Return to Video

Je, moto unaokoa ama kuangamiza sekta ya Mizeituni huko Italia

 • 0:00 - 0:02
  Mizaituni ni zao muhimu
 • 0:02 - 0:06
  katika uchumi na utamaduni wa Italia.
 • 0:06 - 0:11
  Mamia ya miti yote ya mizaituni
 • No está sincronizado.
  katika eneo la Pulgia ina zaidi
 • No está sincronizado.
  ya miaka 100, na inakatwa kwa uharibifu.
 • No está sincronizado.
  Hizi ni sekunda 60 za Scientific American
 • No está sincronizado.
  na mimi ni Eliene Augenrbraun. Una dakika?
 • No está sincronizado.
  Mwaka 2014, wanasayansi walivumbua
 • No está sincronizado.
  kuwa miti iliyotengwa ilikuwa na bakteria
 • No está sincronizado.
  xylella facstidiosa, hatari na wanasambaa
 • No está sincronizado.
  kwa haraka sana ikiathiri miti
 • No está sincronizado.
  milioni 1 kati ya milioni 60 huko Pulgia.
 • No está sincronizado.
  Kuzuia bakteria hawa kusambaa
 • No está sincronizado.
  kwenye miti mingine huko Ulaya,
 • No está sincronizado.
  umoja wa Ulaya unataka kukata na
 • No está sincronizado.
  kuchoma miti iliyoathirika na ya jirani.
 • No está sincronizado.
  Wakulima wenye hasira kama Pasquale Spina
 • No está sincronizado.
  wanaandamana kuzuia kuchoma miti
 • No está sincronizado.
  hii ya zamani, kwa sababu wanasema
 • No está sincronizado.
  miti hiyo bado ina afya.
 • No está sincronizado.
  Wanasayansi bado wanachunguza jinsi backeria
 • No está sincronizado.
  hawa wanavyosambaa toka mti mmoja
 • No está sincronizado.
  kwend mwingine n hawana uhakika kuwa hata
 • No está sincronizado.
  njia hii wanayotumia itaweza kufanya kazi.
 • No está sincronizado.
  Innaweza kuwachukua miaka kujua hasa kama
 • No está sincronizado.
  wataweza kuokoa msitu kwa kukata miti.
 • No está sincronizado.
  Asante kwa dakika yako.
 • No está sincronizado.
  Kutoka sekunde 60 za Scientific American's
 • No está sincronizado.
  Sciense, mimi ni Eliene Augenbraun.
Título:
Je, moto unaokoa ama kuangamiza sekta ya Mizeituni huko Italia
Descripción:

Je, moto unaokoa ama kuangamiza sekta ya Mizeituni huko Italia

more » « less
Video Language:
English
Team:
Scientific American
Duration:
02:06

Subtítulos en Swahili

Incompleto

Revisiones