-
Title:
Uamuzi baina ya ununuzi wa dawa ama kulipa bili haufai
-
Description:
Wakati bei ya madawa aagizo yanapanda Americani,maelfu ya watu wanalazimika kuacha madawa yanayookoa maisha -wakati huo viwanda na vituo vya huduma za afya wanatofoa madawa ya ziada hayajaharibika.Kiah Williams anaelezea jinsi SIRUM- kampuni isiyotengeneza faida inafikia familia inayohitaji haya madawa sana kwa madawa hayajatumika -na mpango wa kushusha gharama ya dawa kwa kusindika takribani dola bilioni kwa miaka tano ijaayo.(Mpango huu kabambe ni sehemu ya Mradi Changina,pendekezo la TED kuhamasisha na kugharamia mabadiliko ulimwenguni.)
-
Speaker:
Kiah Williams
-
Kila uchao hapa nchini,
-
familia wanalazimika kufanya
maamuzi magumu sana
-
yanayohusu huduma yao ya afya
-
Kama Kimberly, aliyesema,
-
"Kuna wakati nafanya maamuzi
kati ya chakula changu na vidonge"
-
Haikuwa raha
sababu kipato changu ni duni.
-
Mfano,"Naweza nunua shampu ama kiyoyozi ?"
-
Vitu tunachukulia kua ya kawaida"
-
Na Debbie,aliyesema,
-
"Unaweka dawa kwa mkono mmoja,
-
na mahitaji ya maisha kwa mwingine.
-
Sawa, ntafanya nini ?
-
Nitanunua dawa
-
ama kulipa bili zangu?
-
Na siwezi ishi bila dawa zangu,
-
na sitaishi bila kulipa bili zangu."
-
Watu elfu kumi wanafariki
kila mwezi hapa nchini,
¶
-
kwa sababu hawatumii
dawa inavyostahili,
-
Watu wengi hufa
kwa kutomeza dawa
-
kuzidi utumizi wa afyuni kupita kiwango
na ajali za barabara zikijumuishwa
-
Lakini huwezi meza tembe
kama hutamudu gharama yake.
-
Leo hii,familia ya kawaida
inatumia dola 3000 kila mwaka
¶
-
kwa matibabu.
-
Takriban thuluthi moja ya wasio na bima
-
walisema waliacha
kutumia dawa walivyoagizwa
-
kwa ajili ya gharama ya juu
-
Hata wenye bima,
-
na kipato chini ya dola 35,000 kwa mwaka
-
nusu yao walisema
walirukisha kumeza dawa
-
kama bima haitagharamia
-
Kunao watu wazima milioni kuni
kama Kimberly na Debbie
-
amabao wanalazimika
kufanya maamuzi magumu kilasiku,
-
Sote tunafahamu madawa
ya kuagizwa ni bei ghali mno.
¶
-
Na mfumo wetu wa huduma za afya,
-
inayobagua wengine kutopata bima
na wengineo kupata bima ya chini,
-
haipi kipaombele
watu wanaohitaji usaidizi kwa sasa
-
na matibabu sasa.
-
Milioni kumi---- hiyo ni idadi kubwa,
¶
-
lakini ni nambari lina suluhu,
-
kwa sababu pia kuna dola bilioni 10
-
ya madawa mazuri haijatumika
-
yanayoharibika.
-
Hii ni udhalimu kwa pande mbili:
-
watu kutopata madawa
wanayohitaji kua hai na kustawi,
-
na ni dawa hivi
vinatumwa kasha moto la madawa
-
kuharibiwa.
-
Huu uharibifu unapumbaza,
lakini pia unatoa fursa.
-
-
Kiwanda cha teknolojia isio ya faida,
na wanzilishi wenza Adam na George,
-
kuibadili madawa yanayotupwa
kua na manufaa
-
kama vile madawa
yaliyo kwa hili ghala
-
Labda hatutaweza rekebisha
-
yote yanayotufeli
katika mfumu wetu ya huduma za afya
-
lakini hili tunaweza tengeneza.
-
Madawa hutoka viwandani
na wauzi jumla wanao hifadhi salama
¶
-
na wakati wa kuraribika ikiwadia
wanatofua
-
Wakati mwingine, hutoka vituo vya afya
-
kama hospitali, famasia,na
uguzia
-
wanaobaki na ziada,
zisizomezwa
-
au wakati wagonjwa wanapofariki.
-
Tweza nufuika na haya
madawa ziada
-
kusambazia watu milioni kumi
wanaohitaji haya madawa.
-
Na tunaweza fanya hivyo leo.
-
SIRUM inapata madawa ziada
¶
-
kwa kuweka chombo cha matumizi tena
kwa haya majumba
-
yenye ziada
-
Chombo
linapojaa
-
SIRUM inatuma gari
kuchukua hayo madawa,
-
tunashughulikia usafirishaji,ufuatiliaji,
dhihirisho, na risiti ya kodi.
-
Wafadhili wa madawa wanataka kutoa
kwa sababu ni nafuu na rahisi
¶
-
kuliko kutofoa madawa
yenye kanuni mingi
-
Na pia kunayo motisha kikodi
kutoa
-
Baadaye tunafikisha haya madawa
kwa watu wazozihitaji.
-
Pendekezo mpya inapokuja,
-
jukwaa letu inaambatanisha matakwa
ya mgonjwa na dawa ilioko
-
Jukwaa letu basi inatoa
orodha ya kuchukua dawa bohari
-
madawa yanachukuliwa
na mapendekezo kuandikwa
-
Tunajega duka ya kisasa
wenye uzoefu ya karne 21
-
Wanayostahili familia wenye mapato madogo
-
Wagonjwa wanaweza jiandikisha
chini ya dakika tano
-
na kufikia
zaidi ya madawa 500,
-
yenye orodha toka
afkani
-
mpaka kichaa
-
Kiukweli imewakilisha asilimia 75
ya madawa yanayoagizwa
-
Amerika leo.
-
Pia tunashirikiana na mtandao wa madaktari
wauguzi na wasimamizi wa kesi
¶
-
katika hospitali
na kliniki huru
-
wanaopendekeza wagonjwa kwetu
-
Tunarahisishia wadumu wa afya
kazi
-
kwa kutoa madawa
yaliyoagizwa
-
kwa vile kuituma kwa famasia ya mtaa
-
Na wagojwa kuchukulia
kwa moja wa washirika wetu
-
ama kupelekewa madawa
nyumbani
-
Kwa kutofualitia
njia ya kawaida
-
tunaweza dai bei sawa na
ilio wazi -
-
kama dola mbili kila mwezi
kununua takriban madawa zote
-
Hii inadhihirisha bei
inayotabirika na nafuu
-
ambayo watu wanaweza bajetia.
-
Tumegawa dawa za kutosha
kwa takriban watu 150,000
¶
-
Lakini tunaweza fanya zaidi.
-
Lengo letu ni kufikia watu milioni
-
na madawa ya
dola takriban bilioni
-
kwa miaka tano ijayo,
-
kupanua miradi yetu hadi majimbo 12
-
Kwa kiwango hii,kufikia
jamii ambao ni
-
asilimia 40 kwa hao milioni 10
-
waliokosa ufikavu thabiti na nafuu
-
Huduma yetu moja kwa moja kwa watu milioni
-
itashusha bei chini
kwa watu wengi
-
Ni Walmart pekee wamezindua
bei ya dawa
¶
-
mnamo mwaka 2016,
-
kwa kutoa orodha finyu wa madawa
-
kwa bei iliyosimama ya dola nne
-
Huu ulizindua mabadiliko makubwa,
-
Kupelekea washindani wake
kutoa orodha zao
-
na bei wangeshusha,
-
Kwa malengo ya madawa
yenye uwazi na nafuu
-
kwenye majimbo haya mapya,
-
tunaweza shawishi
bei kwenye maeneo haya
-
kushuka kwa jamii
wenye mapato ya chini
-
Mfumo wetu wa hali ya afya ni changamani
¶
-
Inachosha,
-
Ni kama hayamkini kupiga hatua.
-
Tweza badili
kufikia dawa.
-
Kwa kutunia madawa ya ziada
kama kigezo cha kushinikiza mabadiliko
-
katika hii sekta wenye bilioni kadha
-
tunaweza pindua ufikaji
kwa madwa
-
kwa kuegemea msingi thabiti
-
kwamba watu waoishi moja ya
nchi tajiri duniani
-
wanaweza na wanafaa wafikie
kila aina ya dawa wanahitaji
-
kuishi wa kunawiri
-
Sitadanganya nina suluhu zote
¶
-
kurekebisha shida ilioko
katika mfumo wetu wa afya
-
Lakini kufikishia mamilioni
ya watu dawa
-
wanayohitaji kuishi kwa afya,
-
kuokoa madawa ili kuokoa maisha -
-
hio tunaweza fanya leo.
-