Return to Video

Je,kutakuja kuwepo ghorofa la maili moja?

  • 0:07 - 0:08
    Mwaka 1956,
  • 0:08 - 0:10
    Msanifu majengo Frank Lloyd Wright
  • 0:10 - 0:13
    Alitoa wazo la kujenga ghorofa la maili moja.
  • 0:13 - 0:16
    Lingekuwa ghorofa refu zaidi duniani,
  • 0:16 - 0:17
    Kwa yote--
  • 0:17 - 0:20
    Mara tano ya urefu wa Eiffel Tower.
  • 0:20 - 0:23
    Lakini wasahihishi wengi walimcheka msanifu majengo huyu,
  • 0:23 - 0:26
    Wakibisha kwamba watu itabidi wasubiri masaa mengi lifti ije,
  • 0:26 - 0:31
    Au jengo lenyewe linaweza kudondoka kutokana na uzito wake.
  • 0:31 - 0:32
    Wahandisi Wengi walikubali,
  • 0:32 - 0:35
    Ukiachana na umaarufu wa wazo hilo,
  • 0:35 - 0:38
    Jengo la Titanic halikujengwa.
  • 0:38 - 0:39
    Lakini leo
  • 0:39 - 0:42
    Majengo marefu na makubwa yanajengwa duniani.
  • 0:42 - 0:46
    Makampuni yanapanga maghorofa yenye urefu wa kilometa moja,
  • 0:46 - 0:49
    Kama Jeddah tower Saudi Arabia,
  • 0:49 - 0:52
    Mara Tatu ya Eiffel Tower.
  • 0:52 - 0:53
    Hivi punde,
  • 0:53 - 0:56
    Ndoto ya maili moja ya Wright inaweza itimie.
  • 0:56 - 0:58
    Je ni nini kilichokuwa kinatuzuia
  • 0:58 - 1:01
    Kujenga haya majengo makubwa miaka 70 iliyopita,
  • 1:01 - 1:05
    Na tunajengaje kitu cha maili moja Leo?
  • 1:05 - 1:07
    Kwenye ujenzi wowote ule,
  • 1:07 - 1:12
    Kila ghorofa inatakiwa ishabihiane na ghorofa ya juu yake.
  • 1:12 - 1:13
    Kadri urefu wa kujenga unavyoongezeka,
  • 1:13 - 1:18
    Ndio mvutano na pressure kutoka ghorofa za juu kwenda za chini.
  • 1:18 - 1:21
    Hii kanuni imetawala mfumo wa majengo yetu kwa muda mrefu,
  • 1:21 - 1:25
    Kuwapelekea wasanifu majengo wa zamani,kupendelea ma piramidi yenye misingi mikubwa
  • 1:25 - 1:27
    Ambayo ina sapoti Levo za juu nyepesi.
  • 1:27 - 1:31
    Lakini hili suluhisho halimaanishi majengo ya mji--
  • 1:31 - 1:35
    Piramidi refu hivyo linaweza kuwa na upana wa maili moja na nusu,
  • 1:35 - 1:38
    Ngumu kuibana katikati ya mji.
  • 1:38 - 1:43
    Lahasha,matirio ngumu kama sementi inaweza zuia huu muundo.
  • 1:43 - 1:48
    Na majengo ya kisasa yanawekewa Chuma kwa ajili ya nguvu,
  • 1:48 - 1:52
    Na polyma za kuzuia maji kuepusha kupasuka.
  • 1:52 - 1:56
    Zege kwenye jengo refu zaidi duniani la Burj Khalifa la Dubai,
  • 1:56 - 2:01
    Linaweza kustahimili presha ya tani 8000 Kwa mita ya mraba-
  • 2:01 - 2:06
    Uzito wa zaidi ya tembo 1200 wa kiafrica!
  • 2:06 - 2:08
    Atakama jengo lina jisapoti lenyewe,
  • 2:08 - 2:10
    Bado linahitaji sapoti kutoka chini.
  • 2:10 - 2:12
    Bila ya msingi,
  • 2:12 - 2:16
    Majengo marefu yanamna hii yanaweza kuzama,kudondoka au kupinda.
  • 2:16 - 2:19
    Kuepusha jengo refu la tani zaidi ya milioni kuzama,
  • 2:19 - 2:27
    Zege 192 na chuma zilichimbiwa Mita 50 ndani.
  • 2:27 - 2:30
    Mvutano katika ya mzigo na ardhi,
  • 2:30 - 2:33
    Unalifanya hili jengo liendelee kusimama.
  • 2:33 - 2:34
    Ukiachana na kuushinda mvuto,
  • 2:34 - 2:36
    Unao livuta jengo chini,
  • 2:36 - 2:40
    Ghorofa refu linatakiwa pia liushinde upepo,
  • 2:40 - 2:42
    Unaotoka kila upande.
  • 2:42 - 2:43
    Kwenye siku za kawaida,
  • 2:43 - 2:49
    Upepo unaweza kutoa mpaka paundi 17 kwa mita mraba kwenye jengo refu--
  • 2:49 - 2:52
    Kwa uzito wa gust wa mipira ya kuchezea.
  • 2:52 - 2:55
    Kusanifu majengo yawe ya kubadilika angani,
  • 2:55 - 2:57
    Kama ghorofa la China la Shanghai Tower,
  • 2:57 - 3:00
    Inaweza punguza hiyo nguvu Mpaka robo.
  • 3:00 - 3:03
    Na fremu zenye upepo ndani na nje ya jengo
  • 3:03 - 3:06
    Inaweza kumeza nguvu ya upepo iliyobaki
  • 3:06 - 3:08
    Kama kwenye jengo la Seoul la Lotte.
  • 3:08 - 3:11
    Lakini hata baada ya haya yote,
  • 3:11 - 3:14
    Unaweza ukajikuta unaenda mbele na nyuma
  • 3:14 - 3:17
    Zaidi ya mita kwenye floo za juu kwenye kimbunga
  • 3:17 - 3:20
    Kuepusha upepo kutingisha maghorofa,
  • 3:20 - 3:25
    Majengo mengi hutumia kipimo chenye uzito wa tani nyingi
  • 3:25 - 3:28
    Kinachoitwa "tuned mass damper".
  • 3:28 - 3:30
    Jengo la Taipei 101,mfano,
  • 3:30 - 3:35
    Limeweka Chuma kubwa ya duara kwenye ghorofa ya 87.
  • 3:35 - 3:37
    Upepo ukija kwenye jengo,
  • 3:37 - 3:39
    Hili duara linafanya kazi,
  • 3:39 - 3:42
    Linameza nishati ya kinetic.
  • 3:42 - 3:44
    Mizunguko yake inavyolifwata jengo,
  • 3:44 - 3:47
    mzunguko wa hydraulic Kati ya mpira na jengo
  • 3:47 - 3:49
    Unaibadilisha hiyo nishati ya kinetic kuwa joto,
  • 3:49 - 3:52
    Na kupunguza kupepesuka kwa jengo.
  • 3:52 - 3:55
    Na Technolojia zote hizi zilizopo,
  • 3:55 - 3:58
    Majengo yetu yanasimama na kuwa imara.
  • 3:58 - 4:03
    Lakini kusafiri kwenye jengo kubwa hivi ni changamoto pia.
  • 4:03 - 4:04
    Kwa miaka ya Wright,
  • 4:04 - 4:08
    Lifti za haraka zilitembea kilomita 22 kwa li saa.
  • 4:08 - 4:14
    Bahati,lifti za sasa zina spidi zaidi,kusafiri kilometa 70 kwa saa.
  • 4:14 - 4:18
    Na zinazokuja kutumia magneti zisizokuwa na msuguano
  • 4:18 - 4:19
    Kwa spidi kubwa zaidi
  • 4:19 - 4:23
    Na hesabu za traffic zinawagawa watumiaji kwa makundi
  • 4:23 - 4:28
    Kuwafanya wateja na vyumba visivyokuwa Na watu vifike vinapotaka kwenda.
  • 4:28 - 4:33
    Maghorofa yametoka mbali tangu Wright atoe wazo la ghorofa lake la maili moja.
  • 4:33 - 4:35
    Yaliyowazwa kuwa ni mawazo yasiyowezekana zamani
  • 4:35 - 4:38
    Yamekuwa ni nafasi kwa wasanifu majengo.
  • 4:38 - 4:40
    Leo inaweza kuwa ni muda tu
  • 4:40 - 4:44
    Mpaka jengo liende ile maili moja zaidi.
Title:
Je,kutakuja kuwepo ghorofa la maili moja?
Speaker:
Stefan AI
Description:

Mwaka 1956, msanifu majengo Frank Lloyd Wright alitoa wazo la ghorofa la maili moja, jengo lenye urefu mara tano wa Eiffel Tower. Japokuwa jengo hili halikujengwa, Leo hii majengo makubwa makubwa yanajengwa duniani. Imekuwaje haya mawazo ambayo mwanzoni yalionekana hayawezekani kuwa fursa Kwa wasanifu majengo? Stefan AI anaelezea jinsi gani haya majengo yamekuwa sehemu ya anga yetu.

more » « less
Video Language:
English
Team:
closed TED
Project:
TED-Ed
Duration:
04:44

Swahili subtitles

Revisions