Kipi cha kufanya wakati ambapo kila jambo linaharibika
-
0:01 - 0:03"Nina watu ndani yangu"
-
0:03 - 0:06Aliimba marehemu Abbey Lincoln.
-
0:06 - 0:09Nachukulia maandiko hayo kama mwito
-
0:09 - 0:11"Nina watu ndani yangu"
-
0:12 - 0:18Jomama Jones ndiye aliye ndani yangu namtazama kama mwongozo.
-
0:18 - 0:20Ndiye nafsi mbadala wangu.
-
0:20 - 0:24Nimemjumuisha
kwa uigizaji tangu mwaka 1995, -
0:24 - 0:30na huja pale ambapo ana dondoo za kuwapa majamaa.
-
0:30 - 0:32Wakati huu wa mabadiliko makuu,
-
0:32 - 0:36Nafurahia kuwa chombo
cha ujumbe wake kwenu. -
0:42 - 0:43Jomama Jones: Ni vipi nikikwambia
-
0:43 - 0:46itakua sawa........
-
0:46 - 0:48lakini itakuaje nkikwambia bado?
-
0:49 - 0:51Je, nikikwambia kuna majaribu mbeleni
-
0:51 - 0:54kuzidi hofu yako ya kina ?
-
0:54 - 0:57Je, nikikwambia utaanguka .....
-
0:57 - 0:59chini chini chini ?
-
1:00 - 1:06Lakini nikkiwambia
utajishangaza? -
1:06 - 1:10Je, nikikwambia utakua jasiri kutosha ?
-
1:11 - 1:13Je, nikikwambia
-
1:13 - 1:15si sote tutafaulu?
-
1:16 - 1:19Lakini itakuaje nikikwambia
-
1:19 - 1:22ipo inavyobidi iwe?
-
1:22 - 1:26Je nikikwambia nayaona yajayo?
-
1:29 - 1:31Unapenda mikono yangu?
-
1:31 - 1:34Inajieleza, ndiyo?
-
1:34 - 1:36Sasa tazama mikono yako -- tazama.
-
1:36 - 1:39Kuna historia kubwa iliyorekodiwa
kupitia miguso yake. -
1:39 - 1:43na alama za siku za baadaye
kuchorwa katika viganja. -
1:43 - 1:45Kuna wakati mikono hushikilia kwa nguvu,
-
1:45 - 1:48wakati mwingine kuachilia.
-
1:49 - 1:52Je nikikwambia,
-
1:52 - 1:54yote itasambaratika ?
-
1:55 - 1:56Mmm
-
1:56 - 1:58Mabibi na mabwana
-
1:58 - 2:01na wengineo,
-
2:01 - 2:04Mimi ni Jomama Jones
-
2:04 - 2:07Kwa wengine mimi nyota wa soniki
-
2:07 - 2:09na nakubaliana,
-
2:09 - 2:12japokua hata mwanzoni,
ilitokana na yale yajayo. -
2:12 - 2:14Kidogo nikupeleke utotoni,
-
2:14 - 2:16Wazia hili:
-
2:16 - 2:18ni siku ya kupanda,
-
2:18 - 2:20ambayo ni likizo nimebuni
-
2:20 - 2:22kwa vijana weusi
kikundi cha jamii nilichoanzisha -
2:22 - 2:26Nilikimbia nyumbani kuvalia
mavazi ya bustani -
2:26 - 2:30nikamfumania mjomba wangu aitwaye Freeman
-
2:30 - 2:35Kasimama mbele ya kibubu akiwa amenyanyua nyundo hewani.
-
2:35 - 2:37Alikuwa anajiandaa kuiba pesa zangu
-
2:38 - 2:39Unajua,
-
2:39 - 2:41mjomba wangu Freeman alikuwa mtu anayefahamu fani nyingi.
-
2:42 - 2:43Angerekebisha kitu yoyote-
-
2:43 - 2:45kiti kilichovinjika, chungu imepasuka-
-
2:45 - 2:48hata kurudisha uhai
kwa mimea za nyanya -
2:48 - 2:52Alikua na sihiri
na vitu vilivyovunjika -
2:52 - 2:54na watu wenye kasoro
-
2:54 - 2:56Angenichukua akienda kazini
-
2:56 - 2:58na kusema, "Kuja Jo,
-
2:58 - 3:01tukafanye kitu
kuibadili huu ulimwengu kua bora." -
3:01 - 3:03Mikono yake mipana na migumu,
-
3:03 - 3:09kila wakati zikinikumbusha
mizizi iliohamishwa -
3:09 - 3:12Tukifanya kazi angeongea na watu
-
3:12 - 3:16kuhusu mabadiliko aliyoamini
yangetokea karibuni. -
3:16 - 3:20Nilitazama akiunda tena matumaini yaliyovunjika
-
3:20 - 3:23na kuacha watu wamefurahi.
-
3:23 - 3:26Mikono yake iliwasha miale ya jua
-
3:27 - 3:31Na hapa alikuwa akikaribia
kuvunja kibubu mbele yangu. -
3:31 - 3:34Nikasema"Piga hatua nyuma,
na unionyeshe mikono yako." -
3:34 - 3:37Unajua cha ajabu kilichotokea kilikuwa
-
3:37 - 3:42alikua akinipatia sarafu kuu kuu zote
alizopata kwenye sakafu wakati akiwa anafanya kazi. -
3:42 - 3:44Nami niliziweka katika kibubu
-
3:44 - 3:48pamoja na mapato yangu
kutokana na vibarua -
3:49 - 3:52Lakini kufika msimu wa masika 1970,
-
3:52 - 3:55mjomba Freeman aliacha ufanisi wake ...
-
3:55 - 3:58na kupoteza kazi zake nyingi.
-
3:58 - 4:02Alitabiria mbeleni
-
4:02 - 4:08wenye dhuluma na uwezeshaji kwa raia weusi
kiganjani mwake. -
4:08 - 4:11Pigo la mwisho
lilikuja majira ya baridi iliyopita -
4:11 - 4:14wakati walipomuua Fred Hampton.
-
4:15 - 4:18Alipozidiwa na hofu
-
4:18 - 4:20na ghadhabu
-
4:20 - 4:22na majonzi,
-
4:22 - 4:25Mjomba Freeman alijaribu kupambana na yaliyo mbeleni.
-
4:25 - 4:27Akashikilia kwa mkazo,
-
4:27 - 4:29na kuanza kucheza na nambari.
-
4:29 - 4:32"Sikia, moja ya hizi nambari zitashinda, binti.
-
4:32 - 4:34Una robo kwa ajili ya uncle wako Free --"
-
4:34 - 4:37Wengine wenu mnaye ndugu kama huyu.
-
4:37 - 4:40Lakini nilijua papo hapo
lazima ningechukua hatua. -
4:40 - 4:42Nikaruka na kunyaka nyundo
-
4:42 - 4:44na nikaileta chini kuvunja kibubu.
-
4:44 - 4:48Mjomba akaanza kulia
huku mimi nikiokota sarafu. -
4:48 - 4:51"Hatununui tikiti za bahati nasibu
mjomba, -
4:51 - 4:52C'mon."
-
4:53 - 4:59Tulitumia hadi centi ya mwisho
kwenye duka la mbegu -
5:00 - 5:02Unakumbuka wale watoto wakulima ?
-
5:02 - 5:04Hawakushtuka
nilipomlazimisha mjomba Freeman -
5:04 - 5:07kufanya kazi bustanini tena
-
5:07 - 5:10na kutayarisha
udongo kwa ajili ya mbegu -
5:10 - 5:14Na rafiki yangu mdogo akaja
na kuanza kumpiga kofi mgongoni -
5:14 - 5:15akisema,"Lia mjomba Freeman,
-
5:15 - 5:17Lia
-
5:18 - 5:20"Siwezi rekebisha",alisema
-
5:23 - 5:26Ni yakini ya kale-mbeleni.
-
5:27 - 5:31Hakua wa kwanza kuionelea hivyo
na hatakua wa mwisho -
5:32 - 5:38Kwa sasa, ineonekana
kila kitu kinavuja kuzidi marekebisho -
5:39 - 5:40Ni kweli
-
5:41 - 5:46Lakini kuvunja kwa kutenganisha kunaweza kuwa kuvunja kwa kuacha wazi,
-
5:46 - 5:48hata iwe dhalimu na isiyofahamika
-
5:48 - 5:50na kuogofya inaonyesha
-
5:51 - 5:53Jambo kuu ni ...
-
5:53 - 5:55hatuwezi sisi wenyewe.
-
5:57 - 6:03Mjomba Freeman alilia sana hiyo siku
wakati wa upandaji mbegu zetu, -
6:03 - 6:06akawa mfumo wa kunyunyiza maji
-
6:08 - 6:10"Sijui mimi ni nani tena, msichana mdogo",
-
6:10 - 6:13aliniambia wakati wa machweo.
-
6:14 - 6:17"Vyema, mjomba Freeman
-
6:17 - 6:18Vyema.
-
6:19 - 6:22Umekua mpya tena,
-
6:22 - 6:25ni hivyo ndivyo tunakuhitaji uwe."
- Title:
- Kipi cha kufanya wakati ambapo kila jambo linaharibika
- Speaker:
- Daniel Alexander Jones
- Description:
-
"Wengine wananiita nyota wa soniki," asema Jomama Jones, nafsi badala wa mwenza wa TED na mwigizaji Daniel Alexander Jones. Kwa huu uigizaji na mazungumuzo wa kusisimua, Jomama Jones anatualika kutafakari jinsi kutojitayarisha kunaweza kuwa hatua ya kwanza kuelekea mabadiliko. Ni hadithi kuu ya jamii, ustawi na ufufuo -na vile kusambaratika inaweza saidia.
- Video Language:
- English
- Team:
- closed TED
- Project:
- TEDTalks
- Duration:
- 06:49
Nelson Simfukwe approved Swahili subtitles for What to do when everything feels broken | ||
Nelson Simfukwe accepted Swahili subtitles for What to do when everything feels broken | ||
Nelson Simfukwe edited Swahili subtitles for What to do when everything feels broken | ||
Nelson Simfukwe edited Swahili subtitles for What to do when everything feels broken | ||
Nelson Simfukwe edited Swahili subtitles for What to do when everything feels broken | ||
Hanningtone Omollo edited Swahili subtitles for What to do when everything feels broken | ||
Hanningtone Omollo edited Swahili subtitles for What to do when everything feels broken |