[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.94,0:00:04.94,Default,,0000,0000,0000,,Nchini India, wasichana milioni tatu \Nhawaendi shule. Dialogue: 0,0:00:04.94,0:00:08.26,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo ni msichana mmoja kati ya watatu\Nwenye umri wa miaka 10 hadi 14. Dialogue: 0,0:00:08.26,0:00:11.77,Default,,0000,0000,0000,,Lakini 'Educate Girls' inabadilisha \Nhali hiyo. Dialogue: 0,0:00:15.88,0:00:18.76,Default,,0000,0000,0000,,Mtazamo uliokithiri ni Dialogue: 0,0:00:18.76,0:00:22.82,Default,,0000,0000,0000,,kwamba mbuzi yangu ni mali \Nna msichana wangu ni dhima. Dialogue: 0,0:00:22.82,0:00:25.98,Default,,0000,0000,0000,,Na inahusu tu kubadilisha mtazamo. Dialogue: 0,0:00:29.64,0:00:31.78,Default,,0000,0000,0000,,Jina langu ni Bhagwanti. Dialogue: 0,0:00:33.61,0:00:36.64,Default,,0000,0000,0000,,Kabla niende shule, lazima \Nnifanye kazi ya nyumbani: Dialogue: 0,0:00:36.64,0:00:40.27,Default,,0000,0000,0000,,kupika vyakula, kuosha, \Nkupeleka mbuzi malishoni. Dialogue: 0,0:00:40.27,0:00:42.66,Default,,0000,0000,0000,,Wakati mwingine nasafisha nyumba pia. Dialogue: 0,0:00:44.41,0:00:47.57,Default,,0000,0000,0000,,Kwanza, katika kila kijiji tunakoingia Dialogue: 0,0:00:47.57,0:00:49.98,Default,,0000,0000,0000,,tunapata mtu aliyejitolea wa jamii. Dialogue: 0,0:00:49.98,0:00:53.24,Default,,0000,0000,0000,,Watu wetu waliojitolea ni wachanga, \Nwamesoma na wana shauku. Dialogue: 0,0:00:53.24,0:00:56.29,Default,,0000,0000,0000,,Wenyewe wangependa kuona mabadiliko. Dialogue: 0,0:00:57.85,0:01:01.85,Default,,0000,0000,0000,,Wanakweda lango hadi lango, na wanapata \Nkila msichana ambaye haendi shuleni. Dialogue: 0,0:01:04.70,0:01:07.26,Default,,0000,0000,0000,,Kisha, wanaketi na jamii Dialogue: 0,0:01:07.30,0:01:09.66,Default,,0000,0000,0000,,na wanabuni mipango ya usajili \Nkulingana na jamii Dialogue: 0,0:01:09.66,0:01:12.14,Default,,0000,0000,0000,,ya kurudisha wasichana hawa shuleni. Dialogue: 0,0:01:12.14,0:01:15.10,Default,,0000,0000,0000,,Wanaojitolea au 'Balikas' \Nhufanya kazi na shule za vijiji... Dialogue: 0,0:01:15.10,0:01:17.72,Default,,0000,0000,0000,,ili kuhakikisha ziko salama \Nna zina vyoo vya wasichana. Dialogue: 0,0:01:17.74,0:01:20.97,Default,,0000,0000,0000,,Pia wanasaidia kuwafunza wasichana. Dialogue: 0,0:01:24.26,0:01:27.17,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo, kisha wanaojitolea\N"Team Balika' huingia Dialogue: 0,0:01:27.17,0:01:28.82,Default,,0000,0000,0000,,katika darasa la shule ya serikali Dialogue: 0,0:01:28.82,0:01:31.72,Default,,0000,0000,0000,,na wanatoa mafunzo ya Hindi, \NKiigereza na Hesabu Dialogue: 0,0:01:31.72,0:01:34.45,Default,,0000,0000,0000,,ili kuhakikisha kuwa watoto wote - \Nwavulana na wasichana, Dialogue: 0,0:01:34.47,0:01:37.68,Default,,0000,0000,0000,,wanapata matokeo yanayohitajika ya elimu. Dialogue: 0,0:01:40.03,0:01:44.41,Default,,0000,0000,0000,,Inahusu kila msichana kuja shuleni. Dialogue: 0,0:01:44.60,0:01:49.39,Default,,0000,0000,0000,,Inahusu kila msichana \Nkuchangia katika dunia inayobadilika. Dialogue: 0,0:01:49.59,0:01:53.80,Default,,0000,0000,0000,,Inahusu kila msichana \Nkuchangia mabadiliko katika famili, Dialogue: 0,0:01:53.97,0:01:57.97,Default,,0000,0000,0000,,na inahusu kila msichana \Nkuchangia katika mabadiliko Dialogue: 0,0:01:57.97,0:01:59.85,Default,,0000,0000,0000,,katika jamii pana. Dialogue: 0,0:01:59.85,0:02:03.50,Default,,0000,0000,0000,,Tunazungumzia afya bora, mapato bora. Dialogue: 0,0:02:03.50,0:02:08.21,Default,,0000,0000,0000,,Tunazungumzia elimu bora, \Nkwa hivyo ni kwa kila mtoto. Dialogue: 0,0:02:10.66,0:02:14.52,Default,,0000,0000,0000,,Kuna takribani asilimia 50, 60 ya \Nwasichana huko Rajasthan ambao wameolewa Dialogue: 0,0:02:14.52,0:02:15.77,Default,,0000,0000,0000,,chini ya umri wa miaka 18. Dialogue: 0,0:02:15.77,0:02:19.32,Default,,0000,0000,0000,,Kote nchini, asilimia hiyo ya watoto \Nkuolewa iko juu sana. Dialogue: 0,0:02:20.54,0:02:23.67,Default,,0000,0000,0000,,Watoto wengi pia, \Ntakribani asilimia 10 hadi 15 Dialogue: 0,0:02:23.67,0:02:26.01,Default,,0000,0000,0000,,wameolewa chini ya umri wa miaka 10. Dialogue: 0,0:02:26.05,0:02:28.31,Default,,0000,0000,0000,,Niliozwa na wazazi wangu nikiwa \Nna miaka 14. Dialogue: 0,0:02:28.33,0:02:31.99,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa mwanafunzi katika darasa la 8.\NWazazi wa mvulana walikuwa wamekubali Dialogue: 0,0:02:32.01,0:02:35.20,Default,,0000,0000,0000,,kuendeleza masomo yangu \Nlakini baada tu ya matokeo yangu kutoka Dialogue: 0,0:02:35.23,0:02:38.56,Default,,0000,0000,0000,,hawakutimiza ahadi yao. Dialogue: 0,0:02:39.44,0:02:42.47,Default,,0000,0000,0000,,Neelam ni mojawapo ya Balikas 10,000\Nkatika Educated Girls. Dialogue: 0,0:02:42.47,0:02:46.47,Default,,0000,0000,0000,,Wamewasaidia watoto milioni mbili. Dialogue: 0,0:02:48.28,0:02:52.36,Default,,0000,0000,0000,,Ningependa kuwa mwalimu baada ya masomo\Nna niwafundishe wasichana wengine Dialogue: 0,0:02:52.36,0:02:56.28,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu ukipata elimu una ujasiri, Dialogue: 0,0:02:56.28,0:02:59.74,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kujitegemea, kupata kazi Dialogue: 0,0:02:59.74,0:03:02.76,Default,,0000,0000,0000,,na kusaidia familia yako kifedha. Dialogue: 0,0:03:03.74,0:03:07.74,Default,,0000,0000,0000,,Kila mwaka wa ziada wa shule unaweza \Nkuzidisha mapato ya mwanamke kwa hadi 20%. Dialogue: 0,0:03:07.74,0:03:10.81,Default,,0000,0000,0000,,Katika miaka 10 iliyopita, \Nnajivunia kusema tumewapata Dialogue: 0,0:03:10.81,0:03:14.45,Default,,0000,0000,0000,,na kuwarudisha shuleni wasichana 150,000\Nwalioondoka shule Dialogue: 0,0:03:14.45,0:03:18.60,Default,,0000,0000,0000,,ambao sasa wameunganishwa na \Nwanahudhuria shule na kupata mafunzo.