Mapinduzi ya kilimo mapya ya dunia
-
0:02 - 0:06Mwaka 2019, ubinadamu ulipata tahadhari:
-
0:06 - 0:0830 ya wanasayansi mashuhuri duniani
walipeana majibu -
0:08 - 0:12ya utafiti wa miaka mitatu ya
kilimo cha kimataifa -
0:12 - 0:16na kutangaza kuwa uzalishaji wa nyama
unaathiri sayari yetu -
0:16 - 0:17na kuhatarisha afya ya dunia.
-
0:18 - 0:20Mwandishi mmoja wa utafiti alinena
-
0:20 - 0:23ya kuwa "ubinadamu ni hatarisho
kwa utulivu wa sayari ... -
0:23 - 0:28[Hii inahitaji] sio chini ya
uvumbuzi mpya wa kilimo wa kimataifa." -
0:29 - 0:31Kama mtu ambaye ametumia miongo miwili
-
0:31 - 0:34kutetea kuhama uzalishaji wa nyama
kwa viwanda, -
0:34 - 0:38nilitaka kuamini kuwa wito huu
ulikuwa unaenda kuleta mabadiliko. -
0:38 - 0:43Jambo ni kuwa nimeona hili
mara kwa mara kwa miongo. -
0:44 - 0:47Hii hapa 2018 kutoka kwa jarida "Nature,"
-
0:47 - 0:502017 kutoka "Bioscience Journal,"
-
0:50 - 0:542016 kutoka Chuo cha Taifa cha Sayansi.
-
0:54 - 0:58Lengo kuu la utafiti hizi
huwa ni mabadiliko ya hewa. -
0:58 - 1:02Lakini upinzani wa kiuavijasumu
ni tishio kubwa. -
1:03 - 1:06Tunawapa mifugo vipimo
kubwa vya viuavijasumu. -
1:06 - 1:10Viuavijasumu kisha hubadilika
na kuwa wadudu wenye nguvu -
1:10 - 1:13wanaotishia kufanya kiuavijasumu
kuwa bila kazi -
1:13 - 1:16katika maisha yetu.
-
1:16 - 1:17Unataka kitisho?
-
1:17 - 1:20Tafuta: "mwisho wa kazi wa kiuavijasumu."
-
1:21 - 1:23Naenda kuweka bayana jambo moja:
-
1:23 - 1:25Siko hapa kueleza mtu anachopaswa kula.
-
1:26 - 1:27Hatua ya kibinafsi ni sawa,
-
1:27 - 1:30lakini upinzani wa kiuavijasumu
na mabadiliko ya hewa -- -
1:30 - 1:32yanahitaji zaidi.
-
1:32 - 1:36Kando na hayo, kusadikisha ulimwengu
kupunguza kula nyama haijafaulu. -
1:37 - 1:42Kwa miaka 50, wanaharakati wa mazingira,
wataalamu wa afya wa duniani -
1:42 - 1:45na wanaharakati wa wanyama, wamesihi umma
kula nyama kiasi. -
1:45 - 1:47Na bado, wastani wa ulaji nyama
-
1:47 - 1:51umekuwa juu kihistoria.
-
1:51 - 1:55Mkazi wastani wa Amerika Kaskazini
alikula pauni 200 ya nyama mwaka jana. -
1:56 - 1:57Na sikula ata.
-
1:57 - 1:58(Kicheko)
-
1:59 - 2:02Inamaanisha kuna mtu huko nje
alikula pauni 400 ya nyama. -
2:02 - 2:04(Kicheko)
-
2:04 - 2:05Kwa njia tunayoelekea,
-
2:05 - 2:10tunaenda kuhitaji kuzalisha asilimia
70 hadi 100 zaidi ya nyama ifikapo 2050. -
2:10 - 2:13Hili linahitaji suluhisho la duniani pote.
-
2:13 - 2:17Tunachohitaji ni kuzalisha nyama
ambayo watu watapenda, -
2:17 - 2:20lakini tuizalishe kwa njia mpya.
-
2:20 - 2:22Nina mawazo kadhaa.
-
2:22 - 2:26Wazo la kwanza:
tukuze nyama kutoka kwa mimea. -
2:26 - 2:28Badala ya kukuza mimea,
kuyalisha kwa wanyama, -
2:28 - 2:30na hayo yote yasiyofaa,
-
2:30 - 2:33tukuze mimea hiyo,
tuikuze na nyama, -
2:33 - 2:34tuifanye iwe na nyama.
-
2:35 - 2:38Wazo la pili: kwa nyama halisi ya wanyama,
-
2:38 - 2:40tuikuze kwa chembe moja kwa moja.
-
2:40 - 2:43Badala ya kukuza wanyama waliohai,
tukuze chembe moja kwa moja, -
2:44 - 2:47Inachukua wiki sita kulea kuku
afike kimo cha kuchinjwa. -
2:47 - 2:49Kuza chembe moja kwa moja,
na utapata matokea sawia -
2:49 - 2:51kwa siku sita.
-
2:52 - 2:54Hivi ndivyo itakuwa katika skeli.
-
2:55 - 2:58Ni ujirani wa kirafiki wa kiwanda
cha nyama. -
2:58 - 3:01(Kicheko)
-
3:01 - 3:03Nitataja mambo mawili kuhusu hili.
-
3:03 - 3:05Jambo la kwanza, tunasadiki tunaweza.
-
3:05 - 3:09Miaka iliyopita, makampuni mengine
yamekuwa yakikuza nyama kutoka kwa mimea -
3:09 - 3:13na walaji hawawezi tofautisha
na nyama halisi, -
3:13 - 3:17na sasa kuna makampuni mbalimbali
yanayokuza nyama halisi ya wanyama -
3:17 - 3:19moja kwa moja kutoka kwa chembe.
-
3:19 - 3:21Nyama hii ya mimea na ya chembe
-
3:21 - 3:23inawapa walaji vyote
wanavyopenda kuhusu nyama -- -
3:23 - 3:25ladha, umbile na kadhalika --
-
3:25 - 3:28lakini bila hitaji ya viuavijasumu
-
3:28 - 3:31na sehemu ya madhara kwa hali ya hewa.
-
3:31 - 3:35Na kwa sababu teknolojia
hizi mbili ni bora zaidi, -
3:35 - 3:36kwa ukuzaji
-
3:36 - 3:38bidhaa hizi zitakuwa za bei ya chini.
-
3:39 - 3:41Jambo moja kuhusu hilo --
-
3:41 - 3:43haitakuwa rahisi.
-
3:43 - 3:47Makampuni haya yanayotumia mimea
yametumia misandali kidogo kwa baga zao, -
3:47 - 3:50na chembe ya nyama bado
haijazinduliwa kibiashara. -
3:51 - 3:53Kwa hivyo tutahitaji ushirikiano wa wote
-
3:53 - 3:55ili kufanya hili liwe kiwanda
cha nyama duniani. -
3:56 - 3:59Mwanzo, tunahiaji sekta ya nyama
ya sasa. -
3:59 - 4:01Hatutaki kuvuruga sekta ya nyama,
-
4:01 - 4:03tunataka kuibadilisha.
-
4:03 - 4:05Tunahitaji dhana yake ya uchumi,
-
4:05 - 4:08msururu wake wa ugavi,
utaalam wake wa uuzaji -
4:08 - 4:10na wateja wake.
-
4:11 - 4:13Tunahitaji pia serikali.
-
4:13 - 4:16Serikali hutumia mabilioni ya madola
kila mwaka -
4:16 - 4:18kwa utafiti na maendeleo
-
4:18 - 4:21unaozingatia afya duniani
na mazingira. -
4:21 - 4:25Yanafaa kuwekeza sehemu ya fedha hizo
katika sadifisha na kuboresha -
4:25 - 4:29uzalishaji wa mimea na
nyama iliyokuzwa na chembe ya mimea. -
4:30 - 4:35Tazama, kumi ya maelfu ya watu walikufa
kutoka kwa usugu wa viuavijasumu -
4:35 - 4:37Amerika Kaskazini mwaka jana.
-
4:38 - 4:43Ifikapo 2050, tarakimu hiyo itakuwa
milioni 10 kwa mwaka duniani. -
4:44 - 4:48Mabadiliko ya hewa pia
ni athari iliyopo -
4:48 - 4:51kwa sehemu kubwa ya familia yetu duniani,
-
4:51 - 4:55wakiwemo watu maskini zaidi
hapa duniani. -
4:55 - 5:00Mabadiliko ya hewa, kinga ya
viuavijasumu-- hizi ni dharura duniani. -
5:00 - 5:05Uzalishaji wa nyama unazidi
dharura hizi kwa kipimo duniani. -
5:05 - 5:08Lakini hatuendi kupunduza
ulaji nyama -
5:08 - 5:11hadi tuwape walaji bidhaa mbadala
-
5:11 - 5:15zitakazo gharimu sawa au chini
na ladha iwe sawia au bora. -
5:16 - 5:17Tuko na jawabu.
-
5:17 - 5:21Tutengeneze nyama kutoka kwa mimea.
Tuikuze moja kwa moja kutoka kwa chembe. -
5:21 - 5:25Tayari tumechelewa kutumia
raslimali tulizonazo -
5:25 - 5:30kutengeneza mapinduzi ya kilimo mapya.
-
5:30 - 5:31Asanteni.
-
5:31 - 5:35(Makofi)
- Title:
- Mapinduzi ya kilimo mapya ya dunia
- Speaker:
- Bruce Friedrich
- Description:
-
Njia ya uzalishaji nyama ya kawaida inaathiri mazingira yetu na ni athari kwa afya ya ulimwengu, lakini watu hawaendi kupunguza ulaji nyama hadi tuwape chaguo mbadala yanye bei sawia (au ya chini) na ladha sawia (au bora). Kwa hotuba ya kufungua macho, mvumbuzi wa vyakula na mwana TED Bruce Friedrich anaonyesha bidhaa za mimea na chembe ambazo zinaweza kubadilisha sekta ya nyama duniani -- na sahani yako ya chajio.
- Video Language:
- English
- Team:
- closed TED
- Project:
- TEDTalks
- Duration:
- 05:48
Nelson Simfukwe approved Swahili subtitles for The next global agricultural revolution | ||
Nelson Simfukwe accepted Swahili subtitles for The next global agricultural revolution | ||
Brian Bosire edited Swahili subtitles for The next global agricultural revolution | ||
Brian Bosire edited Swahili subtitles for The next global agricultural revolution | ||
Brian Bosire edited Swahili subtitles for The next global agricultural revolution | ||
Brian Bosire edited Swahili subtitles for The next global agricultural revolution | ||
Brian Bosire edited Swahili subtitles for The next global agricultural revolution |