1 00:00:00,000 --> 00:00:04,000 KIla kitu kinahusiana na kingine 2 00:00:04,000 --> 00:00:07,000 Kama muhindi, nilikuzwa kujua hili 3 00:00:07,000 --> 00:00:09,000 Sisi ni kabila dogo la wavuvi 4 00:00:09,000 --> 00:00:12,000 Katika ncha ya kusini mashariki mwa kisiwa cha Long 5 00:00:12,000 --> 00:00:15,000 karibu na mji wa Southampton katika jiji la New York. 6 00:00:15,000 --> 00:00:18,000 Nilipokuwa msichana mdogo, 7 00:00:18,000 --> 00:00:23,000 Babu yangu alinichukua kukaa naye juani katika wakati wa majira ya joto. 8 00:00:23,000 --> 00:00:27,000 Hakukuwa na mawingu angani. 9 00:00:27,000 --> 00:00:30,000 na baada ya muda mfupi nikaanza kutoka jasho. 10 00:00:30,000 --> 00:00:33,000 na akanionyesha angani na kusema, 11 00:00:33,000 --> 00:00:36,000 "Angalia,unaona kile? 12 00:00:36,000 --> 00:00:38,000 Ile ni sehemu yako kule juu. 13 00:00:38,000 --> 00:00:41,000 Yale ni maji yako yanayosaidia kutengeneza mawingu 14 00:00:41,000 --> 00:00:46,000 yanayokuwa mvua inayonywesha mimea 15 00:00:46,000 --> 00:00:49,000 ambayo inalisha wanyama." 16 00:00:49,000 --> 00:00:52,000 katika utafiti wangu wa mambo haya 17 00:00:52,000 --> 00:00:57,000 ambayo yanaonyesha uhusiano katika maisha, 18 00:00:57,000 --> 00:01:00,000 Nilianza kukimbiza vimbunga mwaka 2008 19 00:01:00,000 --> 00:01:03,000 baada ya binti yangu kusema, " Mama, ni lazima ufanye hivyo." 20 00:01:03,000 --> 00:01:10,000 siku tatu baadaye,nikiendesha gari kwa kasi sana, 21 00:01:10,000 --> 00:01:17,000 nikajikuta nafuatilia aina moja ya wingu kubwa sana, 22 00:01:17,000 --> 00:01:21,000 lenye uwezo wa kutengeneza mvua ua mawe kubwa 23 00:01:21,000 --> 00:01:23,000 na vimbunga vya ajabu, 24 00:01:23,000 --> 00:01:30,000 ingawa ni asilimia mbili tu hufanya hivyo. 25 00:01:30,000 --> 00:01:35,000 mawingu haya yanaweza kuwa makubwa sana, mpaka maili 50 kwa upana 26 00:01:35,000 --> 00:01:39,000 na yanaweza yakaenda mpaka futi 65,000 juu angani. 27 00:01:39,000 --> 00:01:41,000 yanaweza yakawa makubwa sana kiasi cha kuzuia mwanga wa mchana, 28 00:01:41,000 --> 00:01:46,000 kufanya ukisimama chini yake kuwa peusi sana. 29 00:01:46,000 --> 00:01:49,000 Kukimbiza vimbunga ni kitu chenye mguso wa kipekee. 30 00:01:49,000 --> 00:01:53,000 unakuta kuna upepo mnyevu wa joto unaopuliza mgongoni kwako 31 00:01:53,000 --> 00:02:00,000 haufu ya mchanga,ngano na majani. 32 00:02:00,000 --> 00:02:04,000 halafu pia kuna rangi mbalimbali katika mawingu 33 00:02:04,000 --> 00:02:09,000 ya mvua ya mawe, ya kijani na bluu. 34 00:02:09,000 --> 00:02:12,000 nimejifunza kuiheshimu radi. 35 00:02:12,000 --> 00:02:14,000 Nywele zangu zilikuwa hazijajikunja ziko moja kwa moja. 36 00:02:14,000 --> 00:02:16,000 (vicheko) 37 00:02:16,000 --> 00:02:17,000 ninatania. 38 00:02:17,000 --> 00:02:19,000 (vicheko) 39 00:02:19,000 --> 00:02:23,000 kinachonifurahisha mimi kuhusu vimbunga hivi 40 00:02:23,000 --> 00:02:27,000 ni jinsi vinavyotembea,vinavyozunguka, 41 00:02:27,000 --> 00:02:31,000 na mawingu yenye vitu kama miale ya moto. 42 00:02:31,000 --> 00:02:34,000 yanakuwa ni madude yanayotisha huku yakipendeza pia. 43 00:02:34,000 --> 00:02:36,000 ninapoyapiga picha, 44 00:02:36,000 --> 00:02:40,000 nashindwa kujizuia kukumbuka mafundisho ya babu yangu. 45 00:02:40,000 --> 00:02:42,000 na ninasimama chini yake, 46 00:02:42,000 --> 00:02:44,000 naona sio tu wingu, 47 00:02:44,000 --> 00:02:47,000 lakini na kuelewa pia nina bahati ya kushuhudia 48 00:02:47,000 --> 00:02:51,000 nguvu zile zile ,mchakato ule ule, katika hali ndogo 49 00:02:51,000 --> 00:02:58,000 ambavyo vilitengeneza anga letu,mfumo wa jua,jua letu 50 00:02:58,000 --> 00:03:02,000 na hata sayari hii. 51 00:03:02,000 --> 00:03:05,000 na mahusiano yote yangu. Asante sana. 52 00:03:05,000 --> 00:03:07,000 (Shangwe)