Swahili subtitles

← Course Introduction

Get Embed Code
59 Languages

Showing Revision 1 created 08/20/2017 by Samuel Gikaru.

 1. Kuanzusha biashara ni ngumu.
 2. Kama mwekezaji, huhitaji bidhaa
  nzuri pekee.
 3. Lakini pia unahitaji kuhakikisha kuwa
  umepata uwekezaji, tafuta mwanzilishi,
 4. ajiri wafanyikazi na ukamilishe kazi
  nyinginezo katika harakati
 5. ya kutimiza malengo yako.
 6. Lakini kuwa mwekezaji huja na
  wajibu mwingi sana.
 7. Kama vile uhuru wa kuwa mkubwa
  wako wewe mwenyewe,
 8. na pia nafasi ya kutengeneza athari
  itakayodumu duniani.
 9. Katika kosi hii, utapata ushauri wa
  wataalamu kutoka wanaotumia Google,
 10. kutoka kwenye waanzilishi wa kampuni,
  kama vile CrunchBase na UpWest Labs,
 11. kutoka kwa wanaozidisha kasi ya uwekezaji,
  kama vile NFX Guild
 12. na pia kutoka kwa wataalamu wengine
  wa Silicon Valley.
 13. Utaalamu huu wote unakuja pamoja
 14. ili kukusaidia kuweka malengo yako sawa,
 15. kutengeneza timu yako waelewe bidhaa yako,
 16. na kupata uwekezaji wa kukusaidia
  kuanzisha biashara yako.
 17. Mwisho wa kosi hii, utaweza kuamini
  bidhaa yako na biashara yako.
 18. Kutoka hapo utakua katika nafasi njema
  ya kutengeza bidhaa yako zaidi,
 19. uache kulegealegea, utapata mwekezaji wa
  kasi
 20. ama pia ung'ang'ane kupata mafanikio
  kwa njia yako mwenyewe.