Return to Video

tea consent

  • 0:01 - 0:03
    - Kama bado unasumbukana na kibali,
  • 0:03 - 0:05
    fikiria tu badala ya kuanzisha ngono,
  • 0:05 - 0:07
    unawatengezea kikombe cha chai.
  • 0:07 - 0:09
    Unasema: "Hey, ungependa kikombe cha chai?"
  • 0:09 - 0:12
    Na wataenda: "Oh Mungu Wangu, ndio!
  • 0:12 - 0:15
    "Ningependa sana kikombe cha chai! Ahsante!"
  • 0:16 - 0:18
    Kisha unajua wanataka kikombe cha chai.
  • 0:18 - 0:21
    Ukisema, "Ungependa kikombe cha chai?"
  • 0:21 - 0:24
    Na wako kama:"Sina uhakika kikamilifu."
  • 0:24 - 0:26
    Basi unaeza watengezea kikombe cha chai,
  • 0:26 - 0:28
    ama la, lakini uwe mwangalifu;
  • 0:28 - 0:29
    wanaeza kosa kuikunywa.
  • 0:29 - 0:31
    Na wasipoinywa, basi -
  • 0:31 - 0:33
    - na hapa ndipo pahali muhimu -
  • 0:33 - 0:36
    - usiwalazimishe kunywa.
  • 0:36 - 0:38
    Kwa sababu wewe ndio uliyeitengeneza haimaanishi
  • 0:38 - 0:39
    uko na haki ya kuwaona wakiinywa.
  • 0:40 - 0:42
    Na wakisema, "Hapana, ahsante."
  • 0:42 - 0:45
    basi usiwatengezee chai, kabsaa.
  • 0:45 - 0:47
    Usiwategenzee chai.
  • 0:47 - 0:48
    Usiwafanye wakunywe chai,
  • 0:48 - 0:49
    usiwakasirikie
  • 0:49 - 0:50
    kwa kukataa kutaka chai
  • 0:50 - 0:53
    hawataki chai tu, sawa?
  • 0:53 - 0:55
    Wanaeza sema: "Ndio, tafadhali,
  • 0:55 - 0:57
    "Huu ndi ukarimu wako"
  • 0:57 - 0:58
    Na alafu chai itakapo wasili,
  • 0:58 - 1:00
    hawataki chai kabsaa.
  • 1:00 - 1:02
    Kwa ukweli iyo inaudhi kwa sababu umejitolea
  • 1:02 - 1:04
    nguvu ya kutengeneza chai,
  • 1:04 - 1:08
    lakini hawako katika wajibu ya kukunywa chai.
  • 1:08 - 1:10
    Walitaka chai, sahii hawataki.
  • 1:10 - 1:12
    Watu wengine hubadilisha mawazo katika ule muda
  • 1:12 - 1:14
    inachukua birika, kuandaa chai
  • 1:14 - 1:15
    na kuongeza maziwa.
  • 1:15 - 1:18
    na ni sawa kwa watu kubadilisha mawazo.
  • 1:18 - 1:19
    Na bado huna haki ya kuwaona
  • 1:19 - 1:21
    wakiinywa.
  • 1:21 - 1:24
    And kama hawana fahamu, usiwatengezee kahawa.
  • 1:24 - 1:26
    Watu hawana fahamu hawataki chai, na
  • 1:26 - 1:29
    hawawezi jibu hilo swali, "Unataka chai?"
  • 1:29 - 1:31
    kwa sababu hawana famahu.
  • 1:31 - 1:33
    Sawa, labda walikuwa na fahamu wakati uliwauliza
  • 1:33 - 1:35
    kama wanataka chai, na
  • 1:35 - 1:37
    wakasema ndio, lakini katika wakati uliokuchukua
  • 1:37 - 1:38
    kuchemsha birika, kuandaa hio chai na
  • 1:38 - 1:41
    uongeza maziwa , hawana fahamu sahi.
  • 1:41 - 1:43
    Unafaa kueka chai chini,
  • 1:43 - 1:45
    hakikisha huyu
  • 1:45 - 1:47
    Na hii ndio sehemu muhimu tena
  • 1:47 - 1:50
    Usiwalazimishe wanywe kahawa!
  • 1:50 - 1:53
    Walisema ndio angali, lakini watu wasio timamu
  • 1:53 - 1:55
    hawataki chai.
  • 1:55 - 1:58
    Kama mtu alisema ndio atakunywa chai, akanza
  • 1:58 - 1:59
    kuinywa alafu akazimia
  • 1:59 - 2:01
    kabla wamalize kuinywa, usiendelee
  • 2:01 - 2:03
    kumwaga ndani mwa kinywa zao
  • 2:03 - 2:05
    Peleka chai mbali, na uhakikishe ako salama.
  • 2:05 - 2:10
    Kwa sababu watu wasio fahamu hawataki chai, nimamini.
  • 2:10 - 2:12
    Kama kuna mtu alisema ndio kwa chai karibu na
  • 2:12 - 2:14
    nyumba yako siku ya Juma Mosi, hio haimaanishi wanakutaka
  • 2:14 - 2:16
    uwatengenezee chai kila wakati.
  • 2:16 - 2:17
    Hawataki uje karibu na
  • 2:17 - 2:19
    kwao bila kutarajiwa na uwatengezee chai,
  • 2:19 - 2:21
    uwalazimishe kuinywa, ukisema:
  • 2:21 - 2:23
    "Lakini ulisema unahitaji chai wiki iliopita."
  • 2:23 - 2:25
    Ama waamke wapatae unawamwagia
  • 2:25 - 2:26
    chai chini mwa vinywa vyao, ukisema:
  • 2:26 - 2:28
    "Lakini ulisema unahitaji chai jana usiku."
  • 2:28 - 2:29
    Kama unaeza elewa kabsaa namna ya
  • 2:29 - 2:31
    upuzi kulazimisha watu kuchukua
  • 2:31 - 2:33
    chai wakati hawataki kunywa chai, na
  • 2:33 - 2:34
    unaweza kuelewa wakati watu
  • 2:34 - 2:37
    hawataki chai, basi je, ni ugumu upi upo
  • 2:37 - 2:39
    kuelewa inapokuja kwa ngono?
  • 2:39 - 2:41
    Iwapo ni chai ama ngono,
  • 2:42 - 2:44
    kibali ni kila kitu.
  • 2:44 - 2:46
    Na juu ya huo wajibu, ninaenda
  • 2:46 - 2:48
    kujitengezea kikombe cha chai.
Title:
tea consent
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
Captions Requested
Duration:
02:51
Adams Njagi edited Swahili subtitles for tea consent
Adams Njagi edited Swahili subtitles for tea consent

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions