0:00:00.000,0:00:02.231 Sawa, je, mmeona hili? 0:00:02.966,0:00:04.345 Eh, mungu wangu, [br]inafurahisha sana. 0:00:04.345,0:00:05.498 Najua, sivyo? 0:00:05.498,0:00:07.259 (kicheko) 0:00:11.457,0:00:12.752 Aha, hiyo ni nzuri sana. 0:00:18.742,0:00:20.742 Ni nini kinachoendelea hapa?! 0:00:27.752,0:00:29.499 Eh, mungu wangu. 0:00:30.482,0:00:32.766 Mna tatizo gani nyinyi? 0:00:33.966,0:00:34.750 Eeh? 0:00:37.220,0:00:38.467 Mnijibu! 0:00:39.487,0:00:42.253 Je, nyinyi wote mna hali ya kufurahia [br]isiyo ya kawaida? 0:00:44.733,0:00:45.751 Na wewe! 0:00:46.491,0:00:49.512 Ningetaraja kitendo kama hiki [br]kutoka kwa wao, lakini wewe?! 0:00:50.482,0:00:51.744 Umejidunisha sana. 0:00:51.744,0:00:53.507 Ndiyo, sawa, kama Knoxville [br]angekuwa hapa... 0:00:53.507,0:00:55.085 Knoxville hata hayuko hapa! 0:00:55.085,0:00:58.524 Iwapo Knoxville angekuwa hapa, mambo yangekuwa bora zaidi. 0:00:58.524,0:01:00.260 Paka huyo. 0:01:01.740,0:01:02.474 (mlio wa paka) 0:01:04.224,0:01:05.201 (mlio wa paka) 0:01:05.511,0:01:06.818 Unaangalia nini? 0:01:08.208,0:01:09.502 (muziki)