Return to Video

MasterFirefoxOS.com: Music & Radio

  • 0:07 - 0:11
    Firefox OS inawezesha wateja kupata ngoma wanazozitaka papo hapo
  • 0:11 - 0:13
    yote katika kifaa kimoja
  • 0:13 - 0:15
    Kwa mguso mmoja kwenye kidude cha muziki
  • 0:15 - 0:18
    wataweza kuona ngoma zao zote pamoja.
  • 0:18 - 0:23
    Wanaweza vinjari mkusanyiko wao wa nyimbo wakitumia waimbaji au albamu
  • 0:24 - 0:27
    tafuta nyimbo
  • 0:32 - 0:33
    Linganisha nyimbo
  • 0:35 - 0:37
    Shiriki na wengine
  • 0:40 - 0:43
    na pia kujenga orodha ya ngoma wazipendazo
  • 0:46 - 0:49
    na pia kuna programu ya redio ya FM
  • 0:49 - 0:52
    Wateja wako wanaweza tafuta stesheni wazipendazo
  • 0:53 - 0:57
    ama wawache Firefox OS iwatafutie.
Title:
MasterFirefoxOS.com: Music & Radio
Video Language:
English
Duration:
0:59

Swahili subtitles

Revisions