Swahili subtitles

← Kwa Nini tunapaswa kuacha kucheza kwa sauti ya ukandamizaji wetu wenyewe

Get Embed Code
47 Languages

Showing Revision 9 created 09/28/2020 by Nelson Simfukwe.

 1. Mara nyinyi
 2. Huwa nachukua darasa la mazoezi
 3. Au naenda kwenye ukumbi wa muziki
 4. Au, kwa kweli, popote panapochezwa muziki kwa nyuma
 5. na najipata nayapenda mahadhi
 6. na wimbo na midundo
 7. alafu nachukua Sekunde kuyasikiza maneno ya muziki
 8. maneno ambayo, kwa mfano
 9. Yanatuweka katika nafasi ya utiifu
 10. ambayo hatungevumilia katika mukhtadha wowote mwingine
 11. Na nashangaa kiwango ambacho
 12. tunafanya taasubi kuwa kawaida katika utamaduni wetu
 13. Nasikiliza wimbo huu na kufikiri
 14. Sitaki kulazimika kuibuka kwa sauti ya huzuni yangu mwenyewe
 15. Unajua, muziki Ni moja ya mbinu za kuwasiliana ambayo Ina nguvu zaidi

 16. Kwa sababu Ina uwezo wa kuinua au kuhuzunisha
 17. Muziki inahudumia hisia. Muziki inahudumia roho
 18. Muziki yafungua roho zetu
 19. Yafungua njia zetu kupokea habari
 20. Kuhusu maisha ya mtu mwengine
 21. Kujuza majukumu yetu wenyewe
 22. Na ingawa Sina shida na ndoto zao wanaume

 23. Kile ambacho Nina shida nacho Ni,
 24. Kulingana na matokeo ya utafiti hivi majuzi,
 25. 2.6 pekee ya waimbji Ni wanawake. Hii inamaanisha kuwa
 26. hata asilimia ndogo zaidi Ni wa jinsia nyingine
 27. Kwa Nini Jambo hili Lina uzito
 28. Kwa sababu Kama hatumiliki na kudhibiti hadithi yetu
 29. Mtu mwengine atatusemea hadithi zetu
 30. Na itakuwa na makosa
 31. Na kuendeleza hadithi zenyewe za uongo zinazoturudisha nyuma
 32. Na sijakuja hapa kuwaambia wengine jinsi ya kutengeneza nyimbo zao

 33. Lakini Niko hapa kutoa mbadala wake
 34. Mkakati mmoja ninaouchukua katika muziki wangu

 35. Ni kutengeneza midundo yenye kupa nguvu na kuinua
 36. Na kueka maneno ninayosema juu yao
 37. Inayoeleza kwa halisi matukio ya maisha yangu
 38. Bila kuchangia kuteseka kwa mwengine
 39. Ni ya kuchekesha kwani Ni sababu hii hii
 40. Inayotufanya tupuuze maneno mengi yanayoleta shida
 41. Ni kwa sababu tunapenda hisia zinazoletwa na midundo
 42. Mfano wa nyimbo hizi Ni wimbo wangu: "Top knot turn up"
 43. (Muziki: "Top knot turn up)

 44. (aimba) Nilizima arifa za simu yangu ili niwe na wakati

 45. Hakuna Cha kusumbua utulivu wangu
 46. Kitu kimoja kijulikane sijakuja hapa kufurahisha
 47. Nywele inapofungwa, naifanya vizuri
 48. Wakati wangu si mali yako
 49. Nikiwa na nguvu za uzalishaji Kama ovari zangu
 50. Mpe msichana mzima nafasi ya kupumua haki za kimsingi na Uhuru wake
 51. Bila ukosefu wa usalama ambayo dunia inanisababishia
 52. Tafadhali usinisumbue nikiwa makini
 53. Siku zijazo wanawake watawala, tayari unajua hili
 54. Napiga ufisadi katika SCOTUS
 55. Ilitokea katika fundo langu la juu tangu Mara ya kwanza nilipoandika hili
 56. Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo, Ni tokeo
 57. Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo Ni tokeo
 58. Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo la fundo la juu, eyyyy
 59. Ni tokeo la fundo la juu
 60. (muziki unaisha)

 61. Nataka tuendelee kutengeneza nyimbo za kuinua jinsia zote na iliyo maridadi

 62. Kuhusu furaha na uhuru
 63. Nataka tukumbatie raha yetu
 64. Kama tunavyokumbatia uchungu wetu
 65. Nataka tusherehekee ule uhalisi
 66. Uwazi
 67. Na upana wa vipengele vya kuwepo kwetu
 68. Badala ya kuwasilisha hadithi za uongo zinazodhalilisha ujinsia
 69. Ili kuhisi umekubalika au kupendwa
 70. Na mkakati mwingine ninaochukua katika muziki wangu

 71. Ni kupinga taasubi iliyopo kwenye hewa
 72. Ni kuonyesha kwa macho dunia ambayo ningependa tuishi kwayo
 73. Katika video ya wimbo wangu "see me through"
 74. Ambao Ni wimbo wa R and B wenye mihemko na isiyo ya kawaida
 75. Naonyesha wawili wa marafiki wangu, Ania na Dejha
 76. Kufanya jukumu la wapendanao, kwa sababu wameolewa katika maisha halisi
 77. Lakini ambacho hujui na kuwa wapo pia nyuma ya kamera
 78. Wakitengeneza na kuelekeza video nzima
 79. (video) Heey ooh. Hisia zangu zilikuwa zimechoka

 80. Muziki unafaa kuwa salama na yenye kupatikana ili kila mtu ausikize

 81. Unavyoona, si kuhusu kupoteza rufaa ya ngono au madoido
 82. Iliyopo kwenye muziki
 83. Ni kuhusu kuandika ujumbe unaoleta hisia chanya
 84. Na kuifanya muziki unaotuinua na kutupa changamoto
 85. Na ingawa sisi Kama wanamuziki tuna jukumu

 86. Kutengeneza muziki ambayo haidhalalishi
 87. Wanaopokea wanaweza kuchangia katika badiliko hili
 88. Kwanza, tunaweza kuchagua nyimbo zipi hatutaki kusikiza
 89. Na nyimbo zipi tunataka kusikiza zaidi
 90. Tunaweza kusema
 91. "Heshima niliyo nayo inanitosha kusema
 92. Sitaki kusikiza hii
 93. Na sitaki isikilizwe na wengine pia
 94. Pili, tunaweza kujiuliza

 95. Muziki huu au ujumbe huu
 96. Unaweza kuleta kuteseka kwa mtu mwengine
 97. Mbona naivumilia
 98. Na mwisho, tunaweza wote kuchagua kutengeneza orodha ya nyimbo
 99. Zinazoleta hisia tunazohitaji katika wakati huo
 100. Na isiyokuwa na ujumbe wa kuleta shida
 101. Kwa Nini Jambo hili Lina uzito
 102. Kwa sababu inatoa mwelekeo kwa dunia kuhusu
 103. kile ambacho tunataka kusikiliza
 104. Na kutengeneza mabadiliko ya muda na utaratibu wa maoni
 105. Inayoathiri sekta yote ya muziki
 106. Huu si ujumbe

 107. Wa kikundi kidogo tu Cha watu
 108. Huu Ni ujumbe unaoathiri kila mmoja wetu
 109. Kwa sababu tunapoinua na kuweka huru jinsia dhaifu
 110. Tunaweka kila mtu huru