-
Vipi chanjo za UVIKO-19 vitapewa kipaumbele?
-
Watu watakaopewa kipaumbele kupokea chanjo
-
ni wahudumu wa afya walio katika mistari ya mbele,
-
sawa na yeyote anayefanya kazi hospitalini,
-
halafu wale wanaoishi katika vifaa hodari vya uuguzi.
-
Vifaa hodari vya uuguzi zinachangia takriban asilimia 6 ya umma,
-
na pia karibia asilimia 40 ya vifo kutokana na UVIKO.
-
kwa hivyo wako kwenye hatari kubwa kutokana na matokeo mabaya ya UVIKO.
-
kunayo madhara ya chanjo ya UVIKO-19?
-
Ni kama ni madhara sawa na
-
chanjo za mafua au pepopunda.
-
unapata uvimbe mkononi kwa siku moja au mbili na labda maumivu ya kichwa au uchovu,
-
halafu inapotea.
-
Hakuna jinsi ya kupata virusi UVIKO kutokana na chanjo dhidi ya virusi vya Korona.
-
kwa hivyo hakuna njia yoyote.
-
Ni chembe kidogo tu ya RNA
-
inayotoa ujumbe kwa ajili ya sehemu ndogo ya mwiba ya protini.
-
kwa hivyo haiwezi zalisha au kuzidisha,
-
na haiwezi sababisha UVIKO.
-
[Chanjo inamaanisha nini kwa kuvaa barakao na kudumisha umbali katika kutangamana.]
-
itabidi tumevaa barakoa nakudumisha umbali katika kutangamana
-
kwa siku za usoni
-
tutakapoweza kuacha kuvaa barakoa na kuzingatia umbali katika kutangamana
-
ndio kutakapo fanikisha kiwango fulani ya kinga shirikisho
-
katika jamii zetu.
-
hiyo itabidi asilimia 60 hadi 70 ya umma kuwa na kinga.
-
Kwa sasa, kupitia uambukizi,
-
kama watu watakuwa na kinga baada ya kuambukizwa, na bado hatuna uhakika,
-
kumekuwa chini ya asilimia 10 ya watu ndani ya Marekani walioambukizwa.
-
Halafu chanjo itakapokuja,
-
itakuja kwa viwango vichache,
-
na kwa hivyo hatutaweza kuchanja kila mtu mara moja.
-
Kwa hivyo tunatarajia kuwa tutaweza kufanikisha hiyo asilimia 60 hadi 70 ya kinga shirikisho
-
ama kupita chanzo za ziada za maambukizi
-
pengine katikati ya mwaka wa 2021 au mwishoni wa 2021
-
itabidi tumengoja kuona.
-
[Chanjo za UVIKO-19 zinafanya kazi vipi?]
-
Kuna aina tatu kuu za chanjo
-
na mbili kati yao ni chanjo za mesenja RNA
-
mRNA
-
na hizo ndizo zinazotengenezwa na Pfizer vilevile Moderna.
-
Na kwa hivyo hizo chanjo ni chembe ya mesenja RNA
-
inayotuma ujumbe kwa sehemu ya protini za mwiba ya virusi vya korona
-
Hiyo ndio chanjo.
-
Tunapopewa hiyo
-
basi seli zetu hutengeneza hiyo protini, chembe tu ya protini,
-
halafu tunapata kinga dhidi ya hiyo protini
-
na hivyo ndivyo vinavyofanya kazi kuendeleza kinga.
-
Chanjo nyingine inafanana, chanjo ya Oxford- AstraZeneca.
-
ni kivumishi cha virusi viambukizi visivyozaana
-
hiyo pia ina chembe ya protini ya mwiba,
-
na kwa hivyo tunapata kinga kwayo.