-
Ni milinganyo gani ni
-
sawa na x jumlisha mbili y jumlisha x jumlisha mbili?
-
Chagua mlinganyo sahihi.
-
Hebu tuone kama ninaweza kuufanya huu mlinganyo
-
Ngoja niuandike, kwa hiyo nina x jumlisha...
-
x jumlisha mbili y jumlisha x jumlisha mbili.
-
Kwa hiyo, kitu cha kwanza kinachokuja akilini mwangu,
-
kabla hata sijaangalia hii milinganyo,
-
Nina x hapa, nina x pale.
-
Kama ni x moja, kisha nikajumlisha na x nyingine
-
zitakuwa x mbili hivyo nitaandika tena kama hivi...
-
ngoja nitumie rangi nyingine.
-
Ninaweza kuiandika hii x na hii x,
-
kama nikizijumlisha zitakuwa x mbili
-
Kwa hiyo hii ni...sitaki kuruka hatua yoyote
-
hivyo, x jumlisha x jumlisha mbili y...
-
sasa ngoja nibadilishe mpangilio.
-
Na kisha hizi x mbili hapa,
-
ninaweza kuziandika ka mbili x.
-
Kwa hiyo, nina mbili x jumlisha mbili y...
-
jumlisha mbili y jumlisha mbili.
-
Sasa hebu tuone, katika hizi chaguzi zangu...
-
huu hapa,
-
huu mbili x jumlisha nne y jumlisha nne.
-
Huu siyo sahihi, nina mbili x jumlisha mbili y jumlisha 2,
-
kwa hiyo naweza kuichukua hii
-
Sasa, huu hapa unachekesha, unaonekana kama
-
wameizidisha mbili.
-
Hebu tuone kama tukizidisha mbili hapa nini kitatokea?
-
Kwa hiyo mbili ni kigawo cha hii namba
-
ni kigawo cha hii namba, ni kigawo cha hii namba
-
Hebu tuone kama tunaweza kugawanya.
-
Kwa hiyo, itakuwa mbili mara x,
-
kwa hiyo nitaiandika x kwa rangi hii hii, mbili mara x jumlisha,
-
y imebaki tulipoitoa mbili
-
Na kama ukiitoa mbili nje ya mabano hapa,
-
utabakiwa na moja.
-
Kwa hiyo, mbili mara x jumlisha y jumlisha moja.
-
Ambacho ni sawa na tulichopata hapa.
-
Kwa kuwa niliweza kuchagua jibu,
-
Sitachagua 'hakuna jibu sahihi'