Firefox - Screenshots
-
0:00 - 0:02Firefox inakuruhusu kupiga, kuhifadhi
-
0:02 - 0:04na kushirikishana screenshots
-
0:04 - 0:07bila kutoka kwenye Firefox
-
0:07 - 0:09Bonyeza na vuta kipande cha kurasa
-
0:09 - 0:10au pitisha kwa juu
-
0:10 - 0:13kujua ni wapi unataka kupiga screenshot
-
0:13 - 0:14Hifadhi screenshots zako kwenye mtandao
-
0:14 - 0:16ili kuwashirikisha watu kirahisi
-
0:16 - 0:18wakati huo URL inajidurufu yenyewe
-
0:18 - 0:19kwenye kifaa chako.
-
0:19 - 0:21Au, unaweza kuzipakua
-
0:21 - 0:22kwenye kompyuta yako.
-
0:23 - 0:25Unaweza kubonyeza "Picha zangu"
-
0:25 - 0:27ili kupata picha ulizochukua.
-
0:27 - 0:29Ni hilo tu,
-
0:29 - 0:31endelea kupiga screenshots
-
0:31 - 0:33(Muziki)
Consolata Faraja edited Swahili subtitles for Firefox - Screenshots |