1 00:00:00,000 --> 00:00:02,231 Sawa, je, mmeona hili? 2 00:00:02,966 --> 00:00:04,345 Eh, mungu wangu, inafurahisha sana. 3 00:00:04,345 --> 00:00:05,498 Najua, sivyo? 4 00:00:05,498 --> 00:00:07,259 (kicheko) 5 00:00:11,457 --> 00:00:12,752 Aha, hiyo ni nzuri sana. 6 00:00:18,742 --> 00:00:20,742 Ni nini kinachoendelea hapa?! 7 00:00:27,752 --> 00:00:29,499 Eh, mungu wangu. 8 00:00:30,482 --> 00:00:32,766 Mna tatizo gani nyinyi? 9 00:00:33,966 --> 00:00:34,750 Eeh? 10 00:00:37,220 --> 00:00:38,467 Mnijibu! 11 00:00:39,487 --> 00:00:42,253 Je, nyinyi wote mna hali ya kufurahia isiyo ya kawaida? 12 00:00:44,733 --> 00:00:45,751 Na wewe! 13 00:00:46,491 --> 00:00:49,512 Ningetaraja kitendo kama hiki kutoka kwa wao, lakini wewe?! 14 00:00:50,482 --> 00:00:51,744 Umejidunisha sana. 15 00:00:51,744 --> 00:00:53,507 Ndiyo, sawa, kama Knoxville angekuwa hapa... 16 00:00:53,507 --> 00:00:55,085 Knoxville hata hayuko hapa! 17 00:00:55,085 --> 00:00:58,524 Iwapo Knoxville angekuwa hapa, mambo yangekuwa bora zaidi. 18 00:00:58,524 --> 00:01:00,260 Paka huyo. 19 00:01:01,740 --> 00:01:02,474 (mlio wa paka) 20 00:01:04,224 --> 00:01:05,201 (mlio wa paka) 21 00:01:05,511 --> 00:01:06,818 Unaangalia nini? 22 00:01:08,208 --> 00:01:09,502 (muziki)