Sawa, je, mmeona hili?
Eh, mungu wangu,
inafurahisha sana.
Najua, sivyo?
(kicheko)
Aha, hiyo ni nzuri sana.
Ni nini kinachoendelea hapa?!
Eh, mungu wangu.
Mna tatizo gani nyinyi?
Eeh?
Mnijibu!
Je, nyinyi wote mna hali ya kufurahia
isiyo ya kawaida?
Na wewe!
Ningetaraja kitendo kama hiki
kutoka kwa wao, lakini wewe?!
Umejidunisha sana.
Ndiyo, sawa, kama Knoxville
angekuwa hapa...
Knoxville hata hayuko hapa!
Iwapo Knoxville angekuwa hapa, mambo yangekuwa bora zaidi.
Paka huyo.
(mlio wa paka)
(mlio wa paka)
Unaangalia nini?
(muziki)