WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:01.977 {muziki wa kizalendo} 00:00:03.243 --> 00:00:06.261 Ukitaka kuweza kupiga kura Novemba 00:00:06.261 --> 00:00:08.071 Itabidi umejisajilisha kwanza 00:00:08.071 --> 00:00:09.737 hakikisha kutumia fungo hili 00:00:09.737 --> 00:00:12.021 kuona kama umesajiliwa tiyari. Kama bado 00:00:12.021 --> 00:00:14.806 ama kama ulihama au kubadli jina tangia 00:00:14.806 --> 00:00:18.338 ulipopiga kura tumia hilo fungo kusajili 00:00:18.338 --> 00:00:21.103 Kwa wale ambao wana leseni halali ya udereva ya Georgia 00:00:21.103 --> 00:00:23.709 ingiza nambari ya hiyo leseni kenye fomu mtandaoni 00:00:23.709 --> 00:00:27.364 Kama hauna leseni ya udereva ya Georgia, utaulizwa uipige chapa na kutia sahihi. 00:00:27.364 --> 00:00:29.006 na hatimaye kuituma kutumia posta. 00:00:29.006 --> 00:00:31.597 Najua inaudhi lakini ni muhimu kwa hivyo fanya tu. 00:00:31.597 --> 00:00:33.451 Makataa ya kusajili ni tarehe 5 Oktoba NOTE Paragraph 00:00:33.451 --> 00:00:36.248 ukitaka kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Novemba 3 00:00:36.248 --> 00:00:39.112 Ukishajisajili unaweza chagua jinsi kadhaa 00:00:39.112 --> 00:00:41.716 ya kupiga kura. Yeyote aliye Georgia anaweza piga kura kwa njia ya posta 00:00:41.716 --> 00:00:44.046 al maarufu kama kupiga kura kwa kutokuwa' 00:00:44.046 --> 00:00:46.774 unachofaa kufanya ni kuyeyusha fomu kutoka kwenye fungo hili 00:00:46.774 --> 00:00:49.803 lijaze kisha ulitume kwa ofisi ya mrajisi wa bodi ya gatuzi lako. 00:00:49.803 --> 00:00:52.384 Hii hapa fungo la anwani zote maelezoni 00:00:52.384 --> 00:00:54.069 Kimsingi, maombi ya kupiga kura kwa kutokuwa yanakubalika Georgia kabla ya OKtoba 30. 00:00:54.069 --> 00:00:57.143 Pindi unapotuma ombi la kijisajili kama mpiga kura wa kutokuwa utapata 00:00:57.143 --> 00:01:00.927 kura yako na kuchukua muda mrefu wa kufanya uamuzi mwafaka. 00:01:00.927 --> 00:01:02.654 na kutuma kupitia posta kabla ya Novemba 3 00:01:03.522 --> 00:01:05.641 Pia unaweza piga kura mapema kuanzia Oktoba 12 hadi November 3 00:01:08.174 --> 00:01:09.431 Nyakati na maeneo yanatofautiana kutoka gatuzi moja hadi nyingine lakini zote zinakukubalia 00:01:09.431 --> 00:01:13.126 kupiga kura mapema angalau Jumamosi moja ikiwa kupiga kura mwishoni mwa wiki inakufaa. 00:01:13.126 --> 00:01:16.553 kuna fungo katika maelezo ambapo unaweza chagua gatuzi lako 00:01:16.553 --> 00:01:19.263 na itakueleza lini na wapi unaweza piga kura mapema. NOTE Paragraph 00:01:19.263 --> 00:01:22.703 Ukitaka mbwembwe za kupiga kura binafsi Novemba 3 NOTE Paragraph 00:01:22.703 --> 00:01:26.683 ingawa unaweza pata pa kupigia kura kutumia fungo uliotumia kujisajili. 00:01:26.683 --> 00:01:30.256 Vituo vya kupiga kura inafunguliwa saa moja asubuhi hadi saa moja jioni nchini kote. 00:01:30.256 --> 00:01:34.009 Watakubali leseni ya udereva, kitambulisho cha jimbo, paspoti, kitambulisho cha jeshi au kitambulisho cha kabila 00:01:34.009 --> 00:01:36.558 Usipokuwa na aina yoyote ya hizo vitambulisho 00:01:37.703 --> 00:01:40.179 unaweza pata kitambulisho cha kupiga kura cha bure katika ofisi ya mrajisi wa gatuzi lako au DMV 00:01:40.179 --> 00:01:44.349 Saa ambazo ofisi hizo zimefunguliwa zinaweza tofautiana na pia unahitaji cheti cha kuzaliwa. 00:01:44.349 --> 00:01:46.604 na thibitisho ya anwani kupata kitambulisho cha kupiga kura cha bure. 00:01:46.604 --> 00:01:47.501 anza kuishughulikia sasa 00:01:47.501 --> 00:01:49.961 Ukitaka kuona kila kitu utakacho kipigia kura 00:01:49.961 --> 00:01:52.391 kuna fungo hapa chini kukuelekeza unapoweza kupata sampuli ya kura 00:01:52.391 --> 00:01:54.731 ni fungo hilohilo utakalolitumia kujisajili na kuangalia eneo lako la kupiga kura 00:01:54.731 --> 00:01:56.913 Hii inakupatia nafasi ya kutafiti wagombea 00:01:56.913 --> 00:01:58.601 katika uchaguzi wako wa mitaa mapema 00:01:58.601 --> 00:02:01.711 Si lazima upigie kura kila kipengee katika karatasi ya kura kama hautaki. 00:02:01.711 --> 00:02:04.773 lakini ukitaka kuwa na semi katika kura hizo za maana za mitaa 00:02:04.773 --> 00:02:07.267 ni muhimu kujua ni nini inaendelea huko 00:02:07.267 --> 00:02:09.007 kabla ya kuingia katika kibanda cha kupiga kura 00:02:09.007 --> 00:02:12.027 ukitaka unaweza kupiga moja chapa na kuja nayo kwa eneo la kupiga kura 00:02:12.027 --> 00:02:14.010 hivyo, unaweza kumbuka unayetaka kumpigia kura 00:02:14.010 --> 00:02:15.830 Cha mwisho, kama unaenda kupiga kura 00:02:15.830 --> 00:02:18.555 fungua programu yako ya nakala au karatasi na ufanye mpango 00:02:18.555 --> 00:02:20.552 andika lini na vipi unaenda kujisajili 00:02:20.552 --> 00:02:23.100 ni wakati upi utapiga kura na ni vipi utafika huko 00:02:23.100 --> 00:02:24.530 ni kitambulisho kipi utakitumia 00:02:24.530 --> 00:02:26.649 na hata kukileta katika kituo cha kupiga kura 00:02:26.649 --> 00:02:28.589 Kuwa na mpango ni nji mwafaka ya kuhakikisha 00:02:28.589 --> 00:02:31.239 kuwa hakuna kitu usichokitarajia kitakacho kuzuia kupiga kura Novemba 3 00:02:31.239 --> 00:02:33.359 Fungo zote unazohitaji kuangalia usajili wako 00:02:33.359 --> 00:02:35.109 na vituo vya kupiga kura vitakuwa katika maelezo 00:02:35.109 --> 00:02:36.580 Asante kwa kupiga kura 00:02:36.580 --> 00:02:38.971 Jinsi ya kupiga kura katika kila jimbo inaandaliwa na Complexly 00:02:38.971 --> 00:02:41.190 kwa usirikiano na mradi wa mpiga kura wa The MediaWise 00:02:41.190 --> 00:02:44.260 inayoongozwa na taasisi ya Polynter na kuungwa mkono na facebook.