[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:04.00,Default,,0000,0000,0000,,KIla kitu kinahusiana na kingine Dialogue: 0,0:00:04.00,0:00:07.00,Default,,0000,0000,0000,,Kama muhindi, nilikuzwa kujua hili Dialogue: 0,0:00:07.00,0:00:09.00,Default,,0000,0000,0000,,Sisi ni kabila dogo la wavuvi Dialogue: 0,0:00:09.00,0:00:12.00,Default,,0000,0000,0000,,Katika ncha ya kusini mashariki mwa kisiwa cha Long Dialogue: 0,0:00:12.00,0:00:15.00,Default,,0000,0000,0000,,karibu na mji wa Southampton katika jiji la New York. Dialogue: 0,0:00:15.00,0:00:18.00,Default,,0000,0000,0000,,Nilipokuwa msichana mdogo, Dialogue: 0,0:00:18.00,0:00:23.00,Default,,0000,0000,0000,,Babu yangu alinichukua kukaa naye juani katika wakati wa majira ya joto. Dialogue: 0,0:00:23.00,0:00:27.00,Default,,0000,0000,0000,,Hakukuwa na mawingu angani. Dialogue: 0,0:00:27.00,0:00:30.00,Default,,0000,0000,0000,,na baada ya muda mfupi nikaanza kutoka jasho. Dialogue: 0,0:00:30.00,0:00:33.00,Default,,0000,0000,0000,,na akanionyesha angani na kusema, Dialogue: 0,0:00:33.00,0:00:36.00,Default,,0000,0000,0000,,"Angalia,unaona kile? Dialogue: 0,0:00:36.00,0:00:38.00,Default,,0000,0000,0000,,Ile ni sehemu yako kule juu. Dialogue: 0,0:00:38.00,0:00:41.00,Default,,0000,0000,0000,,Yale ni maji yako yanayosaidia kutengeneza mawingu Dialogue: 0,0:00:41.00,0:00:46.00,Default,,0000,0000,0000,,yanayokuwa mvua inayonywesha mimea Dialogue: 0,0:00:46.00,0:00:49.00,Default,,0000,0000,0000,,ambayo inalisha wanyama." Dialogue: 0,0:00:49.00,0:00:52.00,Default,,0000,0000,0000,,katika utafiti wangu wa mambo haya Dialogue: 0,0:00:52.00,0:00:57.00,Default,,0000,0000,0000,,ambayo yanaonyesha uhusiano katika maisha, Dialogue: 0,0:00:57.00,0:01:00.00,Default,,0000,0000,0000,,Nilianza kukimbiza vimbunga mwaka 2008 Dialogue: 0,0:01:00.00,0:01:03.00,Default,,0000,0000,0000,,baada ya binti yangu kusema, " Mama, ni lazima ufanye hivyo." Dialogue: 0,0:01:03.00,0:01:10.00,Default,,0000,0000,0000,,siku tatu baadaye,nikiendesha gari kwa kasi sana, Dialogue: 0,0:01:10.00,0:01:17.00,Default,,0000,0000,0000,,nikajikuta nafuatilia aina moja ya wingu kubwa sana, Dialogue: 0,0:01:17.00,0:01:21.00,Default,,0000,0000,0000,,lenye uwezo wa kutengeneza mvua ua mawe kubwa Dialogue: 0,0:01:21.00,0:01:23.00,Default,,0000,0000,0000,,na vimbunga vya ajabu, Dialogue: 0,0:01:23.00,0:01:30.00,Default,,0000,0000,0000,,ingawa ni asilimia mbili tu hufanya hivyo. Dialogue: 0,0:01:30.00,0:01:35.00,Default,,0000,0000,0000,,mawingu haya yanaweza kuwa makubwa sana, mpaka maili 50 kwa upana Dialogue: 0,0:01:35.00,0:01:39.00,Default,,0000,0000,0000,,na yanaweza yakaenda mpaka futi 65,000 juu angani. Dialogue: 0,0:01:39.00,0:01:41.00,Default,,0000,0000,0000,,yanaweza yakawa makubwa sana kiasi cha kuzuia mwanga wa mchana, Dialogue: 0,0:01:41.00,0:01:46.00,Default,,0000,0000,0000,,kufanya ukisimama chini yake kuwa peusi sana. Dialogue: 0,0:01:46.00,0:01:49.00,Default,,0000,0000,0000,,Kukimbiza vimbunga ni kitu chenye mguso wa kipekee. Dialogue: 0,0:01:49.00,0:01:53.00,Default,,0000,0000,0000,,unakuta kuna upepo mnyevu wa joto unaopuliza mgongoni kwako Dialogue: 0,0:01:53.00,0:02:00.00,Default,,0000,0000,0000,,haufu ya mchanga,ngano na majani. Dialogue: 0,0:02:00.00,0:02:04.00,Default,,0000,0000,0000,,halafu pia kuna rangi mbalimbali katika mawingu Dialogue: 0,0:02:04.00,0:02:09.00,Default,,0000,0000,0000,,ya mvua ya mawe, ya kijani na bluu. Dialogue: 0,0:02:09.00,0:02:12.00,Default,,0000,0000,0000,,nimejifunza kuiheshimu radi. Dialogue: 0,0:02:12.00,0:02:14.00,Default,,0000,0000,0000,,Nywele zangu zilikuwa hazijajikunja ziko moja kwa moja. Dialogue: 0,0:02:14.00,0:02:16.00,Default,,0000,0000,0000,,(vicheko) Dialogue: 0,0:02:16.00,0:02:17.00,Default,,0000,0000,0000,,ninatania. Dialogue: 0,0:02:17.00,0:02:19.00,Default,,0000,0000,0000,,(vicheko) Dialogue: 0,0:02:19.00,0:02:23.00,Default,,0000,0000,0000,,kinachonifurahisha mimi kuhusu vimbunga hivi Dialogue: 0,0:02:23.00,0:02:27.00,Default,,0000,0000,0000,,ni jinsi vinavyotembea,vinavyozunguka, Dialogue: 0,0:02:27.00,0:02:31.00,Default,,0000,0000,0000,,na mawingu yenye vitu kama miale ya moto. Dialogue: 0,0:02:31.00,0:02:34.00,Default,,0000,0000,0000,,yanakuwa ni madude yanayotisha huku yakipendeza pia. Dialogue: 0,0:02:34.00,0:02:36.00,Default,,0000,0000,0000,,ninapoyapiga picha, Dialogue: 0,0:02:36.00,0:02:40.00,Default,,0000,0000,0000,,nashindwa kujizuia kukumbuka mafundisho ya babu yangu. Dialogue: 0,0:02:40.00,0:02:42.00,Default,,0000,0000,0000,,na ninasimama chini yake, Dialogue: 0,0:02:42.00,0:02:44.00,Default,,0000,0000,0000,,naona sio tu wingu, Dialogue: 0,0:02:44.00,0:02:47.00,Default,,0000,0000,0000,,lakini na kuelewa pia nina bahati ya kushuhudia Dialogue: 0,0:02:47.00,0:02:51.00,Default,,0000,0000,0000,,nguvu zile zile ,mchakato ule ule, katika hali ndogo Dialogue: 0,0:02:51.00,0:02:58.00,Default,,0000,0000,0000,,ambavyo vilitengeneza anga letu,mfumo wa jua,jua letu Dialogue: 0,0:02:58.00,0:03:02.00,Default,,0000,0000,0000,,na hata sayari hii. Dialogue: 0,0:03:02.00,0:03:05.00,Default,,0000,0000,0000,,na mahusiano yote yangu. Asante sana. Dialogue: 0,0:03:05.00,0:03:07.00,Default,,0000,0000,0000,,(Shangwe)