0:00:06.823,0:00:09.326 je umeelewa chochote? 0:00:09.326,0:00:10.725 (kicheko) 0:00:10.725,0:00:13.318 hao ni takriban watu milioni 63 wasioweza kusikia hapa india 0:00:13.318,0:00:17.001 wanao pitia haya kila mwaka siku baada ya nyingine 0:00:17.001,0:00:19.896 kujaribu kuleta ufahamu kwa ulimwengu wasiousikia 0:00:20.436,0:00:23.207 bila ufahamu na unyanyapaa kaitka jamii 0:00:23.207,0:00:25.643 kwa kujaliwa na mtoto asiye na maumbile sawa 0:00:26.000,0:00:27.919 wazazi hukimbia hapa na pale 0:00:27.919,0:00:30.953 kujaribu kuelewa jinsi ya kumulea mtoto wao 0:00:30.953,0:00:33.892 kisha wanapoelezwa hata kama mtoto wako han uwezo wa kusikia 0:00:33.892,0:00:36.280 haina tatizo na sauti yake na koromeo 0:00:36.280,0:00:38.396 hana shida na ala za kuwezesha sauti 0:00:38.396,0:00:41.239 na anaweza fundishwa jinsi ya kuzungumza 0:00:41.239,0:00:45.893 kisha unakua mwanzo wa safari ndefu ya miaka kujaribu kumfundisha 0:00:45.893,0:00:50.163 huyu mtoto mdogo jinsi ya kuyatamka maneno ambayo hayasikii 0:00:50.893,0:00:54.283 hata katika famila anakotoka huyu mtoto 0:00:54.283,0:00:56.309 anapowasiliana na wazazi wake 0:00:56.309,0:00:59.930 anapotamani kuhusika katika mazungumzo kaitka familia yake 0:00:59.930,0:01:03.920 lakini hawezi. na haelewi ni kwa nini kila mmoja hamsikilizi 0:01:04.620,0:01:06.732 hivo basi anaonekana kutengwa na kukosa 0:01:06.732,0:01:09.923 maswala muhimu yanayo mwezesha kukua vyema 0:01:09.923,0:01:14.464 anaenda shuleni akiwa na fikra,"labda mambo yatajakuwa tofauti." 0:01:14.464,0:01:17.371 kisha ankutana na waalimu wakifungua vinywa na kufunga 0:01:17.371,0:01:19.827 nakuandika maajabu ubaoni 0:01:19.827,0:01:22.880 bila kuelewa kwa kuwa hana uwezo wa kusikia, 0:01:22.880,0:01:26.997 anayaandika yote chini kisha kuyaweka kwa mtihanai yalivyo, 0:01:26.997,0:01:31.474 na kwa hali hii na alama za neema anakamilisha masomo ,hadi kidato. 0:01:31.474,0:01:34.704 Je, ananafasi ipi katika ajira? 0:01:34.704,0:01:38.230 Hapa huyu mtoto ambaye hana masomo halisi. 0:01:38.230,0:01:41.483 maneno ya kujionea,misamiati thelathini hadi arobaini. 0:01:41.483,0:01:46.162 Hajihisi salama tena kihisia,na sasa anakerwa na dunia nzima, 0:01:46.162,0:01:49.117 amabayo kwa sasa ,anadhani imesababisha kulemazwa kwake. 0:01:49.117,0:01:53.283 Afanye ajira ipi? Kazi mza kijungu jiko,kazi zisizo za taaluma, 0:01:53.283,0:01:56.172 kila wakati akiwa katika hali inayomkejeli. 0:01:56.179,0:02:02.037 Na hapo ndipo safari yangu "ilipozaliwa" mwaka 2004.Sina kama alivyo nena Kelly, 0:02:02.037,0:02:04.440 sina yeyote katika familia aliye na ulemavu wa kusikia. 0:02:04.440,0:02:07.546 ila kwa hali geni tu na wala sio fikira bayana. 0:02:07.546,0:02:09.992 niliingia katika dunia hii na kujifunza lugha ishara 0:02:09.992,0:02:13.750 kwa wakati huo,ilikua ni changa moto,hakuna aliyetaka....hakuna aliyefahamu.. 0:02:13.750,0:02:17.145 "Ni nini hicho wataka kusoma,Ruma? je hiyo ni lugha? 0:02:17.145,0:02:22.285 Haya,kusomea lugha ishara ilifungua maisha mapya katika jamii hii 0:02:22.285,0:02:24.905 ambayo ni kimya lakini inangaa 0:02:24.905,0:02:28.477 na matamnio na ari ya wanfunzi wa kuona 0:02:28.477,0:02:31.141 Na kisha nikasikia hadithi zao kile walichotaka kufanya 0:02:31.141,0:02:38.612 Na kisha mwaka uliofuata,wa 2005, na kiasi ya akiba $5,000 0:02:38.612,0:02:42.440 ya bima, nilianzisha kituo hiki 0:02:42.440,0:02:46.120 kwa vyumba viwili na wanafunzi sita 0:02:46.120,0:02:48.844 nami nikawa nawafundisha lugha ya kimombo kwa lugha ishara 0:02:49.597,0:02:53.000 changamoto,na kwa wakati huo hitaji likawa 0:02:53.000,0:02:56.116 naweza vipi kukutana na hawa watoto waliakamilisha shule ya upili 0:02:56.116,0:02:58.360 kwa ajira halisi kwa makampuni? 0:02:58.360,0:03:03.119 kazi za heshma.ajira zinazow eza kudhibitisha kua bubu si ujinga. 0:03:03.916,0:03:08.393 Naikawa chamgamoto kuu.Na hawa bubu waliishia kuishi hivi miaka mingi. 0:03:08.393,0:03:10.629 na miaka ya giza. 0:03:10.629,0:03:14.094 Walihitaji wajiamini wenyewe.Wazazi walihitajika kushawishika. 0:03:14.094,0:03:16.689 kuwa mtoto huyu si bubu na mjinga 0:03:16.689,0:03:19.366 Na anuwezo wa kusimama kivyake kwa miguu yake miwili 0:03:19.366,0:03:20.643 Basi cha muhimu zaidi 0:03:20.643,0:03:23.519 itawezekana muajiri kuajiri mtu asiyeweza kuzungumza. 0:03:23.519,0:03:26.987 kusikia,na hata kusona na kuandika pia 0:03:26.987,0:03:30.735 Niliketi pamoja na marafiki kaitka nyanja hii, 0:03:30.735,0:03:34.513 na nikawapa hadithi yangu ilivyokua maisha ya kutoweza kusikia. 0:03:34.513,0:03:39.189 Na nilifahamu kuna sehemu wazi katika kampuni 0:03:39.189,0:03:43.077 ambapo watu walio na ulemavu wakusikia wanaweza kufanya kazi,watu wasio na uwezo wa kisikia kuzidisha thamani. 0:03:43.077,0:03:45.862 na kwa raslimali finye tulianzisha ya kwazna ya aina yake 0:03:45.862,0:03:49.187 Mwito wa mtaala wa mafundisho ya watu wasio na uwezo wa kusikia nchini. 0:03:49.455,0:03:54.240 Kupata waalimu ilikua vigumu.Basi niliwafundisha mwenyewe . 0:03:54.240,0:03:56.800 niliwafudisha wanafunzi wangu kuwa waalimu wa watu wasio na uwezo wa kusikia. 0:03:56.800,0:04:00.759 Na ni kazi walioichukulia kwa makini na wajibu wa hali ya juu. 0:04:00.759,0:04:07.328 Lakini bado mwajiri alikua na wasiwasi.Masomo,na hatima ya kidato cah nne tu. 0:04:07.328,0:04:09.053 "La, la, la, Ruma hatuwezi kummpa ajira." 0:04:09.053,0:04:10.387 Hiyo ilikua shida kubwa 0:04:10.387,0:04:12.492 " Na hata kama tunaweza kumpa ajira 0:04:12.492,0:04:14.822 tutawasiliana naye vipi? Hawezi kuandika wala kusoma. 0:04:14.822,0:04:16.352 hawezi sikia na kusema" 0:04:16.352,0:04:19.880 Nami nikawasihi," tafdhali tuchukue haya hatua kwa wakati? 0:04:20.592,0:04:23.086 Tunaweza kuzingatia yale anayoweza kutenda mwnazo? 0:04:23.086,0:04:26.231 0:04:26.231,0:04:29.950 0:04:29.950,0:04:34.826 0:04:34.826,0:04:39.132 0:04:39.132,0:04:41.242 0:04:41.242,0:04:44.756 0:04:44.756,0:04:46.799 0:04:46.799,0:04:49.791 0:04:49.791,0:04:52.163 0:04:52.163,0:04:54.471 0:04:54.471,0:04:57.796 0:04:57.796,0:05:02.830 0:05:02.830,0:05:07.054 0:05:07.054,0:05:10.704 0:05:10.704,0:05:13.567 0:05:13.567,0:05:16.416 0:05:16.416,0:05:18.383 0:05:18.383,0:05:22.777 0:05:22.777,0:05:25.551 0:05:25.571,0:05:28.498 0:05:28.498,0:05:31.997 0:05:31.997,0:05:34.880 0:05:34.880,0:05:38.102 0:05:38.102,0:05:42.284 0:05:42.284,0:05:44.182 0:05:44.182,0:05:46.371 0:05:46.371,0:05:49.579 0:05:49.579,0:05:52.637 0:05:52.637,0:05:58.105 0:05:58.105,0:06:00.785 0:06:00.785,0:06:04.191 0:06:04.191,0:06:07.600 0:06:07.600,0:06:10.087 0:06:10.087,0:06:15.465 0:06:15.465,0:06:20.198 0:06:20.198,0:06:24.379 0:06:24.379,0:06:27.560 0:06:27.560,0:06:30.531 0:06:30.531,0:06:33.894 0:06:33.894,0:06:35.676 0:06:35.676,0:06:39.728 0:06:39.728,0:06:42.053 0:06:42.053,0:06:43.768 0:06:43.768,0:06:48.174 0:06:48.174,0:06:49.444 0:06:49.444,0:06:56.138 0:07:02.046,0:07:06.374 0:07:06.374,0:07:08.144 9:59:59.000,9:59:59.000