binti yangu kusema, " Mama, ni lazima ufanye hivyo." 0:01:03.897,0:01:10.108 siku tatu baadaye,nikiendesha gari kwa kasi sana, 0:01:10.108,0:01:17.368 nikajikuta nafuatilia aina moja ya wingu kubwa sana, 0:01:17.368,0:01:21.819 lenye uwezo wa kutengeneza mvua ua mawe kubwa 0:01:21.819,0:01:23.812 na vimbunga vya ajabu, 0:01:23.812,0:01:30.118 ingawa ni asilimia mbili tu hufanya hivyo. 0:01:30.118,0:01:35.262 mawingu haya yanaweza kuwa makubwa sana, mpaka maili 50 kwa upana 0:01:35.262,0:01:39.328 na yanaweza yakaenda mpaka futi 65,000 juu angani. 0:01:39.328,0:01:41.702 yanaweza yakawa makubwa sana kiasi cha kuzuia mwanga wa mchana, 0:01:41.702,0:01:46.826 kufanya ukisimama chini yake kuwa peusi sana. 0:01:46.826,0:01:49.728 Kukimbiza vimbunga ni kitu chenye mguso wa kipekee. 0:01:49.728,0:01:53.995 unakuta kuna upepo mnyevu wa joto unaopuliza mgongoni kwako 0:01:53.995,0:02:00.697 haufu ya mchanga,ngano na majani. 0:02:00.697,0:02:04.094 halafu pia kuna rangi mbalimbali katika mawingu 0:02:04.094,0:02:09.284 ya mvua ya mawe, ya kijani na bluu. 0:02:09.284,0:02:12.562 nimejifunza kuiheshimu radi. 0:02:12.562,0:02:14.696 Nywele zangu zilikuwa hazijajikunja ziko moja kwa moja. 0:02:14.696,0:02:16.120 (vicheko) 0:02:16.120,0:02:17.744 ninatania. 0:02:17.744,0:02:19.886 (vicheko) 0:02:19.886,0:02:23.062 kinachonifurahisha mimi kuhusu vimbunga hivi 0:02:23.062,0:02:27.279 ni jinsi vinavyotembea,vinavyozunguka, 0:02:27.279,0:02:31.297 na mawingu yenye vitu kama miale ya moto. 0:02:31.297,0:02:34.029 yanakuwa ni madude yanayotisha huku yakipendeza pia. 0:02:34.029,0:02:36.562 ninapoyapiga picha, 0:02:36.562,0:02:40.295 nashindwa kujizuia kukumbuka mafundisho ya babu yangu. 0:02:40.295,0:02:42.287 na ninasimama chini yake, 0:02:42.287,0:02:44.494 naona sio tu wingu, 0:02:44.494,0:02:47.377 lakini na kuelewa pia nina bahati ya kushuhudia 0:02:47.377,0:02:51.827 nguvu zile zile ,mchakato ule ule, katika hali ndogo 0:02:51.827,0:02:58.145 ambavyo vilitengeneza anga letu,mfumo wa jua,jua letu 0:02:58.145,0:03:02.703 na hata sayari hii. 0:03:02.703,0:03:05.160 na mahusiano yote yangu. Asante sana. 0:03:05.160,0:03:07.537 (Shangwe)