Vidokezo 8 vya kukanusha "Habari za Uongo"
-
0:00 - 0:01Mambo, naitwa Hari Sreenivasan.
-
0:01 - 0:02Karibu nikujulishe kukabiliana na uongo
-
0:02 - 0:05tutachambua madai mulioweza kuyaona ao kusambaza mitandaoni.
-
0:05 - 0:08Tulimaliza mwaka uliopita
-
0:08 - 0:11Tukizungumza na wana habari na wakaguzi wa ukweli nchi nzima
-
0:11 - 0:14kuhusu vile walivyokabiliana na usambaji wa habari potofu.
-
0:14 - 0:17Walitupea namna na vifaa
-
0:17 - 0:20ambavyo haviwasaidii peke yao ila vinavyoweza kukusaidia pia wewe.
-
0:20 - 0:22Kuna njia nane unazoweza kutumia,
-
0:22 - 0:24kwa simu yako ao kwa talakanishi yako
-
0:24 - 0:27kukusaidia kupata ufahamu wa habari unazoziona ratibani kwako.
-
0:27 - 0:31Jua utofauti kati ya habari potofu na habari danganyifu.
-
0:31 - 0:38Ni mhimu kwanza kujua utofauti wa haya maneno mawili.
-
0:38 - 0:38Uliweza kuyaona ao kuyasikia sana
-
0:38 - 0:39miaka michache iliyopita.
-
0:39 - 0:42Habari potofu ni habari ya uongo inayosambazwa
-
0:42 - 0:46bila kujali ikiwa kuna nia ya kupoteza.
-
0:46 - 0:50habari danganyifu, kwa upande mwingine, ni ya kukudanganya.
-
0:50 - 0:52Inaweza kua ni simulizi iliyobadilishwa
-
0:52 - 0:54ao iliyojaa ukweli
-
0:54 - 0:57Habari danganyifu ni propaganda tupu
-
0:57 - 1:00Kwa sasa unajua namna ya habari mbaya,
-
1:00 - 1:03Ni nini unachoweza kukifanya ukipatana nazo?
-
1:03 - 1:05Chunguza hisia ya jibu lako.
-
1:05 - 1:09Mitandao ya kijamii imeundwa ili ipate mwitikio mkubwa kwako,
-
1:09 - 1:11iwe ni kitu cha kupendeza, ao mapenzi,
-
1:11 - 1:14lia kupitiliza, ao kasilishwa nacho.
-
1:14 - 1:16Ikiwa unapitia mitandao ya kijamii
-
1:16 - 1:19na uone kitu kinacho kuhusu,
-
1:19 - 1:21na kinachoonekana cha ukweli,
-
1:21 - 1:26na udhani,"Ndio, hiki kinaimarisha ninachokidhani."
-
1:26 - 1:29Hiyo ni tahadhari kwako kwamba inaweza kua yenye shaka.
-
1:29 - 1:33Mala nyingi, utakuta kwamba ukweli uliwekwa
-
1:33 - 1:37kwa maana zinazoonekana kua za ukweli, ndo za uongo kiuharisia.
-
1:37 - 1:40Hangalia bendera nyekundu kwa chapisho lenyewe.
-
1:40 - 1:42Utajuaje kwamba kitu fulani ni cha uongo
-
1:42 - 1:44Ikiwa kuna ishara nyingi zinazoeleza
-
1:44 - 1:46ikiwa chapisho linaweza kua si halali
-
1:46 - 1:50unaweza jua bila kutoka mipashoni ya mtandao wako wa kijamii
-
1:50 - 1:53ukiona dazeni kadhaa za hashtagi,
-
1:53 - 1:56Chunguza kwa ukaribu - ni nani chapisho linalenga?
-
1:56 - 1:59Ni watazamaji wagani chapisho linajaribu kufikia?
-
1:59 - 2:02moja kwa moja tuna mashaka
-
2:02 - 2:07Kwa sababu unaona hashtagi nyingi mno -
-
2:07 - 2:09Hiyo ni aina ya kutoa ambayo kuna mtu anaijaribu
-
2:09 - 2:11kusambaza vitu fulani kwa haraka sana.
-
2:11 - 2:14Unaweza hata kugundua reli ya kanuni hapa
-
2:14 - 2:16ambao ni pindo,
-
2:16 - 2:19ila kwa sasa yenye nadharia ya njama ya watu wengi.
-
2:19 - 2:21Kwa hiyo, moja kwa moja, hiyo ilikua ni dokezo
-
2:21 - 2:24kuna kitu hakiko sawa hapa.
-
2:24 - 2:28Kinachofuata, chapisho zinaweza kua zishaelezwa kwako.
-
2:28 - 2:31Majukwaa mengi ya mitandao ya kijamii hufanya uhakikisho wao
-
2:31 - 2:34na yanaruhusu kuongeza lebo.
-
2:34 - 2:37kuchapisha uongo, kupoteza, ao kuchukuliwa nje ya maudhui.
-
2:38 - 2:40Fungua kichupo kipya
-
2:40 - 2:43Vichupo vipya ni hakikisho lolote rafiki mwema.
-
2:43 - 2:45Tuliongea na wengi wa waandishi wa habari,
-
2:45 - 2:47Na wote walikua na kitu cha pamoja -
-
2:47 - 2:50hangalia tu vichupo vyote,
-
2:50 - 2:52Ukisha fungua kichupo kipya
-
2:52 - 2:54sehemu nzuri ya kuanzia ni utafutaji wa mtandao.
-
2:54 - 2:55Utafutaji wa neno mhimu utakuonyesha
-
2:55 - 2:57Wapi habari ilitoka mwanzoni,
-
2:57 - 3:01unaweza pia pita chelekezo na vyanzo vingine,
-
3:01 - 3:03na ugundue ikiwa unachokiona
-
3:03 - 3:07kisha wekwa wazi ao kukanushwa.
-
3:07 - 3:08Hangalia tovuti.
-
3:08 - 3:11Kuna wakati, chapisho za mitando ya kijamii huelekeza tovutini.
-
3:11 - 3:13Ikiwa hiyo ndo kesi,
-
3:13 - 3:15Unaweza jifunza mengi kupitia uhalali wa chanzo hicho
-
3:15 - 3:17na machache tu ya kazi pelelezi
-
3:17 - 3:21Hivyo, kila wakati unafanya utafiti mwingi unao wezekana kwa tovuti
-
3:21 - 3:23Kabla ya kusambaza kitu fulani.
-
3:23 - 3:26Hivo, kila wakati tembelea tovuti hiyo,tafuta ukurasa wa "Kuhusu".
-
3:26 - 3:28Ikiwa hakuna habari nyingi hapo,
-
3:28 - 3:31ao kuna makosa ya maandishi, ao ni kama aina ya ujumla
-
3:31 - 3:32inayoweza kua ishara kwako
-
3:32 - 3:34kwamba tovuti si ya kuaminika.
-
3:36 - 3:37Jaribu moja ya vifaa hivi.
-
3:37 - 3:40Waandishi wa habari hutumia nambari ya rasilimali bora
-
3:40 - 3:44Kuwasaidia kujua mengi kuhusu kipande cha habari.
-
3:44 - 3:45Ulipata picha yenye shaka?
-
3:45 - 3:47Anza kutafuta kinyume cha picha.
-
3:47 - 3:50Na hiki kinyume cha picha ndo penye unaweza uliza mtandao,
-
3:50 - 3:53Iwe ni google ao injini nyingine ya utafutaji,
-
3:53 - 3:55"Kuna vitu vimewekwa mtandaoni mbeleni
-
3:55 - 3:58na kijipicha kama hiki? Unaweza pata hiki mtandaoni?"
-
3:58 - 4:01kwa tovuti yenye mashaka, tumia "Ni nani".
-
4:01 - 4:05Hiki chombo cha kuhangalia kinaweza onyesha aliesajili kikoa
-
4:05 - 4:08na ni lini tovuti iliundwa kwa mara ya kwanza
-
4:08 - 4:11Ikiwa tovuti iliundwa karibu wakati huo huo
-
4:11 - 4:13ambao hilo chapisho umeona likisambaa
-
4:13 - 4:16hiyo inaweza kua ni kengele ya kukujulisha
-
4:16 - 4:19Jitaalishe kwa taarifa mbashara.
-
4:19 - 4:22Taarifa za kuaminika huchukua mda, ila zikisha tokea,
-
4:22 - 4:25habari husambaa haraka kuriko ukweli.
-
4:25 - 4:27Kwa hivo, unafaa kufanya nini ili uhakikishe
-
4:27 - 4:29unapata habari sahihi ya hadi sasa?
-
4:29 - 4:32Inasaidia sana, nadhani, ukiwa mtu,
-
4:32 - 4:37wa kuunda orodha ya hawa waandishi wa habari tofauti tofauti
-
4:37 - 4:39ili uweze kuafuatilia wakati wa habari mbashara.
-
4:39 - 4:41tengeneza orodha yako ya wataalam
-
4:41 - 4:44unao waamini na waliothibitishwa.
-
4:44 - 4:47Na njia utakayoona kwamba chenye unaenda kusambaza
-
4:47 - 4:49ki uhalisia huonyesha hadi hapa kama ni chenye hungefanya.
-
4:49 - 4:50Kabisa.
-
4:50 - 4:52Itisha usaidizi.
-
4:52 - 4:54ukiona kitu kwenye mipasho yako kinachohitajika kukaguliwa,
-
4:54 - 4:56tafuta wakaguzi wa ukweli wa kuaminika wakati huo huo
-
4:56 - 4:59na waombe wakichunguze kwa niaba yako.
-
4:59 - 5:02Kwa uhakika tunahitaji pia msaada wa umma,
-
5:02 - 5:05Kuashiria mambo kwa wakaguzi wa ukweli.
-
5:05 - 5:07Tuna barua pepe, tuna akaunti za mitandao ya kijamii,
-
5:07 - 5:10na ikiwa watu wako na maswali, tungependa kuwasaidia.
-
5:11 - 5:142020 umekua mwaka.
-
5:14 - 5:18inaonekana kama kila siku imeleta habari mbashara mpya,
-
5:18 - 5:22na pamoja na hayo, uongo fulani sahihi na uongo mtupu.
-
5:22 - 5:24Imekua ya kuchosha kwa kila mtu.
-
5:24 - 5:26Ndo maana tuko na furaha hasa
-
5:26 - 5:29kwa wanahabari wachapa kazi tuliyoongea nao.
-
5:29 - 5:33Tumeshughulikia habari potofu chache tu katika vipindi vyetu 10,
-
5:33 - 5:37Ila hawa wakaguzi wa ukweli wameshughulikia ma elfu.
-
5:37 - 5:39Kwa hivyo heri kwenu nyote na kwa yeyote yule
-
5:39 - 5:43alieko kule nje akikagua vyanzo, akithibitisha ukweli,
-
5:43 - 5:45na kukanusha madai ya uongo.
-
5:45 - 5:47Hadi wakati mwingine. Usieneze habari za uongo.
-
5:47 - 5:48weka ukweli.
-
5:48 - 5:51Mimi ni Hari Sreenivasan, na hiyi ni "Kugundua uongo"
-
5:53 - 5:55Ahsante kwa kuungana nasi msimu huu.
-
5:55 - 5:57Tunaenda kupumzika kidogo kwa mda,
-
5:57 - 6:00Ila twatumaini utakaa na ukaguzi wa ukweli katika kipindi chote cha mapumziko yetu.
-
6:00 - 6:02Hangalia maelezo kwa rundo la rasilimali
-
6:02 - 6:05Itakusaidia kufuata ukweli.
- Title:
- Vidokezo 8 vya kukanusha "Habari za Uongo"
- Description:
-
Tulitumia mwaka uliopita tukiongea na waandishi wa habari na wakazi wa ukweli nchini mzima kuhusu vile wanakabiliana na habari potofu zinazosambaa.Hapa kuna vidokezo 8 unavyoweza kuvichukua, ikiwa ni kwa simu yako ao talakanishi yako, vitakusaidia kupata fahamu ya habari unazoziona kwa ratiba zako.
VIDOKEZO VYETU 8 :
1. Jua utofauti kati ya habari potofu na habari danganyifu.
2. Chunguza hisia ya jibu lako.
3. Hangalia pendela nyekundu kwa chapisho lenyewe.
4. Fungua kichupo kipya.
5. Hangalia tovuti.
6. Jaribu moja ya vifaa hivi (hangalia kwa orodha hapo chini).
7. Jitaalishe kwa taarifa mbashara.
8. Omba usaidizi.TUMIA HIVI VIFAA:
InVid zana ya uthibitishaji ya video: https://www.invid-project.eu/
Tafuta picha kwa google: https://www.google.com/imghp
TinEye: https://tineye.com/
"Ni nani" uchunguzi wa kikoa : https://whois.domaintools.com/OMBA USAIDIZI :
Angelo Fichera: https://twitter.com/ajfichera
Daniel Funke: https://twitter.com/dpfunke
Laura Garcia: https://twitter.com/lauragrb
Alex Mahadevan: https://twitter.com/AlexMahadevan
Emmanuelle Saliba: https://twitter.com/_esaliba
Sara Spencer: https://twitter.com/byshspencerUsisahau "Kupenda" na "Kujiandikisha" kwa : https://bit.ly/3dziPoH
"Gundua Uongo" hukanusha madai uliyoyaona ao kuyasambaza mtandaoni na kukuonyesha vile unafaa kukaa ukiwa na habari. Mleta kipindi Hari Sreenivasan hufuata shimo la sungura la mtandao ya habari potofu, kusoma kupitiliza kichwa cha habari kimoja na kutafuta vyanzo vya kuaminika na kufunua ukweli.#Gundua Uongo
- Video Language:
- English
- Team:
- Amplifying Voices
- Project:
- Misinformation and Disinformation
- Duration:
- 06:05
Gerard N edited Swahili subtitles for 8 Tips for Debunking Fake News | ||
Gerard N edited Swahili subtitles for 8 Tips for Debunking Fake News | ||
Gerard N edited Swahili subtitles for 8 Tips for Debunking Fake News | ||
Gerard N edited Swahili subtitles for 8 Tips for Debunking Fake News | ||
Gerard N edited Swahili subtitles for 8 Tips for Debunking Fake News | ||
Gerard N edited Swahili subtitles for 8 Tips for Debunking Fake News | ||
Gerard N edited Swahili subtitles for 8 Tips for Debunking Fake News | ||
Gerard N edited Swahili subtitles for 8 Tips for Debunking Fake News |