{muziki wa kizalendo} Ukitaka kuweza kupiga kura Novemba Itabidi umejisajilisha kwanza hakikisha kutumia fungo hili kuona kama umesajiliwa tiyari. Kama bado ama kama ulihama au kubadli jina tangia ulipopiga kura tumia hilo fungo kusajili Kwa wale ambao wana leseni halali ya udereva ya Georgia ingiza nambari ya hiyo leseni kenye fomu mtandaoni Kama hauna leseni ya udereva ya Georgia, utaulizwa uipige chapa na kutia sahihi. na hatimaye kuituma kutumia posta. Najua inaudhi lakini ni muhimu kwa hivyo fanya tu. Makataa ya kusajili ni tarehe 5 Oktoba ukitaka kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Novemba 3 Ukishajisajili unaweza chagua jinsi kadhaa ya kupiga kura. Yeyote aliye Georgia anaweza piga kura kwa njia ya posta al maarufu kama kupiga kura kwa kutokuwa' unachofaa kufanya ni kuyeyusha fomu kutoka kwenye fungo hili lijaze kisha ulitume kwa ofisi ya mrajisi wa bodi ya gatuzi lako. Hii hapa fungo la anwani zote maelezoni Kimsingi, maombi ya kupiga kura kwa kutokuwa yanakubalika Georgia kabla ya OKtoba 30. Pindi unapotuma ombi la kijisajili kama mpiga kura wa kutokuwa utapata kura yako na kuchukua muda mrefu wa kufanya uamuzi mwafaka. na kutuma kupitia posta kabla ya Novemba 3 Pia unaweza piga kura mapema kuanzia Oktoba 12 hadi November 3 Nyakati na maeneo yanatofautiana kutoka gatuzi moja hadi nyingine lakini zote zinakukubalia kupiga kura mapema angalau Jumamosi moja ikiwa kupiga kura mwishoni mwa wiki inakufaa. kuna fungo katika maelezo ambapo unaweza chagua gatuzi lako na itakueleza lini na wapi unaweza piga kura mapema. Ukitaka mbwembwe za kupiga kura binafsi Novemba 3 ingawa unaweza pata pa kupigia kura kutumia fungo uliotumia kujisajili. Vituo vya kupiga kura inafunguliwa saa moja asubuhi hadi saa moja jioni nchini kote. Watakubali leseni ya udereva, kitambulisho cha jimbo, paspoti, kitambulisho cha jeshi au kitambulisho cha kabila Usipokuwa na aina yoyote ya hizo vitambulisho unaweza pata kitambulisho cha kupiga kura cha bure katika ofisi ya mrajisi wa gatuzi lako au DMV Saa ambazo ofisi hizo zimefunguliwa zinaweza tofautiana na pia unahitaji cheti cha kuzaliwa. na thibitisho ya anwani kupata kitambulisho cha kupiga kura cha bure. anza kuishughulikia sasa Ukitaka kuona kila kitu utakacho kipigia kura kuna fungo hapa chini kukuelekeza unapoweza kupata sampuli ya kura ni fungo hilohilo utakalolitumia kujisajili na kuangalia eneo lako la kupiga kura Hii inakupatia nafasi ya kutafiti wagombea katika uchaguzi wako wa mitaa mapema Si lazima upigie kura kila kipengee katika karatasi ya kura kama hautaki. lakini ukitaka kuwa na semi katika kura hizo za maana za mitaa ni muhimu kujua ni nini inaendelea huko kabla ya kuingia katika kibanda cha kupiga kura ukitaka unaweza kupiga moja chapa na kuja nayo kwa eneo la kupiga kura hivyo, unaweza kumbuka unayetaka kumpigia kura Cha mwisho, kama unaenda kupiga kura fungua programu yako ya nakala au karatasi na ufanye mpango andika lini na vipi unaenda kujisajili ni wakati upi utapiga kura na ni vipi utafika huko ni kitambulisho kipi utakitumia na hata kukileta katika kituo cha kupiga kura Kuwa na mpango ni nji mwafaka ya kuhakikisha kuwa hakuna kitu usichokitarajia kitakacho kuzuia kupiga kura Novemba 3 Fungo zote unazohitaji kuangalia usajili wako na vituo vya kupiga kura vitakuwa katika maelezo Asante kwa kupiga kura Jinsi ya kupiga kura katika kila jimbo inaandaliwa na Complexly kwa usirikiano na mradi wa mpiga kura wa The MediaWise inayoongozwa na taasisi ya Polynter na kuungwa mkono na facebook.