1 00:00:06,823 --> 00:00:09,326 je umeelewa chochote? 2 00:00:09,326 --> 00:00:10,725 (kicheko) 3 00:00:10,725 --> 00:00:13,318 hao ni takriban watu milioni 63 wasioweza kusikia hapa india 4 00:00:13,318 --> 00:00:17,001 wanao pitia haya kila mwaka siku baada ya nyingine 5 00:00:17,001 --> 00:00:19,896 kujaribu kuleta ufahamu kwa ulimwengu wasiousikia 6 00:00:20,436 --> 00:00:23,207 bila ufahamu na unyanyapaa kaitka jamii 7 00:00:23,207 --> 00:00:25,643 kwa kujaliwa na mtoto asiye na maumbile sawa 8 00:00:26,000 --> 00:00:27,919 wazazi hukimbia hapa na pale 9 00:00:27,919 --> 00:00:30,953 kujaribu kuelewa jinsi ya kumulea mtoto wao 10 00:00:30,953 --> 00:00:33,892 kisha wanapoelezwa hata kama mtoto wako han uwezo wa kusikia 11 00:00:33,892 --> 00:00:36,280 haina tatizo na sauti yake na koromeo 12 00:00:36,280 --> 00:00:38,396 hana shida na ala za kuwezesha sauti 13 00:00:38,396 --> 00:00:41,239 na anaweza fundishwa jinsi ya kuzungumza 14 00:00:41,239 --> 00:00:45,893 kisha unakua mwanzo wa safari ndefu ya miaka kujaribu kumfundisha 15 00:00:45,893 --> 00:00:50,163 huyu mtoto mdogo jinsi ya kuyatamka maneno ambayo hayasikii 16 00:00:50,893 --> 00:00:54,283 hata katika famila anakotoka huyu mtoto 17 00:00:54,283 --> 00:00:56,309 anapowasiliana na wazazi wake 18 00:00:56,309 --> 00:00:59,930 anapotamani kuhusika katika mazungumzo kaitka familia yake 19 00:00:59,930 --> 00:01:03,920 lakini hawezi. na haelewi ni kwa nini kila mmoja hamsikilizi 20 00:01:04,620 --> 00:01:06,732 hivo basi anaonekana kutengwa na kukosa 21 00:01:06,732 --> 00:01:09,923 maswala muhimu yanayo mwezesha kukua vyema 22 00:01:09,923 --> 00:01:14,464 anaenda shuleni akiwa na fikra,"labda mambo yatajakuwa tofauti." 23 00:01:14,464 --> 00:01:17,371 kisha ankutana na waalimu wakifungua vinywa na kufunga 24 00:01:17,371 --> 00:01:19,827 nakuandika maajabu ubaoni 25 00:01:19,827 --> 00:01:22,880 bila kuelewa kwa kuwa hana uwezo wa kusikia, 26 00:01:22,880 --> 00:01:26,997 anayaandika yote chini kisha kuyaweka kwa mtihanai yalivyo, 27 00:01:26,997 --> 00:01:31,474 na kwa hali hii na alama za neema anakamilisha masomo ,hadi kidato. 28 00:01:31,474 --> 00:01:34,704 Je, ananafasi ipi katika ajira? 29 00:01:34,704 --> 00:01:38,230 Hapa huyu mtoto ambaye hana masomo halisi. 30 00:01:38,230 --> 00:01:41,483 maneno ya kujionea,misamiati thelathini hadi arobaini. 31 00:01:41,483 --> 00:01:46,162 Hajihisi salama tena kihisia,na sasa anakerwa na dunia nzima, 32 00:01:46,162 --> 00:01:49,117 amabayo kwa sasa ,anadhani imesababisha kulemazwa kwake. 33 00:01:49,117 --> 00:01:53,283 Afanye ajira ipi? Kazi mza kijungu jiko,kazi zisizo za taaluma, 34 00:01:53,283 --> 00:01:56,172 kila wakati akiwa katika hali inayomkejeli. 35 00:01:56,179 --> 00:02:02,037 Na hapo ndipo safari yangu "ilipozaliwa" mwaka 2004.Sina kama alivyo nena Kelly, 36 00:02:02,037 --> 00:02:04,440 sina yeyote katika familia aliye na ulemavu wa kusikia. 37 00:02:04,440 --> 00:02:07,546 ila kwa hali geni tu na wala sio fikira bayana. 38 00:02:07,546 --> 00:02:09,992 niliingia katika dunia hii na kujifunza lugha ishara 39 00:02:09,992 --> 00:02:13,750 kwa wakati huo,ilikua ni changa moto,hakuna aliyetaka....hakuna aliyefahamu.. 40 00:02:13,750 --> 00:02:17,145 "Ni nini hicho wataka kusoma,Ruma? je hiyo ni lugha? 41 00:02:17,145 --> 00:02:22,285 Haya,kusomea lugha ishara ilifungua maisha mapya katika jamii hii 42 00:02:22,285 --> 00:02:24,905 ambayo ni kimya lakini inangaa 43 00:02:24,905 --> 00:02:28,477 na matamnio na ari ya wanfunzi wa kuona 44 00:02:28,477 --> 00:02:31,141 Na kisha nikasikia hadithi zao kile walichotaka kufanya 45 00:02:31,141 --> 00:02:38,612 Na kisha mwaka uliofuata,wa 2005, na kiasi ya akiba $5,000 46 00:02:38,612 --> 00:02:42,440 ya bima, nilianzisha kituo hiki 47 00:02:42,440 --> 00:02:46,120 kwa vyumba viwili na wanafunzi sita 48 00:02:46,120 --> 00:02:48,844 nami nikawa nawafundisha lugha ya kimombo kwa lugha ishara 49 00:02:49,597 --> 00:02:53,000 changamoto,na kwa wakati huo hitaji likawa 50 00:02:53,000 --> 00:02:56,116 naweza vipi kukutana na hawa watoto waliakamilisha shule ya upili 51 00:02:56,116 --> 00:02:58,360 kwa ajira halisi kwa makampuni? 52 00:02:58,360 --> 00:03:03,119 kazi za heshma.ajira zinazow eza kudhibitisha kua bubu si ujinga. 53 00:03:03,916 --> 00:03:08,393 Naikawa chamgamoto kuu.Na hawa bubu waliishia kuishi hivi miaka mingi. 54 00:03:08,393 --> 00:03:10,629 na miaka ya giza. 55 00:03:10,629 --> 00:03:14,094 Walihitaji wajiamini wenyewe.Wazazi walihitajika kushawishika. 56 00:03:14,094 --> 00:03:16,689 kuwa mtoto huyu si bubu na mjinga 57 00:03:16,689 --> 00:03:19,366 Na anuwezo wa kusimama kivyake kwa miguu yake miwili 58 00:03:19,366 --> 00:03:20,643 Basi cha muhimu zaidi 59 00:03:20,643 --> 00:03:23,519 itawezekana muajiri kuajiri mtu asiyeweza kuzungumza. 60 00:03:23,519 --> 00:03:26,987 kusikia,na hata kusona na kuandika pia 61 00:03:26,987 --> 00:03:30,735 Niliketi pamoja na marafiki kaitka nyanja hii, 62 00:03:30,735 --> 00:03:34,513 na nikawapa hadithi yangu ilivyokua maisha ya kutoweza kusikia. 63 00:03:34,513 --> 00:03:39,189 Na nilifahamu kuna sehemu wazi katika kampuni 64 00:03:39,189 --> 00:03:43,077 ambapo watu walio na ulemavu wakusikia wanaweza kufanya kazi,watu wasio na uwezo wa kisikia kuzidisha thamani. 65 00:03:43,077 --> 00:03:45,862 na kwa raslimali finye tulianzisha ya kwazna ya aina yake 66 00:03:45,862 --> 00:03:49,187 Mwito wa mtaala wa mafundisho ya watu wasio na uwezo wa kusikia nchini. 67 00:03:49,455 --> 00:03:54,240 Kupata waalimu ilikua vigumu.Basi niliwafundisha mwenyewe . 68 00:03:54,240 --> 00:03:56,800 niliwafudisha wanafunzi wangu kuwa waalimu wa watu wasio na uwezo wa kusikia. 69 00:03:56,800 --> 00:04:00,759 Na ni kazi walioichukulia kwa makini na wajibu wa hali ya juu. 70 00:04:00,759 --> 00:04:07,328 Lakini bado mwajiri alikua na wasiwasi.Masomo,na hatima ya kidato cah nne tu. 71 00:04:07,328 --> 00:04:09,053 "La, la, la, Ruma hatuwezi kummpa ajira." 72 00:04:09,053 --> 00:04:10,387 Hiyo ilikua shida kubwa 73 00:04:10,387 --> 00:04:12,492 " Na hata kama tunaweza kumpa ajira 74 00:04:12,492 --> 00:04:14,822 tutawasiliana naye vipi? Hawezi kuandika wala kusoma. 75 00:04:14,822 --> 00:04:16,352 hawezi sikia na kusema" 76 00:04:16,352 --> 00:04:19,880 Nami nikawasihi," tafdhali tuchukue haya hatua kwa wakati? 77 00:04:20,592 --> 00:04:23,086 Tunaweza kuzingatia yale anayoweza kutenda mwnazo? 78 00:04:23,086 --> 00:04:26,231 79 00:04:26,231 --> 00:04:29,950 80 00:04:29,950 --> 00:04:34,826 81 00:04:34,826 --> 00:04:39,132 82 00:04:39,132 --> 00:04:41,242 83 00:04:41,242 --> 00:04:44,756 84 00:04:44,756 --> 00:04:46,799 85 00:04:46,799 --> 00:04:49,791 86 00:04:49,791 --> 00:04:52,163 87 00:04:52,163 --> 00:04:54,471 88 00:04:54,471 --> 00:04:57,796 89 00:04:57,796 --> 00:05:02,830 90 00:05:02,830 --> 00:05:07,054 91 00:05:07,054 --> 00:05:10,704 92 00:05:10,704 --> 00:05:13,567 93 00:05:13,567 --> 00:05:16,416 94 00:05:16,416 --> 00:05:18,383 95 00:05:18,383 --> 00:05:22,777 96 00:05:22,777 --> 00:05:25,551 97 00:05:25,571 --> 00:05:28,498 98 00:05:28,498 --> 00:05:31,997 99 00:05:31,997 --> 00:05:34,880 100 00:05:34,880 --> 00:05:38,102 101 00:05:38,102 --> 00:05:42,284 102 00:05:42,284 --> 00:05:44,182 103 00:05:44,182 --> 00:05:46,371 104 00:05:46,371 --> 00:05:49,579 105 00:05:49,579 --> 00:05:52,637 106 00:05:52,637 --> 00:05:58,105 107 00:05:58,105 --> 00:06:00,785 108 00:06:00,785 --> 00:06:04,191 109 00:06:04,191 --> 00:06:07,600 110 00:06:07,600 --> 00:06:10,087 111 00:06:10,087 --> 00:06:15,465 112 00:06:15,465 --> 00:06:20,198 113 00:06:20,198 --> 00:06:24,379 114 00:06:24,379 --> 00:06:27,560 115 00:06:27,560 --> 00:06:30,531 116 00:06:30,531 --> 00:06:33,894 117 00:06:33,894 --> 00:06:35,676 118 00:06:35,676 --> 00:06:39,728 119 00:06:39,728 --> 00:06:42,053 120 00:06:42,053 --> 00:06:43,768 121 00:06:43,768 --> 00:06:48,174 122 00:06:48,174 --> 00:06:49,444 123 00:06:49,444 --> 00:06:56,138 124 00:07:02,046 --> 00:07:06,374 125 00:07:06,374 --> 00:07:08,144 126 99:59:59,999 --> 99:59:59,999