Return to Video

Course Introduction

 • 0:00 - 0:02
  Kuanzusha biashara ni ngumu.
 • 0:02 - 0:05
  Kama mwekezaji, huhitaji bidhaa
  nzuri pekee.
 • 0:05 - 0:08
  Lakini pia unahitaji kuhakikisha kuwa
  umepata uwekezaji, tafuta mwanzilishi,
 • 0:08 - 0:11
  ajiri wafanyikazi na ukamilishe kazi
  nyinginezo katika harakati
 • 0:11 - 0:12
  ya kutimiza malengo yako.
 • 0:13 - 0:16
  Lakini kuwa mwekezaji huja na
  wajibu mwingi sana.
 • 0:16 - 0:17
  Kama vile uhuru wa kuwa mkubwa
  wako wewe mwenyewe,
 • 0:17 - 0:20
  na pia nafasi ya kutengeneza athari
  itakayodumu duniani.
 • 0:20 - 0:23
  Katika kosi hii, utapata ushauri wa
  wataalamu kutoka wanaotumia Google,
 • 0:24 - 0:28
  kutoka kwenye waanzilishi wa kampuni,
  kama vile CrunchBase na UpWest Labs,
 • 0:28 - 0:30
  kutoka kwa wanaozidisha kasi ya uwekezaji,
  kama vile NFX Guild
 • 0:30 - 0:33
  na pia kutoka kwa wataalamu wengine
  wa Silicon Valley.
 • 0:33 - 0:36
  Utaalamu huu wote unakuja pamoja
 • 0:36 - 0:38
  ili kukusaidia kuweka malengo yako sawa,
 • 0:38 - 0:39
  kutengeneza timu yako waelewe bidhaa yako,
 • 0:39 - 0:41
  na kupata uwekezaji wa kukusaidia
  kuanzisha biashara yako.
 • 0:42 - 0:45
  Mwisho wa kosi hii, utaweza kuamini
  bidhaa yako na biashara yako.
 • 0:45 - 0:48
  Kutoka hapo utakua katika nafasi njema
  ya kutengeza bidhaa yako zaidi,
 • 0:49 - 0:51
  uache kulegealegea, utapata mwekezaji wa
  kasi
 • 0:51 - 0:53
  ama pia ung'ang'ane kupata mafanikio
  kwa njia yako mwenyewe.
Tytuł:
Course Introduction
Video Language:
English
Team:
Udacity
Projekt:
ud806 - Get Your Startup Started
Duration:
0:53
Samuel Gikaru edited suahili subtitles for Course Introduction

Swahili subtitles

Revisions