0:00:00.602,0:00:01.753 [Mnamo Januari ya mwaka 2020, 0:00:01.777,0:00:04.809 Christian Happi na Pardis Sabeti waliwasilisha wazo lenye uthubutu] 0:00:06.934,0:00:11.242 [Sentinel: Mfumo wa ilani ya mapema katika kutambua na kufuatilia mlipuko wa gonjwa lijalo] 0:00:13.223,0:00:14.984 [Hivi ni namna utavyofanya kazi ...] 0:00:16.455,0:00:23.080 Christian Happi: Kiashiria ni mfumo wa ilani ya mapema iliyo amilifu katika kukinzana na magonjwa yanayoenea sana. 0:00:23.104,0:00:25.500 Inajengwa na misingi mikuu mitatu. 0:00:25.524,0:00:27.552 Pardis Sabeti: Msingi wa kwanza ni Utambuzi. 0:00:27.576,0:00:30.557 Mimi na Christian tumekuwa tukitafiti pamoja magonjwa ya kuambukizwa 0:00:30.581,0:00:32.545 duniani kote kwa miongo miwili. 0:00:32.569,0:00:34.773 Tumekuwa tukitumia mfululizo wa jenomu. 0:00:34.797,0:00:37.734 Tukizisoma taarifa timilifu za vinasaba vya vijidudu, 0:00:37.758,0:00:42.095 inatusaidia kutambua virusi, hata vile ambavyo hatujawahi kuviona kabla, 0:00:42.119,0:00:43.520 kuvifuatilia pale vinaposambaa 0:00:43.544,0:00:45.428 na kuangazia mabadiliko yake mapya. 0:00:45.452,0:00:48.749 Na sasa tukiwa na teknolojia yenye uwezo mkubwa wa kuziboresha chembe za urithi(jeni) iitwayo CRISPR, 0:00:48.773,0:00:50.943 tunaweza kutumia taarifa hizi za kinasaba 0:00:50.967,0:00:56.093 kutengeneza vipimo vya utambuzi vilivyo sahihi kwa vijidudu aina zote. 0:00:56.557,0:00:59.076 CH: Moja ya nyenzo hizi zinafahamika kama SHERLOCK. 0:00:59.100,0:01:04.467 Inaweza kutumika kutambua virusi vinavyotambulika katika vijikaratasi. 0:01:04.885,0:01:06.596 Ni nafuu mno, 0:01:06.620,0:01:09.634 na wafanyakazi wa afya walio mstari wa mbele wanaweza tumia SHERLOCK 0:01:09.658,0:01:14.227 Kutambua virusi vinavyojulikana au vile ambavyo ni tishio 0:01:14.251,0:01:15.641 ndani ya saa moja. 0:01:16.109,0:01:17.689 PS: Nyenzo nyingine ni CARMEN. 0:01:17.713,0:01:22.045 Inahitaji maabara, lakini inaweza kupima mamia ya virusi kwa wakati mmoja. 0:01:22.069,0:01:24.777 Hivyo wafanyakazi wa maabara wanaweza pima sampuli za wagonjwa 0:01:24.801,0:01:26.303 kutambua aina nyingi za virusi 0:01:26.327,0:01:27.841 ndani ya siku moja. 0:01:27.865,0:01:30.556 Msingi wetu wa pili ni Ungana. 0:01:30.580,0:01:33.016 Kumuunganisha kila mmoja na kushirikishana taarifa 0:01:33.040,0:01:34.974 kote katika jamii ya afya ya umma. 0:01:35.752,0:01:37.093 Katika magonjwa mengi ya mlipuko, 0:01:37.117,0:01:41.560 wafanyakazi wa hospitali hushirikishana taarifa kupitia nyaraka za karatasi. 0:01:42.115,0:01:44.683 Hii hufanya ufatiliaji wa taarifa katika nafasi na nyakati 0:01:44.707,0:01:46.037 na upatikanaji wa huduma 0:01:46.061,0:01:47.496 kuwa mgumu sana. 0:01:47.877,0:01:50.982 Hivyo tunatengeneza mfumo wa kimtandao na programu za simu 0:01:51.006,0:01:52.985 ambazo zinawaunganisha wafanyakazi wa afya, 0:01:53.009,0:01:56.253 waliopo zahanati, timu za afya umma -- kila mmoja -- 0:01:56.277,0:01:58.455 na kuwawezesha kuingiza taarifa, 0:01:58.479,0:02:01.215 kufanya tathmini, kushirikishana vidokezo 0:02:01.239,0:02:03.318 na kutengeneza mpango wa kuweza kuchukua hatua 0:02:03.342,0:02:04.840 katika wakati sahihi. 0:02:04.864,0:02:07.887 CH: Msingi wetu wa tatu ni Uwezeshaji. 0:02:08.462,0:02:11.074 Mfumo wa uangalizi wa magonjwa ya mlipuko unaweza fanikiwa 0:02:11.098,0:02:15.119 kama tutawawezesha wafanyakazi wa afya walio mstari wa mbele 0:02:15.143,0:02:16.833 kuhudumia jamii. 0:02:16.857,0:02:19.037 Inahitaji mafunzo mengi sana. 0:02:19.061,0:02:21.531 Mimi na Pardis tunalitambua hilo. 0:02:21.555,0:02:23.422 Tumetumia miaka kumi 0:02:23.446,0:02:27.413 tukiwafunza mamia ya wanasayansi wadogo na wafanyakazi wa zanahati barani Afrika. 0:02:27.437,0:02:31.547 Katika miaka mitano ijayo, tutaweza kutoa mafunzo kwa wahudumu wa afya wengine takribani 1,000 0:02:31.571,0:02:33.897 katika kutumia mfumo wa Kiashiria 0:02:33.921,0:02:36.794 na kuwawezesha pia kufundisha wafanyakazi wenzao. 0:02:36.818,0:02:40.332 Namna hii, tutaweza kuboresha mfumo halisi wa afya 0:02:40.356,0:02:44.538 na kuweza tumia uangalizi wa kina katika masuala ya kitabibu. 0:02:45.488,0:02:49.368 [Tangu kuwakilisha mpango wao wa Uthubutu katika TED, ulimwengu umebadilika ...] 0:02:50.773,0:02:53.292 Briar Goldberg: Tupo hapa, tunarekodi hili tukio. 0:02:53.316,0:02:55.760 Ni tarehe 7 mwezi Aprili, 2020, 0:02:55.784,0:03:00.867 na kwa uhakika, tupo katika tabu ya hili gonjwa ambalo ni janga la ulimwengu 0:03:00.891,0:03:02.653 linalosababishwa na virusi vipya vya corona. 0:03:02.677,0:03:05.611 Nyinyi wawili mmekuwa mkifanya kazi pamoja siku zote, 0:03:05.635,0:03:08.454 na mlikuwa pamoja kwa juhudi 0:03:08.478,0:03:11.353 katika janga la Ebola mwaka 2014. 0:03:11.377,0:03:13.573 Mnalitazamaje hili jambo? 0:03:13.597,0:03:16.964 CH: Miaka sita baada ya mlipuko wa Ebola, 0:03:16.988,0:03:19.076 tumekumbana na janga lingine, 0:03:19.100,0:03:25.028 na tupo katika wakati, ambao kwamba, hatujajifunza mengi kuhusu janga lililopita. 0:03:25.052,0:03:27.413 Na hivyo, kiukweli, kwangu mimi, inanivunja moyo. 0:03:27.437,0:03:34.035 PS: Ninadhani janga hili limetuonyesha ni namna gani hatukujiandaa 0:03:34.059,0:03:35.227 duniani kote. 0:03:35.251,0:03:39.984 Christian na washirika wetu pamoja tulikuwa na vikagua magonjwa katika hospitali zetu 0:03:40.008,0:03:43.245 nchini Nigeria, Sierra Leone na Senegal mapema mwezi Februari. 0:03:43.269,0:03:48.789 Majimbo mengi nchini Marekani hayakuwa navyo mpaka baadaye. 0:03:48.813,0:03:51.792 Inatueleza kwamba wote tupo pamoja katika hili, 0:03:51.816,0:03:53.942 na wote tupo nyuma . 0:03:53.966,0:03:57.874 BG: Hivyo, huu mfumo wa Kiashiria ni mzuri, 0:03:57.898,0:04:00.715 lakini nafahamu swali ambalo lipo akilini mwa kila mtu: 0:04:00.739,0:04:02.767 Namna gani huu mfumo unasaidia sasa hivi? 0:04:02.791,0:04:06.050 PS: Unajua, tumeelezea Kiashiria kama mfumo wa kuondokana na magonjwa yanayoenea sana, 0:04:06.074,0:04:07.520 na hapa tupo katika moja ya magonjwa hayo. 0:04:07.544,0:04:10.328 Lakini kilicho kikubwa ni kwamba, nyenzo zilezile unazohitaji 0:04:10.352,0:04:11.506 kuondokana na gonjwa linaloenea 0:04:11.530,0:04:13.639 ni zilezile unazohitaji kuondokana nalo. 0:04:13.663,0:04:16.728 Na hivyo teknolojia ambazo tumeziainisha -- 0:04:16.752,0:04:19.377 Vipimo vyote vya awali vya uchaguzi, 0:04:19.401,0:04:22.811 utambuzi na ufatiliaji wa virusi vinavyobadilika, 0:04:22.835,0:04:26.235 na utumiaji wa programu za simu -- 0:04:26.259,0:04:27.418 ni muhimu mno. 0:04:27.442,0:04:29.574 CH: Kwetu sisi, ni vita. 0:04:29.598,0:04:32.939 Kimsingi tumejidhatiti katika ratiba ya masaa 24 0:04:32.963,0:04:34.908 ili kuweza kutoa majibu, 0:04:34.932,0:04:39.119 na inatuhitaji sisi kufanya kazi bila kupoteza muda. 0:04:39.143,0:04:41.352 Hivyo ni nyakati yenye changamoto sana. 0:04:41.376,0:04:42.550 Tupo mbali na familia. 0:04:42.574,0:04:44.950 Angalau nina wasaha wa kuiona familia yangu leo, 0:04:44.974,0:04:47.934 na kisha nina uhakika kesho ninarudi tena kwenye kazi. 0:04:47.958,0:04:51.122 Katika maabara yangu, tumetengeneza mfululizo wa kwanza wa jenomu ya COVID-19 0:04:51.146,0:04:52.385 katika bara la Afrika, 0:04:52.409,0:04:54.440 na hilo lilifanyika ndani ya masaaa 48. 0:04:54.464,0:04:57.531 Haya ni mapinduzi yanayotokea Afrika 0:04:57.555,0:05:01.110 na kisha kufanya taarifa hizi kupatikana katika jamii ya masuala ya afya ulimwenguni 0:05:01.134,0:05:03.372 ili kuona virusi vya Afrika vinaonekana katika namna gani. 0:05:03.396,0:05:06.052 Ninaamini kwa kutumia teknolojia na maarifa 0:05:06.076,0:05:08.185 na kisha kushirikisha taarifa, 0:05:08.209,0:05:10.377 tunaweza fanya vizuri na kuweza kulishinda gonjwa. 0:05:10.401,0:05:12.523 PS: Wazo zima la Sentinel 0:05:12.547,0:05:14.695 ni katika kusimama wote kwa pamoja kulindana. 0:05:14.719,0:05:15.875 Wote tunatazama. 0:05:15.899,0:05:17.359 Kila mmoja wetu ni mlinzi. 0:05:17.383,0:05:21.292 Kila mmoja wetu, anaweza tambua kipi kinachofanya sisi kuumwa, 0:05:21.316,0:05:23.917 na kuweza kushirikisha jamii nzima taarifa hizo. 0:05:23.941,0:05:26.966 Na nadhani hichi ndicho kitu ninachohitaji kiukweli, 0:05:26.990,0:05:29.295 ni kwa wote kusimama kulindana 0:05:29.319,0:05:30.855 na kutazamiana pamoja. 0:05:31.269,0:05:33.606 [Dr. Pardis Sabeti na Dr. Christian Happi] 0:05:34.998,0:05:36.153 [Wanasayansi wenye ustadi. 0:05:36.177,0:05:37.933 Washirika wenye moyo. 0:05:37.957,0:05:39.650 Mashujaa wa ulimwengu.]