Swahili subtitles

← tea consent

Get Embed Code
10 Languages

Showing Revision 2 created 12/28/2015 by Adams Njagi.

 1. - Kama bado unasumbukana na kibali,
 2. fikiria tu badala ya kuanzisha ngono,
 3. unawatengezea kikombe cha chai.
 4. Unasema: "Hey, ungependa kikombe cha chai?"
 5. Na wataenda: "Oh Mungu Wangu, ndio!
 6. "Ningependa sana kikombe cha chai! Ahsante!"
 7. Kisha unajua wanataka kikombe cha chai.
 8. Ukisema, "Ungependa kikombe cha chai?"
 9. Na wako kama:"Sina uhakika kikamilifu."
 10. Basi unaeza watengezea kikombe cha chai,
 11. ama la, lakini uwe mwangalifu;
 12. wanaeza kosa kuikunywa.
 13. Na wasipoinywa, basi -
 14. - na hapa ndipo pahali muhimu -
 15. - usiwalazimishe kunywa.
 16. Kwa sababu wewe ndio uliyeitengeneza haimaanishi
 17. uko na haki ya kuwaona wakiinywa.
 18. Na wakisema, "Hapana, ahsante."
 19. basi usiwatengezee chai, kabsaa.
 20. Usiwategenzee chai.
 21. Usiwafanye wakunywe chai,
 22. usiwakasirikie
 23. kwa kukataa kutaka chai
 24. hawataki chai tu, sawa?
 25. Wanaeza sema: "Ndio, tafadhali,
 26. "Huu ndi ukarimu wako"
 27. Na alafu chai itakapo wasili,
 28. hawataki chai kabsaa.
 29. Kwa ukweli iyo inaudhi kwa sababu umejitolea
 30. nguvu ya kutengeneza chai,
 31. lakini hawako katika wajibu ya kukunywa chai.
 32. Walitaka chai, sahii hawataki.
 33. Watu wengine hubadilisha mawazo katika ule muda
 34. inachukua birika, kuandaa chai
 35. na kuongeza maziwa.
 36. na ni sawa kwa watu kubadilisha mawazo.
 37. Na bado huna haki ya kuwaona
 38. wakiinywa.
 39. And kama hawana fahamu, usiwatengezee kahawa.
 40. Watu hawana fahamu hawataki chai, na
 41. hawawezi jibu hilo swali, "Unataka chai?"
 42. kwa sababu hawana famahu.
 43. Sawa, labda walikuwa na fahamu wakati uliwauliza
 44. kama wanataka chai, na
 45. wakasema ndio, lakini katika wakati uliokuchukua
 46. kuchemsha birika, kuandaa hio chai na
 47. uongeza maziwa , hawana fahamu sahi.
 48. Unafaa kueka chai chini,
 49. hakikisha huyu
 50. Na hii ndio sehemu muhimu tena
 51. Usiwalazimishe wanywe kahawa!
 52. Walisema ndio angali, lakini watu wasio timamu
 53. hawataki chai.
 54. Kama mtu alisema ndio atakunywa chai, akanza
 55. kuinywa alafu akazimia
 56. kabla wamalize kuinywa, usiendelee
 57. kumwaga ndani mwa kinywa zao
 58. Peleka chai mbali, na uhakikishe ako salama.
 59. Kwa sababu watu wasio fahamu hawataki chai, nimamini.
 60. Kama kuna mtu alisema ndio kwa chai karibu na
 61. nyumba yako siku ya Juma Mosi, hio haimaanishi wanakutaka
 62. uwatengenezee chai kila wakati.
 63. Hawataki uje karibu na
 64. kwao bila kutarajiwa na uwatengezee chai,
 65. uwalazimishe kuinywa, ukisema:
 66. "Lakini ulisema unahitaji chai wiki iliopita."
 67. Ama waamke wapatae unawamwagia
 68. chai chini mwa vinywa vyao, ukisema:
 69. "Lakini ulisema unahitaji chai jana usiku."
 70. Kama unaeza elewa kabsaa namna ya
 71. upuzi kulazimisha watu kuchukua
 72. chai wakati hawataki kunywa chai, na
 73. unaweza kuelewa wakati watu
 74. hawataki chai, basi je, ni ugumu upi upo
 75. kuelewa inapokuja kwa ngono?
 76. Iwapo ni chai ama ngono,
 77. kibali ni kila kitu.
 78. Na juu ya huo wajibu, ninaenda
 79. kujitengezea kikombe cha chai.