[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.60,0:00:01.75,Default,,0000,0000,0000,,[Mnamo Januari ya mwaka 2020, Dialogue: 0,0:00:01.78,0:00:04.81,Default,,0000,0000,0000,,Christian Happi na Pardis Sabeti waliwasilisha wazo lenye uthubutu] Dialogue: 0,0:00:06.93,0:00:11.24,Default,,0000,0000,0000,,[Sentinel: Mfumo wa ilani ya mapema katika kutambua na kufuatilia mlipuko wa gonjwa lijalo] Dialogue: 0,0:00:13.22,0:00:14.98,Default,,0000,0000,0000,,[Hivi ni namna utavyofanya kazi ...] Dialogue: 0,0:00:16.46,0:00:23.08,Default,,0000,0000,0000,,Christian Happi: Kiashiria ni mfumo wa ilani ya mapema iliyo amilifu katika kukinzana na magonjwa yanayoenea sana. Dialogue: 0,0:00:23.10,0:00:25.50,Default,,0000,0000,0000,,Inajengwa na misingi mikuu mitatu. Dialogue: 0,0:00:25.52,0:00:27.55,Default,,0000,0000,0000,,Pardis Sabeti: Msingi wa kwanza ni Utambuzi. Dialogue: 0,0:00:27.58,0:00:30.56,Default,,0000,0000,0000,,Mimi na Christian tumekuwa tukitafiti pamoja magonjwa ya kuambukizwa Dialogue: 0,0:00:30.58,0:00:32.54,Default,,0000,0000,0000,,duniani kote kwa miongo miwili. Dialogue: 0,0:00:32.57,0:00:34.77,Default,,0000,0000,0000,,Tumekuwa tukitumia mfululizo wa jenomu. Dialogue: 0,0:00:34.80,0:00:37.73,Default,,0000,0000,0000,,Tukizisoma taarifa timilifu za vinasaba vya vijidudu, Dialogue: 0,0:00:37.76,0:00:42.10,Default,,0000,0000,0000,,inatusaidia kutambua virusi, hata vile ambavyo hatujawahi kuviona kabla, Dialogue: 0,0:00:42.12,0:00:43.52,Default,,0000,0000,0000,,kuvifuatilia pale vinaposambaa Dialogue: 0,0:00:43.54,0:00:45.43,Default,,0000,0000,0000,,na kuangazia mabadiliko yake mapya. Dialogue: 0,0:00:45.45,0:00:48.75,Default,,0000,0000,0000,,Na sasa tukiwa na teknolojia yenye uwezo mkubwa wa kuziboresha chembe za urithi(jeni) iitwayo CRISPR, Dialogue: 0,0:00:48.77,0:00:50.94,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kutumia taarifa hizi za kinasaba Dialogue: 0,0:00:50.97,0:00:56.09,Default,,0000,0000,0000,,kutengeneza vipimo vya utambuzi vilivyo sahihi kwa vijidudu aina zote. Dialogue: 0,0:00:56.56,0:00:59.08,Default,,0000,0000,0000,,CH: Moja ya nyenzo hizi zinafahamika kama SHERLOCK. Dialogue: 0,0:00:59.10,0:01:04.47,Default,,0000,0000,0000,,Inaweza kutumika kutambua virusi vinavyotambulika katika vijikaratasi. Dialogue: 0,0:01:04.88,0:01:06.60,Default,,0000,0000,0000,,Ni nafuu mno, Dialogue: 0,0:01:06.62,0:01:09.63,Default,,0000,0000,0000,,na wafanyakazi wa afya walio mstari wa mbele wanaweza tumia SHERLOCK Dialogue: 0,0:01:09.66,0:01:14.23,Default,,0000,0000,0000,,Kutambua virusi vinavyojulikana au vile ambavyo ni tishio Dialogue: 0,0:01:14.25,0:01:15.64,Default,,0000,0000,0000,,ndani ya saa moja. Dialogue: 0,0:01:16.11,0:01:17.69,Default,,0000,0000,0000,,PS: Nyenzo nyingine ni CARMEN. Dialogue: 0,0:01:17.71,0:01:22.04,Default,,0000,0000,0000,,Inahitaji maabara, lakini inaweza kupima mamia ya virusi kwa wakati mmoja. Dialogue: 0,0:01:22.07,0:01:24.78,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo wafanyakazi wa maabara wanaweza pima sampuli za wagonjwa Dialogue: 0,0:01:24.80,0:01:26.30,Default,,0000,0000,0000,,kutambua aina nyingi za virusi Dialogue: 0,0:01:26.33,0:01:27.84,Default,,0000,0000,0000,,ndani ya siku moja. Dialogue: 0,0:01:27.86,0:01:30.56,Default,,0000,0000,0000,,Msingi wetu wa pili ni Ungana. Dialogue: 0,0:01:30.58,0:01:33.02,Default,,0000,0000,0000,,Kumuunganisha kila mmoja na kushirikishana taarifa Dialogue: 0,0:01:33.04,0:01:34.97,Default,,0000,0000,0000,,kote katika jamii ya afya ya umma. Dialogue: 0,0:01:35.75,0:01:37.09,Default,,0000,0000,0000,,Katika magonjwa mengi ya mlipuko, Dialogue: 0,0:01:37.12,0:01:41.56,Default,,0000,0000,0000,,wafanyakazi wa hospitali hushirikishana taarifa kupitia nyaraka za karatasi. Dialogue: 0,0:01:42.12,0:01:44.68,Default,,0000,0000,0000,,Hii hufanya ufatiliaji wa taarifa katika nafasi na nyakati Dialogue: 0,0:01:44.71,0:01:46.04,Default,,0000,0000,0000,,na upatikanaji wa huduma Dialogue: 0,0:01:46.06,0:01:47.50,Default,,0000,0000,0000,,kuwa mgumu sana. Dialogue: 0,0:01:47.88,0:01:50.98,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tunatengeneza mfumo wa kimtandao na programu za simu Dialogue: 0,0:01:51.01,0:01:52.98,Default,,0000,0000,0000,,ambazo zinawaunganisha wafanyakazi wa afya, Dialogue: 0,0:01:53.01,0:01:56.25,Default,,0000,0000,0000,,waliopo zahanati, timu za afya umma -- kila mmoja -- Dialogue: 0,0:01:56.28,0:01:58.46,Default,,0000,0000,0000,,na kuwawezesha kuingiza taarifa, Dialogue: 0,0:01:58.48,0:02:01.22,Default,,0000,0000,0000,,kufanya tathmini, kushirikishana vidokezo Dialogue: 0,0:02:01.24,0:02:03.32,Default,,0000,0000,0000,,na kutengeneza mpango wa kuweza kuchukua hatua Dialogue: 0,0:02:03.34,0:02:04.84,Default,,0000,0000,0000,,katika wakati sahihi. Dialogue: 0,0:02:04.86,0:02:07.89,Default,,0000,0000,0000,,CH: Msingi wetu wa tatu ni Uwezeshaji. Dialogue: 0,0:02:08.46,0:02:11.07,Default,,0000,0000,0000,,Mfumo wa uangalizi wa magonjwa ya mlipuko unaweza fanikiwa Dialogue: 0,0:02:11.10,0:02:15.12,Default,,0000,0000,0000,,kama tutawawezesha wafanyakazi wa afya walio mstari wa mbele Dialogue: 0,0:02:15.14,0:02:16.83,Default,,0000,0000,0000,,kuhudumia jamii. Dialogue: 0,0:02:16.86,0:02:19.04,Default,,0000,0000,0000,,Inahitaji mafunzo mengi sana. Dialogue: 0,0:02:19.06,0:02:21.53,Default,,0000,0000,0000,,Mimi na Pardis tunalitambua hilo. Dialogue: 0,0:02:21.56,0:02:23.42,Default,,0000,0000,0000,,Tumetumia miaka kumi Dialogue: 0,0:02:23.45,0:02:27.41,Default,,0000,0000,0000,,tukiwafunza mamia ya wanasayansi wadogo na wafanyakazi wa zanahati barani Afrika. Dialogue: 0,0:02:27.44,0:02:31.55,Default,,0000,0000,0000,,Katika miaka mitano ijayo, tutaweza kutoa mafunzo kwa wahudumu wa afya wengine takribani 1,000 Dialogue: 0,0:02:31.57,0:02:33.90,Default,,0000,0000,0000,,katika kutumia mfumo wa Kiashiria Dialogue: 0,0:02:33.92,0:02:36.79,Default,,0000,0000,0000,,na kuwawezesha pia kufundisha wafanyakazi wenzao. Dialogue: 0,0:02:36.82,0:02:40.33,Default,,0000,0000,0000,,Namna hii, tutaweza kuboresha mfumo halisi wa afya Dialogue: 0,0:02:40.36,0:02:44.54,Default,,0000,0000,0000,,na kuweza tumia uangalizi wa kina katika masuala ya kitabibu. Dialogue: 0,0:02:45.49,0:02:49.37,Default,,0000,0000,0000,,[Tangu kuwakilisha mpango wao wa Uthubutu katika TED, ulimwengu umebadilika ...] Dialogue: 0,0:02:50.77,0:02:53.29,Default,,0000,0000,0000,,Briar Goldberg: Tupo hapa, tunarekodi hili tukio. Dialogue: 0,0:02:53.32,0:02:55.76,Default,,0000,0000,0000,,Ni tarehe 7 mwezi Aprili, 2020, Dialogue: 0,0:02:55.78,0:03:00.87,Default,,0000,0000,0000,,na kwa uhakika, tupo katika tabu ya hili gonjwa ambalo ni janga la ulimwengu Dialogue: 0,0:03:00.89,0:03:02.65,Default,,0000,0000,0000,,linalosababishwa na virusi vipya vya corona. Dialogue: 0,0:03:02.68,0:03:05.61,Default,,0000,0000,0000,,Nyinyi wawili mmekuwa mkifanya kazi pamoja siku zote, Dialogue: 0,0:03:05.64,0:03:08.45,Default,,0000,0000,0000,,na mlikuwa pamoja kwa juhudi Dialogue: 0,0:03:08.48,0:03:11.35,Default,,0000,0000,0000,,katika janga la Ebola mwaka 2014. Dialogue: 0,0:03:11.38,0:03:13.57,Default,,0000,0000,0000,,Mnalitazamaje hili jambo? Dialogue: 0,0:03:13.60,0:03:16.96,Default,,0000,0000,0000,,CH: Miaka sita baada ya mlipuko wa Ebola, Dialogue: 0,0:03:16.99,0:03:19.08,Default,,0000,0000,0000,,tumekumbana na janga lingine, Dialogue: 0,0:03:19.10,0:03:25.03,Default,,0000,0000,0000,,na tupo katika wakati, ambao kwamba, hatujajifunza mengi kuhusu janga lililopita. Dialogue: 0,0:03:25.05,0:03:27.41,Default,,0000,0000,0000,,Na hivyo, kiukweli, kwangu mimi, inanivunja moyo. Dialogue: 0,0:03:27.44,0:03:34.04,Default,,0000,0000,0000,,PS: Ninadhani janga hili limetuonyesha ni namna gani hatukujiandaa Dialogue: 0,0:03:34.06,0:03:35.23,Default,,0000,0000,0000,,duniani kote. Dialogue: 0,0:03:35.25,0:03:39.98,Default,,0000,0000,0000,,Christian na washirika wetu pamoja tulikuwa na vikagua magonjwa katika hospitali zetu Dialogue: 0,0:03:40.01,0:03:43.24,Default,,0000,0000,0000,,nchini Nigeria, Sierra Leone na Senegal mapema mwezi Februari. Dialogue: 0,0:03:43.27,0:03:48.79,Default,,0000,0000,0000,,Majimbo mengi nchini Marekani hayakuwa navyo mpaka baadaye. Dialogue: 0,0:03:48.81,0:03:51.79,Default,,0000,0000,0000,,Inatueleza kwamba wote tupo pamoja katika hili, Dialogue: 0,0:03:51.82,0:03:53.94,Default,,0000,0000,0000,,na wote tupo nyuma . Dialogue: 0,0:03:53.97,0:03:57.87,Default,,0000,0000,0000,,BG: Hivyo, huu mfumo wa Kiashiria ni mzuri, Dialogue: 0,0:03:57.90,0:04:00.72,Default,,0000,0000,0000,,lakini nafahamu swali ambalo lipo akilini mwa kila mtu: Dialogue: 0,0:04:00.74,0:04:02.77,Default,,0000,0000,0000,,Namna gani huu mfumo unasaidia sasa hivi? Dialogue: 0,0:04:02.79,0:04:06.05,Default,,0000,0000,0000,,PS: Unajua, tumeelezea Kiashiria kama mfumo wa kuondokana na magonjwa yanayoenea sana, Dialogue: 0,0:04:06.07,0:04:07.52,Default,,0000,0000,0000,,na hapa tupo katika moja ya magonjwa hayo. Dialogue: 0,0:04:07.54,0:04:10.33,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kilicho kikubwa ni kwamba, nyenzo zilezile unazohitaji Dialogue: 0,0:04:10.35,0:04:11.51,Default,,0000,0000,0000,,kuondokana na gonjwa linaloenea Dialogue: 0,0:04:11.53,0:04:13.64,Default,,0000,0000,0000,,ni zilezile unazohitaji kuondokana nalo. Dialogue: 0,0:04:13.66,0:04:16.73,Default,,0000,0000,0000,,Na hivyo teknolojia ambazo tumeziainisha -- Dialogue: 0,0:04:16.75,0:04:19.38,Default,,0000,0000,0000,,Vipimo vyote vya awali vya uchaguzi, Dialogue: 0,0:04:19.40,0:04:22.81,Default,,0000,0000,0000,,utambuzi na ufatiliaji wa virusi vinavyobadilika, Dialogue: 0,0:04:22.84,0:04:26.24,Default,,0000,0000,0000,,na utumiaji wa programu za simu -- Dialogue: 0,0:04:26.26,0:04:27.42,Default,,0000,0000,0000,,ni muhimu mno. Dialogue: 0,0:04:27.44,0:04:29.57,Default,,0000,0000,0000,,CH: Kwetu sisi, ni vita. Dialogue: 0,0:04:29.60,0:04:32.94,Default,,0000,0000,0000,,Kimsingi tumejidhatiti katika ratiba ya masaa 24 Dialogue: 0,0:04:32.96,0:04:34.91,Default,,0000,0000,0000,,ili kuweza kutoa majibu, Dialogue: 0,0:04:34.93,0:04:39.12,Default,,0000,0000,0000,,na inatuhitaji sisi kufanya kazi bila kupoteza muda. Dialogue: 0,0:04:39.14,0:04:41.35,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ni nyakati yenye changamoto sana. Dialogue: 0,0:04:41.38,0:04:42.55,Default,,0000,0000,0000,,Tupo mbali na familia. Dialogue: 0,0:04:42.57,0:04:44.95,Default,,0000,0000,0000,,Angalau nina wasaha wa kuiona familia yangu leo, Dialogue: 0,0:04:44.97,0:04:47.93,Default,,0000,0000,0000,,na kisha nina uhakika kesho ninarudi tena kwenye kazi. Dialogue: 0,0:04:47.96,0:04:51.12,Default,,0000,0000,0000,,Katika maabara yangu, tumetengeneza mfululizo wa kwanza wa jenomu ya COVID-19 Dialogue: 0,0:04:51.15,0:04:52.38,Default,,0000,0000,0000,,katika bara la Afrika, Dialogue: 0,0:04:52.41,0:04:54.44,Default,,0000,0000,0000,,na hilo lilifanyika ndani ya masaaa 48. Dialogue: 0,0:04:54.46,0:04:57.53,Default,,0000,0000,0000,,Haya ni mapinduzi yanayotokea Afrika Dialogue: 0,0:04:57.56,0:05:01.11,Default,,0000,0000,0000,,na kisha kufanya taarifa hizi kupatikana katika jamii ya masuala ya afya ulimwenguni Dialogue: 0,0:05:01.13,0:05:03.37,Default,,0000,0000,0000,,ili kuona virusi vya Afrika vinaonekana katika namna gani. Dialogue: 0,0:05:03.40,0:05:06.05,Default,,0000,0000,0000,,Ninaamini kwa kutumia teknolojia na maarifa Dialogue: 0,0:05:06.08,0:05:08.18,Default,,0000,0000,0000,,na kisha kushirikisha taarifa, Dialogue: 0,0:05:08.21,0:05:10.38,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza fanya vizuri na kuweza kulishinda gonjwa. Dialogue: 0,0:05:10.40,0:05:12.52,Default,,0000,0000,0000,,PS: Wazo zima la Sentinel Dialogue: 0,0:05:12.55,0:05:14.70,Default,,0000,0000,0000,,ni katika kusimama wote kwa pamoja kulindana. Dialogue: 0,0:05:14.72,0:05:15.88,Default,,0000,0000,0000,,Wote tunatazama. Dialogue: 0,0:05:15.90,0:05:17.36,Default,,0000,0000,0000,,Kila mmoja wetu ni mlinzi. Dialogue: 0,0:05:17.38,0:05:21.29,Default,,0000,0000,0000,,Kila mmoja wetu, anaweza tambua kipi kinachofanya sisi kuumwa, Dialogue: 0,0:05:21.32,0:05:23.92,Default,,0000,0000,0000,,na kuweza kushirikisha jamii nzima taarifa hizo. Dialogue: 0,0:05:23.94,0:05:26.97,Default,,0000,0000,0000,,Na nadhani hichi ndicho kitu ninachohitaji kiukweli, Dialogue: 0,0:05:26.99,0:05:29.30,Default,,0000,0000,0000,,ni kwa wote kusimama kulindana Dialogue: 0,0:05:29.32,0:05:30.86,Default,,0000,0000,0000,,na kutazamiana pamoja. Dialogue: 0,0:05:31.27,0:05:33.61,Default,,0000,0000,0000,,[Dr. Pardis Sabeti na Dr. Christian Happi] Dialogue: 0,0:05:34.100,0:05:36.15,Default,,0000,0000,0000,,[Wanasayansi wenye ustadi. Dialogue: 0,0:05:36.18,0:05:37.93,Default,,0000,0000,0000,,Washirika wenye moyo. Dialogue: 0,0:05:37.96,0:05:39.65,Default,,0000,0000,0000,,Mashujaa wa ulimwengu.]