[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:02.75,0:00:06.01,Default,,0000,0000,0000,,Saida Aden Said: Bado nina taswira hii\Nmbaya katika kumbukumbu zangu. Dialogue: 0,0:00:06.03,0:00:08.32,Default,,0000,0000,0000,,ningeweza ona watu wakianguka chini, Dialogue: 0,0:00:08.35,0:00:09.51,Default,,0000,0000,0000,,milio ya risasi. Dialogue: 0,0:00:09.53,0:00:10.86,Default,,0000,0000,0000,,Niliogopa sana. Dialogue: 0,0:00:10.89,0:00:13.10,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kweli, nililia sana. Dialogue: 0,0:00:13.12,0:00:16.46,Default,,0000,0000,0000,,Mtu aliyewajua baba na mama yangu\Nakanishika mkono, akisema, Dialogue: 0,0:00:16.48,0:00:18.44,Default,,0000,0000,0000,,"Twenda! Twende! Twende!" Dialogue: 0,0:00:18.47,0:00:21.32,Default,,0000,0000,0000,,Nikawa nasema," Mamangu yuwapi?\NMama yangu? Mama yangu?" Dialogue: 0,0:00:22.24,0:00:25.34,Default,,0000,0000,0000,,Noria Dambrine Dusabireme:\NUsiku tungesikia milio ya risasi, Dialogue: 0,0:00:25.36,0:00:26.56,Default,,0000,0000,0000,,tulisikia bunduki, Dialogue: 0,0:00:26.58,0:00:28.28,Default,,0000,0000,0000,,Uchaguzi ulitakiwa kufanyika. Dialogue: 0,0:00:28.30,0:00:30.85,Default,,0000,0000,0000,,Vijana walienda barabarani, Dialogue: 0,0:00:30.87,0:00:32.70,Default,,0000,0000,0000,,walikuwa na migomo. Dialogue: 0,0:00:32.72,0:00:34.74,Default,,0000,0000,0000,,Na vijana wengi walifariki Dialogue: 0,0:00:35.63,0:00:37.43,Default,,0000,0000,0000,,SAS: Tulipanda gari. Dialogue: 0,0:00:37.45,0:00:38.65,Default,,0000,0000,0000,,Lilikuwa limejaa sana Dialogue: 0,0:00:38.68,0:00:41.18,Default,,0000,0000,0000,,Watu walikimbia kunusuru maisha yao, Dialogue: 0,0:00:41.20,0:00:43.66,Default,,0000,0000,0000,,Hivi ndivyo nilivyochipuruka Somalia. Dialogue: 0,0:00:44.22,0:00:45.68,Default,,0000,0000,0000,,Mama yangu alinimisi sana. Dialogue: 0,0:00:45.71,0:00:47.78,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna yeyote aliyemweleza nilikokwenda. Dialogue: 0,0:00:48.52,0:00:50.55,Default,,0000,0000,0000,,NDD:Ukweli ni kwamba, \Nhatukusoma, Dialogue: 0,0:00:50.58,0:00:53.31,Default,,0000,0000,0000,,Hatukuweza kwenda sokoni,\Ntulibaki nyumbani tu Dialogue: 0,0:00:53.33,0:00:57.94,Default,,0000,0000,0000,,ikanifanya nijue kuwa ningepata \Nnafasi ya kuchagua kitu kizuri, Dialogue: 0,0:00:57.96,0:01:00.86,Default,,0000,0000,0000,,ningeweza kukichagua na kuwa na\Nmaisha bora mbeleni. Dialogue: 0,0:01:01.45,0:01:02.54,Default,,0000,0000,0000,,(Muziki) Dialogue: 0,0:01:02.56,0:01:05.27,Default,,0000,0000,0000,,Ignazio Matteini: Duniani, \Nidadi wa watu walio uhamishoni Dialogue: 0,0:01:05.30,0:01:06.45,Default,,0000,0000,0000,,imekuwa ikiongezeka Dialogue: 0,0:01:06.48,0:01:10.41,Default,,0000,0000,0000,,Sasa takriban watu Millioni 60\Nwako uhamishoni duniani Dialogue: 0,0:01:10.44,0:01:12.79,Default,,0000,0000,0000,,Na kwa bahati mbaya, haipungui. Dialogue: 0,0:01:13.41,0:01:15.98,Default,,0000,0000,0000,,Chrystina Russell:Nafikiri jamii \Nya misaada kibinadamu Dialogue: 0,0:01:16.01,0:01:18.27,Default,,0000,0000,0000,,inaanza kugundua kutokana na \Nutafiti na uhakika Dialogue: 0,0:01:18.30,0:01:20.98,Default,,0000,0000,0000,,tunaongelea tatizo la kudumu zaidi Dialogue: 0,0:01:21.00,0:01:24.39,Default,,0000,0000,0000,,Baylie Damtie Yeshita: Wanafunzi hawa,\Nwanahitaji elimu ya juu, Dialogue: 0,0:01:24.41,0:01:26.90,Default,,0000,0000,0000,,shahada wanayoweza kuitumia. Dialogue: 0,0:01:26.92,0:01:29.27,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa wanafunzi wanaishi Rwanda sasa, Dialogue: 0,0:01:29.29,0:01:32.58,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa watahama,\Nbado wataendelea na masomo yao. Dialogue: 0,0:01:32.60,0:01:36.81,Default,,0000,0000,0000,,Bado, shahada yao itakuwa na maana,\Nkokote wako Dialogue: 0,0:01:37.78,0:01:40.54,Default,,0000,0000,0000,,CR: Mradi wetu wa kijasiri\Nulikuwa ni kwa ajili ya kupima Dialogue: 0,0:01:40.56,0:01:43.66,Default,,0000,0000,0000,,Vuguvugu la Elimu Ulimwenguni la Chuo cha\NNew Hampshire ya Kusini Dialogue: 0,0:01:43.69,0:01:45.72,Default,,0000,0000,0000,,uwezo wa kukuza Dialogue: 0,0:01:45.74,0:01:48.98,Default,,0000,0000,0000,,shahada za kwanza na \Nmifumo ya kupata ajira Dialogue: 0,0:01:49.00,0:01:53.58,Default,,0000,0000,0000,,kufikia wahamiaji na wale ambao \Nwasingeweza kufikia elimu ya juu Dialogue: 0,0:01:54.40,0:01:57.54,Default,,0000,0000,0000,,SAS: Kama mhamiaji,\Nni changamani Dialogue: 0,0:01:57.57,0:02:01.33,Default,,0000,0000,0000,,kujiendeleza kielimu\Nna kitaaluma. Dialogue: 0,0:02:01.35,0:02:03.23,Default,,0000,0000,0000,,Jina langu ni Saida Aden Said, Dialogue: 0,0:02:03.26,0:02:05.82,Default,,0000,0000,0000,,Na ninatokea Somalia, Dialogue: 0,0:02:05.85,0:02:08.55,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa na miaka tisa, \Nnilipokuja Kakuma, Dialogue: 0,0:02:08.57,0:02:11.64,Default,,0000,0000,0000,,na nikaanza shule nikiwa na miaka 17 Dialogue: 0,0:02:11.66,0:02:14.51,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sasa nafanya shahada yangu ya kwanza Dialogue: 0,0:02:14.53,0:02:16.36,Default,,0000,0000,0000,,na SNHU. Dialogue: 0,0:02:17.90,0:02:21.16,Default,,0000,0000,0000,,NDD: My name is Noria Dambrine Dusabireme. Dialogue: 0,0:02:21.19,0:02:25.58,Default,,0000,0000,0000,,Ninasomea shahada ya kwanza ya sanaa \Nkatika mawasiliano Dialogue: 0,0:02:25.61,0:02:27.97,Default,,0000,0000,0000,,nikijikita katika masuala ya biashara. Dialogue: 0,0:02:27.100,0:02:31.69,Default,,0000,0000,0000,,CR:Tunahudumia wanafunzi kutoka\Nnchi tano tofauti: Dialogue: 0,0:02:31.72,0:02:36.02,Default,,0000,0000,0000,,Lebanon, Kenya, Malawi,\NRwanda na Afrika ya Kusini. Dialogue: 0,0:02:36.04,0:02:41.62,Default,,0000,0000,0000,,Tunafurahia wahitimu wa kiwango cha AA\N800 na zaidi ya 400 wa shahada ya kwanza Dialogue: 0,0:02:41.64,0:02:45.05,Default,,0000,0000,0000,,na karibu wanafunzi 1000 \Nwalioandikisha kwa sasa. Dialogue: 0,0:02:47.39,0:02:52.56,Default,,0000,0000,0000,,la ajabu, tunaangazia maisha ya \Nwakimbizi kama yalivyo. Dialogue: 0,0:02:52.59,0:02:54.00,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna ubaguzi kitabaka Dialogue: 0,0:02:54.03,0:02:55.74,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna mihadhara. Dialogue: 0,0:02:55.76,0:02:57.24,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna tarehe za mwisho Dialogue: 0,0:02:57.26,0:02:58.98,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna mitihani ya mwisho. Dialogue: 0,0:02:59.57,0:03:03.50,Default,,0000,0000,0000,,shahada hili linapima uwezo \Nna haujafungwa na muda. Dialogue: 0,0:03:03.53,0:03:05.93,Default,,0000,0000,0000,,Unachagua muda wa kuanza mradi wako. Dialogue: 0,0:03:05.95,0:03:08.48,Default,,0000,0000,0000,,Unachagua utakavyoikabili Dialogue: 0,0:03:08.50,0:03:11.98,Default,,0000,0000,0000,,NDD:Unapofungua jukwaa,\Nndipo unapoweza kuona malengo. Dialogue: 0,0:03:12.00,0:03:15.25,Default,,0000,0000,0000,,Kwenye kila lengo, tunaweza kupata miradi. Dialogue: 0,0:03:15.28,0:03:18.36,Default,,0000,0000,0000,,Unapofungua mradi,\Nunakutana na uweza Dialogue: 0,0:03:18.38,0:03:20.24,Default,,0000,0000,0000,,ambao unatakiwa kumudu, Dialogue: 0,0:03:20.26,0:03:21.58,Default,,0000,0000,0000,,uelekeo Dialogue: 0,0:03:21.61,0:03:23.19,Default,,0000,0000,0000,,na muhtasari wa mradi, Dialogue: 0,0:03:23.75,0:03:25.95,Default,,0000,0000,0000,,CR: Kiungo muhimu cha SNHU Dialogue: 0,0:03:25.98,0:03:30.20,Default,,0000,0000,0000,,ni kujumuisha usomaji kwa kuangalia\Nuwezo Dialogue: 0,0:03:30.22,0:03:33.38,Default,,0000,0000,0000,,pamoja na usomaji wa pamoja na washirika Dialogue: 0,0:03:33.40,0:03:35.79,Default,,0000,0000,0000,,ili kuwa na msaada pande zote Dialogue: 0,0:03:35.82,0:03:38.12,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni pamoja na ufundishaji kitaaluma. Dialogue: 0,0:03:38.15,0:03:39.97,Default,,0000,0000,0000,,Inamaanisha msaada saikolojia-jamii, Dialogue: 0,0:03:39.99,0:03:41.59,Default,,0000,0000,0000,,msaada wa kimatibabu, Dialogue: 0,0:03:41.61,0:03:44.63,Default,,0000,0000,0000,,na pia ni ule msaada wa mlango \Nwa nyuma wa ajira Dialogue: 0,0:03:44.65,0:03:48.14,Default,,0000,0000,0000,,ndiyo inasababisha \Nhitimu kwa asilimia 95, Dialogue: 0,0:03:48.16,0:03:50.26,Default,,0000,0000,0000,,na asilimia 88 kuajiriwa, Dialogue: 0,0:03:50.28,0:03:53.21,Default,,0000,0000,0000,,NDD: mimi mzoezi wa \Nvitendo ya kuratibu mitandao ya kijamii. Dialogue: 0,0:03:53.24,0:03:56.94,Default,,0000,0000,0000,,Inahusiana na shahada ya \Nmawasiliano ninayoifanya. Dialogue: 0,0:03:56.96,0:04:02.23,Default,,0000,0000,0000,,Nimejifunza mambo mengi\Nkatika mradi huu na dunia halisi. Dialogue: 0,0:04:02.25,0:04:04.83,Default,,0000,0000,0000,,CR: Mazoezi ya vitendo yanayoongozwa\Nni nafasi Dialogue: 0,0:04:04.86,0:04:07.12,Default,,0000,0000,0000,,kwa wanafunzi kufanyia mazoezi ujuzi wao Dialogue: 0,0:04:07.14,0:04:10.49,Default,,0000,0000,0000,,kwa sisi kutengeneza daraja katika\Nmazoezi kwa vitendo Dialogue: 0,0:04:10.52,0:04:13.04,Default,,0000,0000,0000,,na upatikanaji wa nafasi za kazi baadae. Dialogue: 0,0:04:13.70,0:04:15.69,Default,,0000,0000,0000,,(Muziki) Dialogue: 0,0:04:16.11,0:04:20.09,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni modeli ambayo inazuia\Nkuweka muda Dialogue: 0,0:04:20.12,0:04:22.79,Default,,0000,0000,0000,,na sera za chuo kikuu\Nna utaratibu kipao mbele Dialogue: 0,0:04:22.82,0:04:25.35,Default,,0000,0000,0000,,na badala yake unamweka mwanafunzi \Nkileleni Dialogue: 0,0:04:26.16,0:04:30.73,Default,,0000,0000,0000,,IM: Modeli ya SNHU ni njia kubwa ya \Nkutikisa mti. Dialogue: 0,0:04:31.77,0:04:32.92,Default,,0000,0000,0000,,Kubwa Dialogue: 0,0:04:32.95,0:04:37.90,Default,,0000,0000,0000,,ni mtikisiko mkubwa kwenye njia ya \Nasili ya elimu ya juu hapa Dialogue: 0,0:04:39.61,0:04:43.52,Default,,0000,0000,0000,,BDY:inaweza badilisha maisha\Nya wanafunzi Dialogue: 0,0:04:43.55,0:04:46.54,Default,,0000,0000,0000,,kutoka katika hali ya mashaka na\Nukimbizi Dialogue: 0,0:04:46.57,0:04:48.01,Default,,0000,0000,0000,,NDD: nikipata shahada Dialogue: 0,0:04:48.03,0:04:51.54,Default,,0000,0000,0000,,naweza rudi na kufanya\Nkazi popote nitakapo Dialogue: 0,0:04:51.56,0:04:55.06,Default,,0000,0000,0000,,Ninaweza kufanya shahada ya pili \Nkwa ujasiri katika Kiingereza, Dialogue: 0,0:04:55.08,0:04:58.38,Default,,0000,0000,0000,,kitu nisingewazia\Nhapo awali Dialogue: 0,0:04:58.41,0:05:01.80,Default,,0000,0000,0000,,Na nina ujasiri na ujuzi unaohitajika Dialogue: 0,0:05:01.82,0:05:05.36,Default,,0000,0000,0000,,kwenda na kupambana katika\Nmazingira ya kazi Dialogue: 0,0:05:05.38,0:05:09.24,Default,,0000,0000,0000,,bila kujali kuwa nitaweza. Dialogue: 0,0:05:09.26,0:05:11.78,Default,,0000,0000,0000,,SAS: Nilitaka kufanya kazi na jamii. Dialogue: 0,0:05:11.80,0:05:14.42,Default,,0000,0000,0000,,Nataka kuanzisha shirika isiyo ya faida Dialogue: 0,0:05:14.44,0:05:17.72,Default,,0000,0000,0000,,Tunahimiza elimu ya wanawake. Dialogue: 0,0:05:17.75,0:05:21.23,Default,,0000,0000,0000,,Ninataka kuwa mtu ambaye \Nni kama balozi Dialogue: 0,0:05:21.25,0:05:23.97,Default,,0000,0000,0000,,na kuwashawishi kusoma Dialogue: 0,0:05:23.99,0:05:27.09,Default,,0000,0000,0000,,na kuwaambia hawajachelewa. Dialogue: 0,0:05:28.21,0:05:29.78,Default,,0000,0000,0000,,Ni ndoto